Mwanaume kamili hasemi siri za mti wake hadharan,,,mi nilijua anaishi kwao kumbe nae ana gheto lake? Hzo kunguni zimeletwa na mwenzako,au demu wako kazichukua gest kazileta home..
Mwanaume aliekamilika akili mwili na fikra chanya,,angeamka asbhi,unaenda kununua dawa ya kuua kunguni,,unamwambia mpenz chumba kina kungun so ngija nipake dawa,unakukuruka kumwaga dawa kila sehem,mwsho unamwambia twende ukakae kwang mpka haruf yte ya sumu iishe,,hpo utakua umemfundisha bila kumkera..
Nb.. Mwanamke anaenata sana na kujiona hua anafuata mwanaume mwenye kariba yake,so jichunguze vzr unatabia kama za demu wako na ndio maana umekuja kuleta siri za demu wako