Nyodo nyingi, getho lake limejaa kunguni

Nyodo nyingi, getho lake limejaa kunguni

Kweli wanaume wanazidi kupungua wanabaki wavulana tu!yani unakuja muanika mpnz wako hapa du!sasa imesaidia nini?ulipo andika hapa akafanya usafi na kunguni wakaisha??ntarudi
 
Bed bugs
ed593ab5479f79231f570d7db96c91e3.jpg
 
Jiwe moja limepiga ndege wawili.

Najua hapa wengi wameguswaaaaa
 
Hilo gheto lilipaswa kuwa la MWANAUME... Maana kuna watu humu kila kitu cha HOVYO WAO wanadhani ndy uanaume....mbn siwasikii kusuport UCHAFU...
 
Wewe mbeya na mwanamke naye mbeya sema wewe umemzidi maana umetuletea huku
 
Wewe mbeya na mwanamke naye mbeya sema wewe umemzidi maana umetuletea huku

Badala umsaidie kufanya fumigation unakuja kuongea huku. Kama amekuwa anakuja kwako hajakuhamishia kweli? Hivi nae sio member wa JF? Au hii ni revenge baada ya yeye kukulipua humu?
 
wakuu

jana nilifanikiwa kuvushwa na demu wangu ambaye hapo awali alizoea kuja na kulala kwangu, migegedo yote huwa nafanyia kwangu

huyu mwanamke ananyodo na minato hatariii, yaani akija gheto anajifanya mjuvi wa kila kitu na aishiwi kunikosoa juu ya mambo ya usafi na jinsi ya kupanga vitu vya gheto

basi wikiend hii ndipo namimi nikakomaa kwamba lazima nikapumzkie kwake na ikiwezekana nilale huko hadi asubuhi

nilifanikiwa kulala huko, yaliyonikuta ni hatari tupu full tafrani na kunguni, yaaani kitanda kinakunguni kama majini wanyonya damu!

usiku kucha hakuna kulala, maana ukitulia tu umeng'atwa

nimekaa na kumtafakari leo siku nzima, inakuaje mademu mnajifanya wajuvi kwenye mageto yetu wanaume ilhali ya kwenu yanawashinda?

nimemwambia sitakubali na siwezi kuishi na mtu mchafu, maana kunguni ndio makazi yao hayo
Yani uliwazia kulala kabisa? Ndo maana mnagongewa
 
Back
Top Bottom