Nyiti, Mawalla, Sambeke... Just coincidence?

Nyiti, Mawalla, Sambeke... Just coincidence?

vifo kama hivi kwa matajiri wa arusha, ni vya kawaida sana, hakuna cha ajabu hapa mkuu, we have counted a good number of young blood when they were at their peak of success, tatizo la arusha, ni moja, it is a very tiny town na ni rahisi sana kujenga maadui, wa maendeleo yako, utamaduni wa watu wa huko unachangia pia, utamaduni wa wivu, chuki na visasi, i have lived there for long time and have been a victim, kwa hiyo, it is not right to point fingers into politics, kama unavyosema lakini kuna uwezekano mkubwa kabisa wa hayo niliyoyasema kuwa chanzo cha haya yote..Wivu, Chuki na visasi
 
Kwahiyo M4C INAFADHILIWA NA MAJAMBAZI WA aRUSHA?

Hapo ndo panachanganya mkuu, unajua watu wa kule wanathamini pesa kwa hiyo humtukuza mtu kutokana na Pesa na haijalishi kaipata vp wala hawaulizi ukiwa nazo hata kama uliua wao hawajali Watakuona wa maana tu Iwapo una Mahela ...................!:A S 39:
 
vifo kama hivi kwa matajiri wa arusha, ni vya kawaida sana, hakuna cha ajabu hapa mkuu, we have counted a good number of young blood when they were at their peak of success, tatizo la arusha, ni moja, it is a very tiny town na ni rahisi sana kujenga maadui, wa maendeleo yako, utamaduni wa watu wa huko unachangia pia, utamaduni wa wivu, chuki na visasi, i have lived there for long time and have been a victim, kwa hiyo, it is not right to point fingers into politics, kama unavyosema lakini kuna uwezekano mkubwa kabisa wa hayo niliyoyasema kuwa chanzo cha haya yote..Wivu, Chuki na visasi
Yawezekana umeishi sana Arusha lakini kuyajua ya jikoni sio rahisi pia. Hao waliotajwa hapo juu hawakuwa wamejibanza Arusha tu. Shughuli zao zilitapakaa nje ya Arusha na hata nje ya nchi. Arusha ni makazi tu. Kwa maana nyingine hivyo visasi na tuhuma zinaweza kujengwa nje ya Arusha. Tusipende sana kuamini katika 'mapenzi ya mungu'. Kwa hali ilivyo sasa kila jambo ni la kutafakari kidogo.
 
sawa mkuu, ila nimekaa Arusha, kuwa una uwezo wa kuyajua yote ya jikoni na chumbani mkuu..
 
Those in bold are ordinary people. Those I mentioned are extra ordinary.
If I had mentioned their names , youl'd have realised just how extra ordinary they were.
As a matter of fact I am not ordinary may self thanks to JF's anonymity cloud!!
 
If I had mentioned their names , youl'd have realised just how extra ordinary they were.
As a matter of fact I am not ordinary may self thanks to JF's anonymity cloud!!

Nilitafakari hilo la majina ila nikajisemea kuwa wote watano...! But sometimes extra/ordinary are subjective terms.
 
Mtu unatua uwanja ukiwa umefungwa unategemea nini likikupata la kukupata utasema kuwa kuna mkono wa mtu? No way
Hata mtoto wangu wa miaka mitano atakataa hakuna cha mkono wa mtu wala mkono wa paka
 
If I had mentioned their names , youl'd have realised just how extra ordinary they were.
As a matter of fact I am not ordinary my self thanks to JF's anonymity cloud!!

Blowing own horn......let wapambe do the honour!
 
Bilionea wote wa bongo ni CCM!. Bilionea pekee aliye support M4C ni Sabodo, tena naye pia ni CCM!.

Tawire mkuu Pasco.....na sabodo hajifichi anatoa msaada na anatangaza hadharani kachangia CDM, hajauwawa hawa wakifa ni CCM, TISS...freemason upuuzi....hakuna zimefika hata km kafia guest na pakti za viagra zimezagaa pembeni?
 
Za chini ya kapeti zinasema kuwa Nyaga alikuwa mfadhili mzuri wa M4C
Yes ila naye alikuwa ni mwana CCM, hata huyu tajiri mkuu Tanzania, mzee wetu nanihii, naye pia ni CCM, ila tunajua pia kuwa ni mfadhili mzuri sana wa M4C, haswa kwa kuzingatia mama mzazi wa mwenyekiti, ni dada wa mzee wetu, toka, nitoke!, hivyo lazima assupport chama cha jombaa!.

Kwa sababu you never know with politics, wafanyabiashara makini wote, wataendelea kuifadhili CCM kwa mkono wa mbele, na kwa nyuma wataifadhili Chadema!, na yule bilionea wa Zanzibar, yeye anaifadhili CCM kupitia yule mgombea wangu na kuifadhili CUF.
P.
 
Mtu unatua uwanja ukiwa umefungwa unategemea nini likikupata la kukupata utasema kuwa kuna mkono wa mtu? No way
Hata mtoto wangu wa miaka mitano atakataa hakuna cha mkono wa mtu wala mkono wa paka

Mkuu tungepata mawasiliano yake ya mwisho tungejua ukweli;pamoja na kiwanja kufungwa saa hizo yawezekana mmoja wao tower alimhakikishia atakuwepo na uwanja utakuwa closed ukishatu;haya ndio matatizo yanatokea hata angan ndege ya kitanzania ikkokaribukutua anaita mzungu ama mhindi na madege makubwa na yuko juu ya mtanzania unasikia za watanzania ziwe hold gafla unaona wa juu yako anatua usiniulize zaidi tusubiri taaku k
 
Yawezekana umeishi sana Arusha lakini kuyajua ya jikoni sio rahisi pia. Hao waliotajwa hapo juu hawakuwa wamejibanza Arusha tu. Shughuli zao zilitapakaa nje ya Arusha na hata nje ya nchi. Arusha ni makazi tu. Kwa maana nyingine hivyo visasi na tuhuma zinaweza kujengwa nje ya Arusha. Tusipende sana kuamini katika 'mapenzi ya mungu'. Kwa hali ilivyo sasa kila jambo ni la kutafakari kidogo.

tcaa somen mada itawasaida kupata chanzo haya tuambiane nani anafwata na sababu itakuwa ipi
 
Wewe endelea na ujinga wako wa kupiga ramli, utafika mahali utaambiwa ni bibi yako ndiye alihusika kuwaroga na kuwauwa kina Sambeke. Sina hakika siku hiyo utashika panga ukamuuwe au...!
Achana na ujinga huo.

Hajapiga ramli, na pia sio mjinga! Ameuliza maswali ya msingi ambayo watu kama NYIE hamyafikirii bali mnaamini haraka haraka tu kila mnachodanganywa!!!
 
Bilionea wote wa bongo ni CCM!. Bilionea pekee aliye support M4C ni Sabodo, tena naye pia ni CCM!.
Na sasa ametangulia...
BILIONEA SABODO AFARIKI DUNIA..

Bilionea na Mchumi maarufu nchini, Mustafa Jaffer Sabodo amefariki Dunia leo alfajiri akiwa nyumbani kwakwe, Masaki jijini Dar es Salaam.

"Mzee amefariki leo alfajiri akiwa nyumbani. Taratibu za mazishi zinaendelea na atazikwa katika makaburi yaliyoko mtaa wa Bibi Titi Mohamedi karibu na CBE," amesema Danstan.

Marehemu Sabado alizaliwa mkoani Lindi na alikuwa akifanya biashara katika nchi za Ufaransa, India, Kenya, Sudan, Nigeria, Zimbabwe na Tanzania.

Atakumbukwa kwa mchango wake ulioanzisha Mwalimu Nyerere Foundation National Lottery alipotoa msaada wa Sh milioni 800. Alihusika katika utoaji wa misaada kadhaa iliyohusisha kilimo, ujenzi wa visima na kusaidia wenye uhitaji.
Sabodo atazikwa leo saa 4:30 usiku.
Inna Lillahi wa inna ilaihi raji'un.
“We surely belong to Allah and to Him we shall return”
"Sisi sote ni wa Mola, na kwake tutarejea".

Paskali pia anakuaga!.
RIP Jaffar Sabodo.
 P
 
Back
Top Bottom