Nyiti, Mawalla, Sambeke... Just coincidence?

Nyiti, Mawalla, Sambeke... Just coincidence?

Nyiti alkuwa mfanyabiashara mkubwa wa madini arusha alkuwa anaishi tengeru kabila ni mmeru alkuwa na ushawshi mkubwa kifedha na kisiasa ana migodi sehemu mbalimbali ya madini nchini , mawala na sambeke ni wachaga bussines man wenye ushawshi kiuchumi...mungu awalaze mahali pema
 
Arusha kuna nini? Mbona 'mafogo' wanapukutika katika mazingira ambayo yanazusha maswali mengi?
Ni kanda ya kaskazini!!! Wengi wao ni lile kabila ambalo SSM imelitumia kupunguza makali ya upinzani na wameshindwa!!! Wanaogopa pengine wanafadhili CDM kumbe si kweli!! Matajiri wengi Arusha ukianzia na Njake, Bob, Nyaga, Nyiti, Askofu, na wengine wote wanafadhili wale wanaopenda hela sana!! Na wanafanya hivyo maama biashara zao ni za kijambazi!!! Mtoto wa jambazni ni................................Jambazi anazaa..............................
 
Duh!!
Hao wote uliosema ukimtoa Nyitti inaonekana ni wakora untouchable ambao wamejilimbikizia mali na kuwapa kidogo maskini kuwasahaulisha machungu............mimi naona they saw it coming!!!
 
Sidhani kama walikua supporters wa upinzani due to the fact that utajiri na kuwa pro-ccm vinaenda pamoja.. it is just my guess anyway!
 
Nyiti alkuwa mfanyabiashara mkubwa wa madini arusha alkuwa anaishi tengeru kabila ni mmeru alkuwa na ushawshi mkubwa kifedha na kisiasa ana migodi sehemu mbalimbali ya madini nchini , mawala na sambeke ni wachaga bussines man wenye ushawshi kiuchumi...mungu awalaze mahali pema
Ndio maana tunajiuliza iweje wafe wote hawa ndani ya mwezi tu? Coincidence does not apply here.
 
[/COLOR]

Bob Sambeke kapata ajali ya ndege_labda uniambie wameitungua,..ila Mawalla hata mimi ninaamini kuna mkono wa mtu.

Ni sawa kapata ajili ya ndege ebu tujikumbushe kidogo ajali ya Saitoti nayo unaitafakari vipi.hakuna kitu kinachoshindikana chini ya jua watu wakiamua huwa hawashindwi labda mungu aamue kukulinda kama walivyopona Mwakyembe, Mwandosya, Dr. Ulimboka na Kibanda.
 
Kwahiyo M4C INAFADHILIWA NA MAJAMBAZI WA aRUSHA?

Jitahidi kutumia akili kidogo hao watu unapowaita MAJAMBAZI una uhakika na unachokiongea? je waliwahi kukamatwa juu ya hayo uyasemayo? kama ni kweli walikuwa Majambazi basi serikali ya CCM ndo inayohusika kulea majambazi na anayelea na kukumbatia Ujambazi na yeye ni jambazi
 
Kweli inawezekana hivi vifo ni vya kawaida? Tunaopenda kutafakari kidogo tunaona kuwa si rahisi kuamini hivi hivi tu. Sijamfahamu huyo Nyiti kwa uzuri ila nadhani ni milionea fulani. Mawalla na Sambeke walikuwa mabilionea, na hawa kwa kiasi kikubwa walikuwa mstari wa mbele kuunga mkono upinzani nchini. Kuna tetesi kuwa tangu M4C ianze baadhi ya hawa wadau wamekuwa mchango mkubwa sana kwa kukua kwa vuguvugu hili. Kwa nini hizi roho zipotee bure na kwa urahisi hivi?

Wewe endelea na ujinga wako wa kupiga ramli, utafika mahali utaambiwa ni bibi yako ndiye alihusika kuwaroga na kuwauwa kina Sambeke. Sina hakika siku hiyo utashika panga ukamuuwe au...!
Achana na ujinga huo.
 
Kubali tu kuwa kuna ordinary people na extraordinary people.

Nakubali. Na ndio maana nikasema huyo mtu ni extra ordinary kwa nani. Kwa mfano Baba, Baba, Mke, Mtoto wako wanaweza kuwa extra ordinary. Lakini sio kumwita mtu extra ordinary kwa sababu ya pesa yake ambayo hainisaidii chochote, hata nikipata shida hanisikitikii, yeye na maisha yake na mimi na maisha yangu.
 
Umesomeka
 
wasife kwani wao sio watu?

BADILI TABIA hapa watu wanahisi ni Chama Cha Mapesa kinahusika wewe hujajua tu teh teh teh teh ..........!
Tutasikia mengi watasema ni Juhudi za Chama Cha Mapesa kukiangamiza Chama cha Dereva Mapepe kisishinde uchaguzi 2015 kwa kuwaangamiza supporters wake kifedha a.k.a wafadhili ...................!
:tape2:
 
Back
Top Bottom