Nyinyi nani Sisimizi! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nyinyi nani Sisimizi!

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Kibirizi, Jul 17, 2011.

 1. Kibirizi

  Kibirizi JF-Expert Member

  #1
  Jul 17, 2011
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 602
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Siku moja mtu mmoja maeneo ya Mwandiga-Kigoma aliwaona wadudu wadogo mithili ya siafu wakiwa wamejaa kwenye sehemu ambayo alikuwa anahifadhi sukari yake. Mtu huyo alistaajabu sana kuwaona wale wadudu wakiwa wametingwa(busy) wanakula sukari yake, ndipo alipowauliza nyinyi ni kina nani mnakula sukari yangu, wakamjibu kwamba sisi mizi wakiwa na maana sisi ni wezi, basi toka siku hiyo akawapa jina la sisimizi. Tehe tehe kwikwi!
   
 2. nzedanze

  nzedanze Member

  #2
  Jul 17, 2011
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 44
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wewe utakua ni mha haiwezekani ujue mwadiga....tutajie na kibilizi,maweni,katonga,mji mwema,bangwe,bulega,mnarani,ujiji,etc
   
 3. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #3
  Jul 17, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  asisahau na utete
   
 4. pomo

  pomo JF-Expert Member

  #4
  Jul 17, 2011
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 265
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Mwandiga, kasuru, katubuka, busindi
   
 5. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #5
  Jul 17, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,147
  Likes Received: 2,465
  Trophy Points: 280
  Aya bana.
   
 6. J

  JACADUOGO2. JF-Expert Member

  #6
  Jul 17, 2011
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 930
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Ni kweli kabisa kwa sababu hata mimi nilikuwepo!
   
 7. First Born

  First Born JF-Expert Member

  #7
  Jul 17, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 5,315
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Innah lilahi innah lilah
   
 8. chapaa

  chapaa JF-Expert Member

  #8
  Jul 17, 2011
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 2,355
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Duh!!hao wezi itakuwa walikuwa wahindi coz matamshi MIZI mara nyingi wahindi ndo huwa wanaitamka
  Hivyo basi walikuwa SISIMIZI WA KIHINDI hiyo nayo useme bado hujawahi kuona!!!tehe tehe tehe!!!
   
 9. The only

  The only JF-Expert Member

  #9
  Jul 18, 2011
  Joined: May 19, 2011
  Messages: 1,423
  Likes Received: 943
  Trophy Points: 280
  kidewe ,kalele ,nyange,buzebazeba
   
Loading...