Nyingine ya RICHIMONDULI | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nyingine ya RICHIMONDULI

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Sanda Matuta, Apr 2, 2008.

 1. Sanda Matuta

  Sanda Matuta JF-Expert Member

  #1
  Apr 2, 2008
  Joined: May 9, 2007
  Messages: 950
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Naye Lowasa akawaambia mawaziri wengine, KESHENI mkiomba kwani hamjui siku wala saa atakayokuja Dr.Mwakyembe. Nami naenda mtaani kuwaandalia kijiwe ili nitakapokuwa nanyi muwepo.

  Amini nawaambia, muonapo tume zaundwa basi mtambue muda wa mavuno ya MAFISADI umekaribia.

  Kisha akarudi tena Ikulu kuomba Rais asimfilisi. Lakini RICHMOND akatokea na jeshi la Mwakyembe na kusema,
  Nitakayembusu huyo ndie....!

  Nitakayembusu huyo ndie....!  Naye Lowasa akawaambia mawaziri wengine, KESHENI mkiomba kwani hamjui siku wala saa atakayokuja Dr.Mwakyembe. Nami naenda mtaani kuwaandalia kijiwe ili nitakapokuwa nanyi muwepo.

  Amini nawaambia, muonapo tume zaundwa basi mtambue muda wa mavuno ya MAFISADI umekaribia.

  Kisha akarudi tena Ikulu kuomba Rais asimfilisi. Lakini RICHMOND akatokea na jeshi la Mwakyembe na kusema,
  Nitakayembusu huyo ndie....!
   
 2. Mama Mdogo

  Mama Mdogo JF-Expert Member

  #2
  Apr 2, 2008
  Joined: Nov 21, 2007
  Messages: 2,866
  Likes Received: 437
  Trophy Points: 180
  Sanda Matuta, what are trying to say? Kweli huu UDAKU!!!!! Isingekuwa udaku ningeendeleza thread, lakini sasa, mmmmhhhh endeleeni, mimi simo!!
   
Loading...