Nyimbo zenye ujumbe mzito sana

Nyimbo zenye ujumbe mzito sana

Eyo ticha nimesimama hayashime, natisha naposhika mike kama masai kashika sime../

Nawasha washa sasa imewaka nani azime, naokota tanga naua mwanza zika tarime.../

Push rythms kama mjani man wanaelewa, mi na rap na nikama zambi niliyopewa.../

Flani na flani wanaelewa, hawataki tu kusema sauti hewani mtaani sionekani kama hewa.../

Dizasta vina ndio future yako, ni kijogoo uliyemkwepa mtaani halafu ukamkuta kwako...Mi ni kama kumbukumbu ya torati kutoka mwanzo yohana ayubu luka marko.../

kudadadeki hamnipi taji homie, maana huu ujio ni kama bogie ama radi homie..../

Niko kitambo na sihitaji hodi, wala sipingwi ka zinavyopingwa itikadi za kibabilon.../

Aah mnapata uhondo nakili, mjeshi nazalisha rythms kama uoto wa asili.../

Najua sana mwana inakupasa ukasome, na hii waswahili wanaita mwana ukome..../

Dizasta
Nashukuru umeanza kutoa credits kwa watunzi
 
Naandika kuhusu uozo wa serikali, mnaturudisha kwenye zama za ubepari.../

Naandika kuhusu matumizi ya kiswahili, kwenye fani ya ushairi.../

Chanini kingereza ebu jiulize tumia akili, fikra sahihi huja kwa lugha asili.../


Natoka tanzania tz bongo, nchi ambayo ina CV ya uongo.../
....Natokea Tanzania, Tz Bongo nchi mbayo Viongozi wana CV za Uongo..."NIKKI MBISHI"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Abba --Chiquitita
The corrs---Run away
Cyndi Lauper---time after time
Cyndi Lauper ----true colour
Eliot Yamin--waiting for you
Back street boys---keep drowning
Enrique Eglisias--Escape, Hero, don't tun the light, taking about love
Phill Collins---another day in paradise Roxette


 
Franco--sodou
Franco--makambo ezali
Franco--ngungi
Franco--flora
Franco--kimpa kisangameni
Faranco--mobutu
Franco--Layile
Franco--pesa position
Franco---babies
Mayaula Mayoni--bakayoko
 
Mambo ya Pwani----Solo thang
Mpenzi------ Solo thang &Mr Paul
Mtoto sio riziki---Solo thang
Simu yangu-----Solo thang& Sogy dogy
Sukari ina pilipili----Solo thang
Ndani ya parry -----Solo thang &--'---
Kilio changu-----Solo thang
Mtazamo-----Prof Jay,Afande Sele&;Solo thang
 
Sick venom in men and women overcome with pride
A perfect world is never perfect, only filled with lies
Promises are broken and more resentment come alive
Race barriers make inferior of you and I
See, in a perfect world, I'll choose faith over riches
I'll choose work over bitches, I'll make schools out of prison
I'll take all the religions and put 'em all in one service
Just to tell 'em we ain't shit, but He's been perfect, world

Pride - kendrick lamar
 
Umepewa karatasi ukaipa jina pesa/
Ukasubiri ikuletee furaha ikakutesa
Ukauza umoja, ukauza amani ukauza utu
Ukashusha mashujaa wako ukamwinua yesu wa kizungu

Dizasta - hatia III
 
Sie wakongwe tuko na kina Ramazan Mtoro Ongala
Ngoma zinaitwa
1/Dunia
2/Siku ya kufa
Halafu kuna ngoma ya Marijan Rajab
1/ Rufaa ya kifoo
Kina Daz Nundaz
1/Kamanda
2/ Barua
Wapo Hisani mnanda huoo
1/ Mama nalia liaa maama
 
Sie wakongwe tuko na kina Ramazan Mtoro Ongala
Ngoma zinaitwa
1/Dunia
2/Siku ya kufa
Halafu kuna ngoma ya Marijan Rajab
1/ Rufaa ya kifoo
Kina Daz Nundaz
1/Kamanda
2/ Barua
Wapo Hisani mnanda huoo
1/ Mama nalia liaa maama
Nalialia oooh maamaaa ×2
Umeniachaa na watotooo...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Afro~~less wanyika
Kenya nchi yangu~~Kakai Kilonzo
Suzana~~~Kakai Kilonzo
Kifo~~Dr Remmy Ongala
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom