Nakusalimu mwafrika nakusalimu habari gani, nikaribishe tuketi niseme yaliyo ndani../
Umesahau kuhusu hadithi za upendo wako nataka leo tukae tuijadili kesho yako.../
Kutoka kupiga ramli na kutii mizimu, umeanza kufata amri za tv na simu.../
Na ubaya ni kwamba umeanza kuikacha sanaa, na kufata siasa ambayo inakulaza na njaa.../
Na kila unachokiona unataka kubeba, vichache vimekushinda na unataka kuongeza..../
Juzuu katekisimu mpaka novena, sio zako zako ilikua ni kutamba ngonjera..../
Umezubaa majirani wameanza kufika kwako, na unaamini kua watakubebea shida zako..../
Kwasababu ujinga umezidi umasikini, unamjengea jirani kwako unachimba unabaki chini.../
Zamani ulikua unasembe ya kusaza, uliabudu kazi uliweka jembe kwenye shamba.../
Ghafla ukauza panga ukapanga jembe kwenye kabati, ukanunua kioo ujirembe ili uende na wakati.../
Umechagua urembo umetupa werevu, unauza mifugo unafuga kucha na ndevu.../
Familia ife mwafrika uzame mitini, au uombe msaada wakati unakufa na fashion mwilini.../
Mwafrika unamzigo mkubwa wa madeni, hauna mali ardhi yako ni future ya wagenj.../
Unalala ndani kungoja hisani ya wenye nguvu, nyumba iko wazi we uko ibadani unaabudu..../
Ujasiri ni kujimudu mwafrika haujui hili, umejaliwa nguvu na unashindwa kuzihimili.../
Unavamia diplomasia unatunga hotuba, na hakuna mwenye hisia kua upo nyuma ya muda.../
Eti manabii wanavyeti, kanisa lina account ya mitandao ya kijamii mpaka bank.../
Wahubiri wanavutana kinguvu, kanisa unajitangaza kutafuta umaarufu?.../
Unapishana na muda hakika, unachojua pekee ni kufa kuzika.../
Unanishauri nije kwako ndoa ikiyumba kanisa, kichekesho ni kwamba wewe ndo umeyumba kabisa.../
Aaah kanisa nilikuja uniongoze nimpende mungu we ukanifunza nimuogope, Jua kali lilinifunza kukaba nikakupa maisha na cha ajabu hujanifunza chochote..../
naskia unapande mbili za sarafu, upande mzuri na upande unaingia dili mpaka na wafu.../
Na unanifundisha baya haliwi na thawabu, nilikua mjinga sasa nabashiri majawabu.../
Tunahitaji mafunzo halisia, wakati mbinu zako zimejaa mafumbo na sheria.../
Kanisa tunaishi na wanafki kudadadeki, unajifanya rafiki sababu ya ulafi wa chenchi.../
Ikiwa huruma ya jah haina kipimo, basi kati ya wanaoomba msamaha nami nimo..../
Dhambi zako sawa tumezidiana kimo, mungu aliyehai akuepushie shimo.../
Kanisa

Abba --Chiquitita
The corrs---Run away
Cyndi Lauper---time after time
Cyndi Lauper ----true colour
Eliot Yamin--waiting for you
Back street boys---keep drowning
Enrique Eglisias--Escape, Hero, don't tun the light, taking about love
Phill Collins---another day in paradise Roxette
,,Though KSI criticised this...
What if isn't lie? What if we make the heaven but don't get inside?..../
What if we get to the gates and see God on other side and looks us on face says our whole life we've wasted time..../
What if we can't go back?, what if can't redo this life and get one second chance..../
What if our future happiness is our memories of our past, or will burn forever hunted by the devil laughs..../
I'm older and I'm looking for truth, I'm holding my faith in my hand but the pain in this world is shaken it loose.... /
I used so much to gain now I have so much to loose, they say I'm crazy for looking for answers I say they crazy for not giving the proof..../
It's dax
Huyo jamaa nilimwelewa sana kwenye wimbo wake wa KANISAEyo ticha nimesimama hayashime, natisha naposhika mike kama masai kashika sime../
Nawasha washa sasa imewaka nani azime, naokota tanga naua mwanza zika tarime.../
Push rythms kama mjani man wanaelewa, mi na rap na nikama zambi niliyopewa.../
Flani na flani wanaelewa, hawataki tu kusema sauti hewani mtaani sionekani kama hewa.../
Dizasta vina ndio future yako, ni kijogoo uliyemkwepa mtaani halafu ukamkuta kwako...Mi ni kama kumbukumbu ya torati kutoka mwanzo yohana ayubu luka marko.../
kudadadeki hamnipi taji homie, maana huu ujio ni kama bogie ama radi homie..../
Niko kitambo na sihitaji hodi, wala sipingwi ka zinavyopingwa itikadi za kibabilon.../
Aah mnapata uhondo nakili, mjeshi nazalisha rythms kama uoto wa asili.../
Najua sana mwana inakupasa ukasome, na hii waswahili wanaita mwana ukome..../
Dizasta
Mkuu naomba niandikie lyrics ya Mangwe ya Ghetto langu nitashukuru sanaUmepewa karatasi ukaipa jina pesa, ukasubiri ikuletee furaha ikakutesa.../
Ukauza umoja ukauza amani ukauza utu, ukashusha mashujaa wako ukamuinua yesu wa kizungu.../
Unakucha ndefu kushika chungu matusi, hauwezi kuandika history haumudu herufi.../
Ume-bleach nywele mdomo mwekundu umebusu baruti, nikuite nani mwafrika mzungu au mzungu mweusi.../
Unadanganywa rangi yako sio nzuri, ili ukatafute pesa ukawaungishe vipuli.../
Ume-switch kutoka mama african mpaka drama queen, umenunua tv ili uone africa ikizama chini..../
Mwafrika umekosa mipango, unajua kuchonga ngega badala ya kuchonga vinyago...Unaacha wanyama mikumi serengeti unaenda kushangaa ghorofa chicago..../
Unarudi unajikuta mmarekani eti real nigga, real nigga mbona haulipi bill nigga?
jAsiri haiachi asili, real nigga kamwe usijiite G nigga..../
hauwezi kuwa warrior, unajua majina ya wasanii kushinda historia.../
Huo wimbo sijaukariri na wala sina kwenye device yanguMkuu naomba niandikie lyrics ya Mangwe ya Ghetto langu nitashukuru sana