Nyimbo za kumwombea Tundu lissu

Nyimbo za kumwombea Tundu lissu

tamuuuuu

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2014
Posts
22,758
Reaction score
31,125
Waungwana nimeusikia wimbo aloimba Z-anto wa kumwombea Lissu,pia na msanii mwingine sijui ni nani?
Nimeshindwa kuziweka hapa,zipo YouTube. Zinauma sana,mwenye uwezo wa kuzuweka aweke please.

Mungu amsaidie lissu kwakweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom