I once dated a guy enzi hizo alikuwa anapenda hii nyimbo mno kila nikiwa naye lazima aisikilize, sijui ndo alikuwa ananifikishia ujumbe indirect maskiini.!!Play boy - Nikki Mbishi Ft. Benpaul
Basi atumie "Hakuna ushemeji tunakulaga"😂😂😂 asa huo si wa majonzi
Hopefully ilikuwa kwenye mwaka 2008 hadi 2010 hiviiiI once dated a guy enzi hizo alikuwa anapenda hii nyimbo mno kila nikiwa naye lazima aisikilize, sijui ndo alikuwa ananifikishia ujumbe indirect maskiini.!!
Bangi hizi...Kwanini Umeyaruhusu wa Ambassadors of Christ, Rwanda.
Mimi na Sky Eclat tuliingia na wimbo "Tuonane paradiso kwenye mji wa Raha"