Nyimbo ya Kolomije na Bashite yatungwa...isikilize hapa

jpm anatumia falisafa ya billgate,"I choose a lazy person to do a hard job. Because a lazy person will find an easy way to do it."
 
Watabaki salama kweli hawa?
FB_IMG_1489499650094.jpg
 
safi sana vijana,

ngoja tuandae show kubwa sana hapo Dar hawa vijana watumbuize live dunia ijionee Bashite kibaka wa vyeti anavyoumbuliwa.
 
Hivi kwanini wazazi wake wamekaa kimya siku zote hizo za kuhujumiwa... Hawana mdomo wakusema au hata kutoa hicho cheti mwanawao akaachwa huru? Khaa.. Makabila mengine?
 
Back
Top Bottom