Nyimbo unayoipenda kuliko zote duniani

Nyimbo unayoipenda kuliko zote duniani

Kakolele...by baba Gaston na lose your self to dance ya Daft Punk
 

Zipo nyingi but this one will always take the cake.
 
Hadija wa pepe kale ! Azalakise hawa na ngoma ya kwetu za Gato ! Zikipigwa mida ya jioni ya saa kumi hivi nikiwa beach iliyotulia huku nashushia wine yangu baridii ya Dodoma wine au hata dompo baridi kwenye bilauli ! Holly cow ! Naweza nikalia [emoji33] [emoji33] [emoji33]
Azalakise hawaaa.. Ze hawaa
Alobatinanga ya kuzongaaa...
Ze hawaaa[emoji441] [emoji445] [emoji445] [emoji444]
 
Hivi ni Hadija au Hidaya..??
"Nimepoteza kipenzi changu nchini Tz"....
Hata mi nakumbuka ni hidaya,
....nimepoteezaaa mkanda Wa kiuno...
Nitarudiii kwaaajili ya hidayaaa[emoji441] [emoji445] [emoji444] ndindindi shikamooo....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom