I love wenge musica bcbg...4 by 4 by far!My favorite group!Kwanza ngoja nisikilize sauti mwanana za hawa jamaa kwenye nyimbo ya MASAMPUVita Imana- Wenge Musica.
If you're lost, you can look - you will find meTime after time - Cyndi Lauper
Hii nyimbo imeimbwa kwa hisia kali sana...If you're lost, you can look - you will find me
Time after time
If you fall, I will catch you- I will be waiting
Time after time
MnoooooHii nyimbo imeimbwa kwa hisia kali sana...
Halaf mpaka ulipoyaandika mashairi yake hapo ndo nikaijua hiyo nyimbo..Mnooooo
Aaah unakuwa unajua nyimbo nyingi afu nyingine majina yake hushiki, hadi usikie inaimbwaHalaf mpaka ulipoyaandika mashairi yake hapo ndo nikaijua hiyo nyimbo..
Cindy lauper.Mnooooo
Enzi tu za usichana wanguCindy lauper.
Unakukumbusha nini?