Nyie wenye ndoa, mliwezaje kufanya maamuzi mpaka mkaingia ndani ya ndoa?

Ndio maana walipatana na Zari, Hamisa maana kila.mtu alikua na skendo zake na watoto wengine huko, ila bado anahitaji typical tandale girl ambae ni tit for tat, yaani dai akimwaga mboga tandale girl nae anamwaga ugali
 
Atakufa, na kama asipokufa basi atatembea mtaani kavaa boxer kichwani. Yaani ampate Mwajuma Ndala Mbili au Husna Kitamu Kioze kila kigodoro cha mjini lazima kipate kibali toka kwao kwanza kabla ya tukio zima. Salaaale!!!

Wema tu alimliza kama mtoto mdogo. Anyways, Diamond alifeli sana kwa zari, yule mwanamke ndio aliomfungua akili kimaisha, kama angekua nae mpaka sasa basi daimond angekua mbali sana sana.
 
Yeah hata mimi niliipenda sana couple yao, and Zari is smart na alikua anajielewa sema it didn't work
 
Ngoja nisemezane na mkufunzi kuhusu hii mada, akinipa majibu ntayaweka hapa.
 
Unahitaji mwanamke ambae mnaendana kifikra, kimawazo, kimtazamo na most of all, you share your dreams together, mbali na hapo itakua ni ngumu kutimiza ndoto zako

Usiogope kuoa, Mwombe Mungu akupatie mwanamke wa kufanana na wewe.
bahati mbaya saaana hawapo hao wa hivyo
 
Hilo swali na mimi linaniumiza kichwa. Wanadamu haturidhiki na mleta mada hakuna siku utakaa useme sasa nina pesa ninaweza kuoa. Kila siku ni investment investment and go on and go on until death find us on the way.
 
Let's keep struggling..
That's NATURE.

#YNWA
 
There's no perfect woman, rotteness has exceded nowadays, labda niseme tu huwezi pata mwanamke timilifu wanadamu tuna mapungufu na kaa ukijua dunia ya sasa uadilifu umepungua.

Mwaka 2018 ulifanya kosa kutosamehe mwanamke wako yaani unatoa msamaha mbele ya kanisa (impress others) kwanza utajidharaulisha. Zipo duty hukumpa mke wako au ulikosea kumuamini mch. yaani hawa wanawake wetu tuna wapeleka kwa mapadri na wachungaji itatucost.

Mke wako hata agongwe vipi solve hilo tatizo sio kufukuza nowadays wanalika karibu wote tu. Vile watu hawajui tu wake za watu amna kitu ila waume zao wamechangia wawe hivo.

All in all kupata new wife ni wewe bidii zako.
 
Si kumwamini mchungaji ila tu niliwakuta chumbani from no were..!!

Kengine Siwezi ishi na mwanamke nikijua kabisa eti kaliwa na fulani...
HAPANA AISEE..

#YNWA
 
UKITAKA KUISHI MAISHA MAREFU YA AMANI NA BARAKA HAPA DUNIANI KAMWE USIOE...
Kama shida ni watoto za tuu na mwanamke yeyote. Kuoa ni upuuzi...
95% ya ndoa unazoziona ni vurugu kero kerere presha mateso n.k
#NIMEOA_NINA_UZOEFU
 
Kweli ndoa ni changamoto asikuambie mtu, Ila Pamoja na yote hayo muda ndo mwal. mzuri utaamua saa ikifika bila kuwa na risala ndefu hivi na usiache kuleta tena ushuda hapa
 
usiwasikilize wachungaji uchwara kama huyu

UKITAKA KUISHI MAISHA MAREFU YA AMANI NA BARAKA HAPA DUNIANI KAMWE USIOE...
Kama shida ni watoto za tuu na mwanamke yeyote. Kuoa ni upuuzi...
95% ya ndoa unazoziona ni vurugu kero kerere presha mateso n.k
#NIMEOA_NINA_UZOEFU
Asante kwa USHUHUDA.

#YNWA
 
Mkuu kuoa sio lazima kwa ilo nakutoa ofu na kua na amani kabisa, personally nilishawai kuanzisha familia na nilichokutana nacho kimenifanya nifute ndoto ya kuoa kwenye maisha yangu yote. Ungana na Mimi single father na soon tunaanzisha umoja wa masingle father Tanzania(UMAFATA) Utakua katibu na bila shaka utafanya vema kwenye hiyo nafasi.

Sent from my TECNO P701 using JamiiForums mobile app
 
Duh upo vizuri mwenyekiti mtarajiwa wa UMAFATA

#YNWA
 
Yenye changamoto ni mahusiano, sio ndoa.
we hangaika na ulimwengu uhangaikavyo ila baadae jitahidi utulie na familia. maisha ya ndoa ni mazuri ukimpata mtu sahihi.

picha kama hii ikikaa ukutani ndani ya nyumba, nyumba inapendeza.

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…