Nyie wanaume nyie sio kabisa

Nyie wanaume nyie sio kabisa

ndo dawa yao wapnda tamaa na waume za wa2!hlo liwe somo kwa wengne wnye tabia kma hzo
 
Limekuchoma hilo badilika in this life i never follow my heart and so no concern at all about kuingizwa mjini

nibadilike kwa lipi sasa,ulivyong'ang'ania kama unanifahamu vile we wa wapi.......umekosa wa kupiga nae story hapa ndani
 
Mbona mi silioni hilo tatizo mpaka ukafikia kusema w'me hawafai..!? Pengine hili langu moja ni chongo, ndo mana sioni vzr.

Au kusema 'hawafai' huenda ni lugha ukimaanisha kuwakubali kwa uongo (appreciate), sawa na kusema w'me ni balaa, balaa ikimaanisha ni noma, na si balaa kwa maana ya janga! Hiyo 'hawafai' kwa kweli imenitatiza, kama ndivyo nilivyoelewa mimi (appreciate au ni noma) hapo sawa, lkn kama umemaanisha kwa maana halisi ya 'hawafai', ndugu hapo mimi "NIMEKATAA". Hilo suala la jamaa ni la kawaida mno na lipo kwa sana tu kwenye hii miji yetu tuishiyo..

Kawambwa.

kwenye bold pigia mstari.
 
Wadada ogopeni sana wanaume wanaotanguliza mafanikio yao kwenye mazungumuzo yenu ya kimapenzi..wanaume wengi wanao brag about their fortunes siku zote ni waongo,ladies nao wamezidi kuwa ma gold diggers most of then wanawaona wanaume in terms of fortunes,mtu anakupenda kwa moyo wote,eti kwa kuwa hana gari unamcrush..kuweni makini sana dada zangu,zirika na mtu the way he is,wengi wenu mnapenda maisha ya kwenye runinga matokeo yake ndio hayo yaliyomkuta huyo dada.

hapo kwenye bold mmmh,,,,waambie na ww watakusikia wanadai hakuna penzi la mkopo siku hizi.
 
Daaah safi sana wanawake mjifunze bwana mmezd kutaka mambo makubwa c bora huyo kamgegeda 2 mwingine angemwambia nataka unizalie mtoto.hapo huyo dem angeiona cha moto.bwana haonekan na mimba juu
 
Hahahaha nimeipenda hii kweli si kila king'aacho ni dhahabu vingine ni vimeta meta tu. Lkn na mdada amepata fundisho aache kuchukua waume wa wenzie atafute wake. Yeye alitaka kuona jengo anajua pesa inapatikanaje?

Pesa inatafutwa ye alijiona mjanja kumbe alikolalia ndo mwenzie ameamkia

btn nimekumiss halafu hiyo avatar mwanzoni ilinichanganyaje!!!!!!!!
 
hahahaha pole dear, mambo vipi lkn. Unajua ilibidi niende saloon kufungwa upya lemba langu ndio maana unaona imebadilika hiyo avator
 
Hatufai kwa lipi? kati ya huyo mwanamke na huyo mwanaume nani hafai? si alijua ni mwanaume wa mtu? akome
 
Mbona wanaokabidhiwa fonguo za magari wakigongwa wananyang'anywa hawasemi wanakaa kimnya tu.
ndo maisha mjini shule.
 
nibadilike kwa lipi sasa,ulivyong'ang'ania kama unanifahamu vile we wa wapi.......umekosa wa kupiga nae story hapa ndani
Imeandikwa utahukumiwa kwa maneno yako kwani mtu hunena yaujazayo moyo wake ukitaka kumjua mtu ni wa aina gani ongea naye mawili matatu baaaas
 
hahahahaha unajidanganya sana endelea hivyo hivyo,eti kuongea nae mawili matatu through jf unamjua mtu.........not me aiseh.
 
Kujipa bei ambayo mtu hana ni jambo la kawaida unapenda kujionyesha uko juu, wewe ni zaidi sana na bado hujioni tu kwamba wewe ni mgonjwa kifikra? kama unaweza kujiona uko hata juu ya maandiko hongera sana kwa bahati hiyo
 
ni fikra zako tu ambazo haziwezi kubadilishwa na mtu yeyote kwa sababu zimeshakuwa mgando,hunijui,sikujui ya nini kung'ang'ania mambo,,,,,,,mi kama mgonjwa kifikra we ni marehemu kifikra.
 
Habari zenu wana jamvi,natumaini mko salama salimini kwa kudra za muumba wetu.
kuna baadhi ya wanaume mishipa ya aibu ilishakatika kabisa ikabakia kwenye dushelele zao tu,kuna bi shostito mmoja kaingizwa mkenge na mwanaume mchana kweupeeee wakati alikuwa akijitapa yeye ni mtoto wa mjini hakuna mwanaume anayeweza kumtapeli loh hebu tupate habari kamili.

Binti kapata mume wa mtu,kama mjuavyo wakishikwa wanashikamana hela ya kodi,mafuta,saloon,shopping n.k si haba kutolewa,kasheshe ikaja kama ifuatavyo ktk marafiki zake shostito kuna mmoja alikuwa anamfahamu yule baba kwa sababu walikuwa wakiishi mtaa mmoja, kumbe yule baba kapanga hana nyumba wala nini maisha yake ya kawaida sana lakini kamdanganya yule bi dada anaishi kwake kampeleka kumwonyesha nyumba ya watu mtaa mwingine kabisa.

bi dada bila hiyana akamuamini ukizingatia anapiga simu za kuzuga kuulizia mizigo yake bandarini n.k kubwa kuliko kamwambia bi shost anamtafutia nyumba ya kumpangishia ili asipate tabu hehehehehehe hapo ndo kasheshe ilipoanzia,dada kapelekwa kuonyeshwa nyumba,alivyo mbea kawachukua mashost wake kuwapeleka kupaona na kuwalingishia,yule best anayemjua yule bwana akatulia zake aone mwisho wa ngoma utakavyokuwa.

La haula ikaandikwa cheque sijui iliokotwa wapi, eti ndo ikipokelewa benki wampatie pesa aje kumlipia bi dada kodi yote,mmmmh katafuta na mkataba wa kughushi kaupeleka stationary wautype kumbe yule dada wa stationary na yeye anamjua akatype akaprint akampa huku nyuma akabaki anacheka eti mtoto wa kike kaingizwa mjini na mara kibao huwa anapeleka mikataba ya uongo pale ili mwanamke aliye nae ajue kweli kapata bwana kumbe hamna kitu,huwezi amini hadi muda huu ninavyoandika mwanaume kaishia mitini yule bestito kafyata mkia kwa mabest zake kawa mdogo kama piriton wenzake mbavu hawana,matambo yote yameisha dah nyie wanaume baadhi yenu hamfai kabisa

Sasa ndio nini kuja kunianika humu..
Binti una roho mbaya wewe..................LOL
 
Sorry don't get me wrong!!!Nahisi kama uyo dada ndio wewe vile ama nimekosea?
 
Back
Top Bottom