ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,589
nadhani hapo pana fundisho kwa madada wote wanaopenda pesa kuliko utu wa mtu, ambao wanaweka tamaa mbele sasa yanawakuta mabaya mchana kweupeeeee, pole zake
nadhani hapo pana fundisho kwa madada wote wanaopenda pesa kuliko utu wa mtu, ambao wanaweka tamaa mbele sasa yanawakuta mabaya mchana kweupeeeee, pole zake
best kumbe ni wewe,ujue nimeona avatar nikajua ni dume loh kusoma Id ngastuka kidogo....hawa wenzetu wanapenda vya bwelele bila kutoa jasho matokeo yake yanawakuta ya firauni loh
mbona hapo kwenye bold ni rahisi sana siku hizi kuliko unavyofikiria ndg, mzee akichezewa sharubu siku mbili ya tatu analipia kodi ya mwaka mzima.Hahaha, huyo jamaa anastahili kufanya mishe zake kwenye Institutions kama CIA vile, ana akili sana, huyo binti naye hajisomi, we unadhani mambo ya mjini ni rahisi rahisi tu, unapewa nyumba hata hujahangaikia? chizi
Asnam... Labda mie sijaelewa hizo lawama za mwanaume kukosa mishipa ya aibu imetoka wapi nikitumia kigezo cha hii story umetoa.
- Dada anatoka na mume wa mtu, kumuonyesha hiyo nyumba yeye inamuhusu nini hadi asimulie shosti zake kuwa huyo mwanaume anajenga hadi kwenda kuonyesha mashosti wake hiyo nyumba (Asnam huyo dada hana mshipa wa aibu kukusanya wenzie kuwaonyesha hiyo nyumba?)
- Wanawake tuwe makini saana sometimes... Unaringishia nyumba ambayo anaishi mtu mwingine na wala hata huishi wala hutarajii kuishi hapo? Heshima kitu cha bure, na ulimbukeni ndicho huwaponza wengi in such circumstances.
- Analipiwa nyumba, anahudumiwa kila kitu; hayo mengine kwa kweli hayamuhusu hadi pale mwanaume mwenyewe aamue (kwa sababu zake mwenyewe iwe/zisiwe za msingi). Kitendo cha kumdanganya na kwenda kumuonyesha nyumba mtaa mwingine ni wazi kuwa yawezekana bi dada ndiye alikuwa aking'ang'ania kujua anako kaa huyu mwanaume OR kisha someka kuwa ni limbukeni na hushoboka kwa material things kuweza kufanyiwa lolote lile mwili wake.
Huyo mwanaume ni typical mwanaume wa mjini ambae atafanya lolote lile kumpata mwanamke anaye mtaka. Hiyo si kwa huyu baba tu; ni wengi saana.
BTW kuna kitu watu wanasahau... Haijalishi kaka/dada ni wa mjini vipi, kuna kiboko yake tu! Nina msemo "Kila mbabe ana mbabe wake".
Huyo jamaa ningemuona ningempa ofa ya courvoisier ka 10 hivi.Huu uongo unasababishwa na wanawake wenyewe na ishu ya kuweka mshiko mbele mapenzi nyuma.Na bado...akiendelea na tabia hiyo iko siku ataonyeshwa majengo ya BOT.......Hahahahahahah....cheeers!![]()
my dia hapo kwenye bold ni nyumba aliyopelekwa kuiangalia na huyo baba akilidhika nayo ndo amlipie kodi, ndo maana akawapeleka mashostito kupaona ili watoe comments zao,kizazi hiki bado tuna safari ndefu ya kujifunza na kuutambua ulimwengu unavyokwenda na pia kutambua nafasi zetu ktk jamii kitu kinachotushinda wengi wetu na kujikuta tunakalia makuti makavu.