Sidhani kama kuna siku ntajutia kukutukana ningejutia kama ningepita tu bila kukutusi...hongera kwa kusaidia licha ya kuwa sifahamu unawasaidia nn zaid ya kuwaenjoy....
KUUNDWA JUKWAA LA WAHITIMU WA DEGREE NA DIPLOMA NCHINI.Mbona mnalalamikia Magufuli hamna ajira.
Kwa nini msijikusanye kikundi,cha watu wenye fani tofauti(mlizosomea university)mfano mmoja akawa amesomea law,mwingine Accouning n mwingine labda biashara etc.........mkaanza kutoa TUITION kwa watu wanaosoma sasa hivi (undergraduates na post graduates.....current students,mnawasaidia watu kupambana na masomo yao,study skills..............mnaweza kuwasaidia kujenga confidence,kuandika assignment,course work,essay writing ,dissertation etc
NB msiwaandikie bali mfundishe how to do it....
KUUNDWA JUKWAA LA WAHITIMU WA DEGREE NA DIPLOMA NCHINI.umejitahidi kuwaza vizuri, lakini sio kitu rahisi kama unavyozani kuwa na tuition ya chuo kikuu
KUUNDWA JUKWAA LA WAHITIMU WA DEGREE NA DIPLOMA NCHINI.Huwa mnatoa ushauri kama waganga wa kienyeji.
Kujiajiri sio tatizo, ila atajiajiri kwa bila msaada kwa kweli?! Tuwe na vyombo vya kuwasaidia hawa, kuanzia mafunzo mpaka funding, kuwa nao karibu, kuwapa moyo na ushauri wa kutosha..Mbona mnalalamikia Magufuli hamna ajira.
Kwa nini msijikusanye kikundi,cha watu wenye fani tofauti(mlizosomea university)mfano mmoja akawa amesomea law,mwingine Accouning n mwingine labda biashara etc.........mkaanza kutoa TUITION kwa watu wanaosoma sasa hivi (undergraduates na post graduates.....current students,mnawasaidia watu kupambana na masomo yao,study skills..............mnaweza kuwasaidia kujenga confidence,kuandika assignment,course work,essay writing ,dissertation etc
NB msiwaandikie bali mfundishe how to do it....
daah kwel wewe hujasoma hata level ya certificate, chuo kikuu kule lecturer ndio anatoa silabasi ya course (course outline) na yeye ndio baraza la mitihani, sasa unaweza ukasoma tuition huko halafu isikusaidie ukienda kwenye lecture ukute vitu tofauti kabisa, sista wala usisumbuke kuanzisha tuition piga ua huwezi pata hata mteja m1.kwani chuo,hakuna kupass na kufaulu??yaani mtu kwa nini kama hana confidence asitafute tuition taratibu imjenge,kuliko kufeli na kurudia mwaka?
Mbona mnalalamikia Magufuli hamna ajira.
Kwa nini msijikusanye kikundi,cha watu wenye fani tofauti(mlizosomea university)mfano mmoja akawa amesomea law,mwingine Accouning n mwingine labda biashara etc.........mkaanza kutoa TUITION kwa watu wanaosoma sasa hivi (undergraduates na post graduates.....current students,mnawasaidia watu kupambana na masomo yao,study skills..............mnaweza kuwasaidia kujenga confidence,kuandika assignment,course work,essay writing ,dissertation etc
NB msiwaandikie bali mfundishe how to do it....
Kumbe na ww huwa unaongea upuuzi Cwez amini.Swali lako na hoja yako ni nzuri na njama sana.
Tatizo ni mfumo wa elimu na maisha waliyokuwa nayo, vichwa vyao vimeshajazwa ujinga wa kuwa wao ni wa kuajiriwa tu. Mawazo ya kitumwa.
Kumbe na ww huwa unaongea upuuzi Cwez amini.
Asante Kaveli1. Mfumo wa elimu wa kibongo haumuandai mhitimu kujiajiri. Ni kukariri ama kutumia any possible magumashi ili afaulu mitihani na kupata cheti. Wahitimu wengi wana-lack 'survival skills'.
2.There is some element of positivism kwenye bandiko la mleta Uzi. Japo, pursuant to the 1 above, it is therefore never easy kwa wahitimu hao to act on the same and implement.
N.B: Mleta mada ana hoja nzuri sana, ila tatizo anajadili kwa jazba sana.
-Kaveli-
Upo too low! Haishangazi kwamba elimu yako ni ya kushikishwa ukuta...irrelevant!
huo ni ushauri,kama hujapenda potezea mkuu.simple.
Acha matusi wewe, elimu yako kama kubwa, inanisaidia nini mimi?Upo too low! Haishangazi kwamba elimu yako ni ya kushikishwa ukuta...
Sio watu wote wazima wana hekima.Ukiuona ni upuuzi fata ushauri huu:
Qur'an 28:
55. Na wanaposikia upuuzi hujitenga nao na husema: Sisi tuna vitendo vyetu, na nyinyi mna vitendo vyenu. Salamun Alaikum, Amani juu yenu! Sisi hatutaki kujibizana na wajing
Hujajibu swali we mwanamke!!Elimu yangu itakusaidia nini wewe?au wewe elimu yako, inanisaidia nini mimi?nyie bwabwajeni, wenzenu wamekamata fursa,by the way, kama hujawahi kuona, haimaanishi havipo eboh
Hata kuandika PhD hujui!! PHD ndio nini??nina PHD,toka tu mkuu,kama umeichoka JF