Nyie wahitimu kwanini msijiajiri

Tuition zenyewe zipo kweli......

Si zilifutwa .......?

Yaani mwalimu atafute kazi ya tuion
Dactari atafute tuition ya kutibu....
Nesi pia atafute tuition ya uuguzi ?

Hapo ndipo nauliza budget ya kuajiri inaenda wapi?

mbona sijakuelewa,hizo proffesion ulizozitaja hakuna anayestrugle na masomo????si wanafundishwa theory??
 
Mbona mnalalamikia Magufuli hamna ajira.

Kwa nini msijikusanye kikundi,cha watu wenye fani tofauti(mlizosomea university)mfano mmoja akawa amesomea law,mwingine Accouning n mwingine labda biashara etc.........mkaanza kutoa TUITION kwa watu wanaosoma sasa hivi (undergraduates na post graduates.....current students,mnawasaidia watu kupambana na masomo yao,study skills..............mnaweza kuwasaidia kujenga confidence,kuandika assignment,course work,essay writing ,dissertation etc

NB msiwaandikie bali mfundishe how to do it....
Unaona kabisa vijana wamenyimwa mikopo ya masomo sasa hayo mafundisho ya ziada watawalipa nini wanaowakochi!?
 
kwani waliokosa mkopo wanaenda uni mkuu,mie nimesema current students,meaning walio chuo tayari,km hiwezekani potezea mkuu
 
umejitahidi kuwaza vizuri, lakini sio kitu rahisi kama unavyozani kuwa na tuition ya chuo kikuu
 
Kwa hela gani walizokuwa nazo hao wanachuo,Pita pale mabibo hostel mida ya jioni uwaone wanachuo wa mlimani jinsi wanavyokula mihogo ............izo tuition labda wawafanyie mkopo
 
Huwa mnatoa ushauri kama waganga wa kienyeji.

Back
Top Bottom