Nyie wahitimu kwanini msijiajiri

Nyie wahitimu kwanini msijiajiri

duuuh tuition chuo kikuu? Mleta uzi hembu anza kwanza ww kufundisha hiyo tuition halafu sisi tutafata.

kwani chuo,hakuna kupass na kufaulu??yaani mtu kwa nini kama hana confidence asitafute tuition taratibu imjenge,kuliko kufeli na kurudia mwaka?
 
Daaaah ama kweli masikini akipata ....yaani huyu M.A.L.A.Y.A kapata buzi leo limempa 5000 basi ndo akaona vijana wanaosubir ajira ndo wa kulingishia duuuuh.....Haya maana wewe una DUKA...Endelea kuuza bidhaa yako....
 
mkuu usiniangushie jumba bovu,nilikua najaribu kusaidia,afu usitumie matusi,siku moja ukikua,na ukaangalia post zako za nyuma utajiona mjinga.
 
Kama vipi waombe moderator watoe hii kitu maana imekaa kama ina nguvu za Giza ndani yake.

Ushauri gani huu......!!!!

Naonea huruma wazazi wako kwa kuzaa poyoyo kama wewe,naona hii topic umeivalia kibwebwe yapi yanakusibu?
 
mkuu usiniangushie jumba bovu,nilikua najaribu kusaidia,afu usitumie matusi,siku moja ukikua,na ukaangalia post zako za nyuma utajiona mjinga.
Sidhani kama kuna siku ntajutia kukutukana ningejutia kama ningepita tu bila kukutusi...hongera kwa kusaidia licha ya kuwa sifahamu unawasaidia nn zaid ya kuwaenjoy....
 
Back
Top Bottom