Nyie wahitimu kwanini msijiajiri

Nyie wahitimu kwanini msijiajiri

Mbona mnalalamikia Magufuli hamna ajira.

Kwa nini msijikusanye kikundi,cha watu wenye fani tofauti(mlizosomea university)mfano mmoja akawa amesomea law,mwingine Accouning n mwingine labda biashara etc.........mkaanza kutoa TUITION kwa watu wanaosoma sasa hivi (undergraduates na post graduates.....current students,mnawasaidia watu kupambana na masomo yao,study skills..............mnaweza kuwasaidia kujenga confidence,kuandika assignment,course work,essay writing ,dissertation etc

NB msiwaandikie bali mfundishe how to do it....

Pumba/ upupu
 
irrelevant!

huo ni ushauri,kama hujapenda potezea mkuu.simple.
Unajua maana ya "irrelevant"? Umeulizwa maswali ya msingi ambayo yanahusiana na mada unakwepa kujibu.
Elimu yako ya mashaka lakini kwa hakika uelewa wako mdogo.
 
mmnh vyovyote utakavyochukulia mkuu,nimejibu vizuri, kwa hizo personal attacks mimi situmii machine,natumia moyo wa nyama,na si lazima wote mkubaliane na mimi,mimi nimelenga kuwasaidia watu,waone katika mtazamo mwingine, msikatishe watu tamaa hili jambo lipo,na wenzenu wana mpango wa kulifanya,au hayo maswali ya msingi ni yapi unayotaka kuuliza?
 
Mada yako inahusu wahitimu na kujiajiri. Je wewe ni mhitimu? Na wewe umejiajiri? Au umesikia na kusoma sehemu halafu unataka kutoa ushauri.

Swala la tuition kwa chuo tusijadili.
 
mmmnh umesema vizuri mada ni wahitimu na kujiajiri,hapo hapo unasema kama mimi ni muhitimu ama not,na nimejiajiri ama not,again mkuu bado nashikilia ulichosema ni IRRELEVANT!,wewe chukua wazo baasi,kama una kazi ni vyema,ila kuna maelfu hawana,nimepata feedback kwa wachache walioona hii ni fursa,na hii inatosha ,sio kanisani hapa wote mseme Amen
 
Tatizo mtu yuko ofisini halaf anakushaur ukianza na kuku watano baada ya miez 4 utakua na kuku 30. Huyu pengine hajui hata bei ya kifaranga, changamoto za kufuga, gharama za uendeshaji, hata masoko hajui. Watu hodari sana wa kutoa ushaur na kukuaminisha kuwa ni kitu rahisi.
 
pole,either ukiskia hivyo ufanye uchunguzi uone kama ni kweli au la ,kama wewe ndio wale hawachanganyi na za kuambiwa then hilo ni tatizo lako,endelea ku doubt each and everything......in the end wewe ndio unajua unataka kufanya nini maishani,kuna sir branson wa Virgin,ambae si engineer ilhali kawaajiri ma engineer kibao!
 
Be consistent with your choice of language, either use English or Swahili. I doubt your advice and your level of understanding as well. No way I'll consider your advice. You can never understand the struggle of a graduate since you are not one. Just keep your shallow ideas to yourself. In colleges and universities, there are group discussions, and not tuition. You'd have known this if you had gone to college.
 
eboh,just because you haven't heard about some thing,doesnt mean it doesn't exist.i don't want to waste my time explaining to you this or that,totally waste of time,again I can writte here whichever language I want,this should be none of your fu.cking business!...and I feel pity on your parents,if at all they paid fees for a moron like you to go to university,and you came out IGNORANCE IDIOT,you can tell Rebeca,all your bullshit and yet you can not find simple information!!! and your call yourself a 'learned brother',educated my ar.se!

My last post to you,sikujibu tena,una ishu zako wewe.....

Byee hater!
 
Mbona mnalalamikia Magufuli hamna ajira.

Kwa nini msijikusanye kikundi,cha watu wenye fani tofauti(mlizosomea university)mfano mmoja akawa amesomea law,mwingine Accouning n mwingine labda biashara etc.........mkaanza kutoa TUITION kwa watu wanaosoma sasa hivi (undergraduates na post graduates.....current students,mnawasaidia watu kupambana na masomo yao,study skills..............mnaweza kuwasaidia kujenga confidence,kuandika assignment,course work,essay writing ,dissertation etc

NB msiwaandikie bali mfundishe how to do it....
Ule ugonjwa umekurudia tena.
 
eboh,just because you haven't heard about a thing,doesnt mean it doesn't exist.i don't want to waste my time explaining to you this or that,totally waste of time,again I can writte here whichever language I want,this should be none of your fu.cking business!...and I feel pity on your parents,if at all they paid fees for a moron like you to go to university,and you came out IGNORANCE IDIOT,you can tell Rebeca,all your bullshit and yet you can not find simple information!!! and your call yourself a 'learned brother',educated my ar.se!

My last post to you,sikujibu tena,una ishu zako wewe.....

Byee hater!
My parents have nothing to do with this. This just proves how stupid you are. You'll never reach my standards. I'm way beyond your class. If you want to feel pity, feel pity on yourself.
 
yes,they are responsible for your ignorance!,you cant reach my standards either,you cant argue objectively,stupid.
 
Kukosa chanjo za utotoni ndo matokeo yake hayo... Kweli tuition chuo kikuu???

wewe nae....

Tuition chuo kikuu,HAIWEZEKANI,INAWEZEKANA AU HAIPO....

jibu kwanza tuendelee.....
 
Mbona mnalalamikia Magufuli hamna ajira.

Kwa nini msijikusanye kikundi,cha watu wenye fani tofauti(mlizosomea university)mfano mmoja akawa amesomea law,mwingine Accouning n mwingine labda biashara etc.........mkaanza kutoa TUITION kwa watu wanaosoma sasa hivi (undergraduates na post graduates.....current students,mnawasaidia watu kupambana na masomo yao,study skills..............mnaweza kuwasaidia kujenga confidence,kuandika assignment,course work,essay writing ,dissertation etc

NB msiwaandikie bali mfundishe how to do it....
Hatujafundisha kujiajili tumefundishwa kuajiliwa hayo mambo labda watu wa SUA au VETA Maana kule kuna practical ila me nimesoma BA nikafundishe na mwalimu afanye nn
 
Mbona mnalalamikia Magufuli hamna ajira.

Kwa nini msijikusanye kikundi,cha watu wenye fani tofauti(mlizosomea university)mfano mmoja akawa amesomea law,mwingine Accouning n mwingine labda biashara etc.........mkaanza kutoa TUITION kwa watu wanaosoma sasa hivi (undergraduates na post graduates.....current students,mnawasaidia watu kupambana na masomo yao,study skills..............mnaweza kuwasaidia kujenga confidence,kuandika assignment,course work,essay writing ,dissertation etc

NB msiwaandikie bali mfundishe how to do it....
Wazo zuri ila sio rahisi kiivo.Swala la ajira ni jepesi kulizungumzia ila ni vigumu kupambana nalo.Yanahitajika mazingira wezeshi ili mtu aweze kujiajiri jwa tz bado.
Kukosa chanjo za utotoni ndo matokeo yake hayo... Kweli tuition chuo kikuu???

kwani waliokosa mkopo wanaenda uni mkuu,mie nimesema current students,meaning walio chuo tayari,km hiwezekani potezea mkuu
 
Back
Top Bottom