Nyie wahitimu kwanini msijiajiri

Nyie wahitimu kwanini msijiajiri

Chukua time, nijibu nini? Haya mashudu yenu?
Anyways enough me talking, ila mleta mada una wazo zuri ila umekosa hekima katika majibu yako, na kwa mtu timamu ameshajua we ni mtu gani!!

Na kama una haiba hii na kama wewe ni mwanamke, wewe hutakua na hasara ila wanao na walio kuzunguka watajuta!! Kila la kheri mleta mada na nikutakie mema yoote katika kufungua twisheni za vyuo vikuu!!
 
Thanks mkuu,huyo mtu atakayenijua mimi ni mwanamke wa haiba gani,ujue yuko hivyo hivyo kama mimi,ana haiba hiyo hiyo, they say,it takes one to know one mmmmmmmmmmmmmmmmmnh
 
Mnatake it simple neno kujiajiri Asee..Hivi mbona hujajiuliza hawa watu wengi wanaofanya hizi Employability Training wao wenyewe wameeajiriwa.....Kujiajiri inategemea na Passion na Desire ya mtu unaweza ukajiajiri na huna hyo passion mwisho wa siku unacho ki gain ni excessive loss
 
Acha matusi wewe, elimu yako kama kubwa, inanisaidia nini mimi?

By the way sijui mnalolipinga ni lipi??jiongezeni, Tafuteni kny search engine za computer zenu private tuition MJIONGEZE!!!! Nimewasamehe kwa sababu najua hamkupata exposure, mfyuuu
Choo kikuu ulisoma tuition ya kujifunza kuandika? Elimu ya chupi ni majanga,
Idiot...
 
Mbona mnalalamikia Magufuli hamna ajira.

Kwa nini msijikusanye kikundi,cha watu wenye fani tofauti(mlizosomea university)mfano mmoja akawa amesomea law,mwingine Accouning n mwingine labda biashara etc.........mkaanza kutoa TUITION kwa watu wanaosoma sasa hivi (undergraduates na post graduates.....current students,mnawasaidia watu kupambana na masomo yao,study skills..............mnaweza kuwasaidia kujenga confidence,kuandika assignment,course work,essay writing ,dissertation etc

NB msiwaandikie bali mfundishe how to do it....
tunalima braza na kusafirisha mazao Zambia na Congo japo wenzetu wa education bado wanalia lia mtaji sijui sie tumetoa wapi
 
Mbona mnalalamikia Magufuli hamna ajira.

Kwa nini msijikusanye kikundi,cha watu wenye fani tofauti(mlizosomea university)mfano mmoja akawa amesomea law,mwingine Accouning n mwingine labda biashara etc.........mkaanza kutoa TUITION kwa watu wanaosoma sasa hivi (undergraduates na post graduates.....current students,mnawasaidia watu kupambana na masomo yao,study skills..............mnaweza kuwasaidia kujenga confidence,kuandika assignment,course work,essay writing ,dissertation etc

NB msiwaandikie bali mfundishe how to do it....
Wewe umejiajiri na nini?
 
Ajira siku hizi wanakimbilia siasa au serikalini wengi walijua huko ndo kutoka haraka kwa madili
lakini hii miaka 5 kufuli limefunga hiyo mipango itabidi huo ushauri waupokee
 
Mawazo yakichanganyika na umbea matokeo yake ni haya.

Hivi unadhani kujiajiri ni kazi rahisi kama uwazavyo ?

Hao watu wa masomo ya ziada unayafundisha katika mazingira gani ? Gheto,chumbani,chini ya mti,au kwenye magari ya abiria?

Unaposema kujiajiri ni neno fupi ila ni pana sana kulielezea, mimi nimemaliza majuzi (nimesomea mambo ya wanyamapori) sasa sijui unamanisha nifungue mbuga yangu na mimi nianze kutembeza watalii na kuwaonesha huyu ni mbwa mwitu na huyu ni kobe !!!

Sitaki ujibu ila elewa kimoyomoyo
 
Mkuu,kama uliweza kukaa darasani na kusoma course yako,kwa nini the same setting isi apply kwa private tuition??? au course yako ilikua 100% field??

by the way,if you don't know kuna watu wanafundisha online kama skype......

And kama umenisoma vizuri,nilikua nalenga study skills more than content of syllabus,ingawa contents zinaweza kufundishwa pia.

Study skills kama essay writing,report writing,dissertation ndio tatizo,

anyway siwashangai,this comes as culture shock,hamjawa exposed na mambo haya ndio maana naambulia matusi..............

na wewe usinijibu,elewa tu hivyo.............
 
Kaa utulie tumia lugha moja sijakuelewa kabisa
 
Nilikua namaanisha,kama ulikaa darasani chuoni,kwa nini hayo mazingira yasiweze kuigwa kwenye tuisheni, Yaani darasa,mwalimu na wanafunzi? Kama vile unapata lecture ila ni tuisheni?

Nikauliza kama masomo yako yalikua practical 100%hukuudhuria lecture hata moja?

Nikasema mazingira ya Sasa sio lazima mkutane ndio mfundishane, mnaweza kutumia computer na mtandao kama Skype unatumika kama mfano..

Nikasema sio lazima kufundishwa km syllabus inavyosema, bali Ufundi wa kufanya kazi za shule, kama kuandika essay, report na matumizi sahihi ya computer kufanya kazi za shule. Nikasema pia kama mtu amebobea kwenye ujuzi fulani mfano,Finance anaweza kufundisha mambo hayo aliyosomea_(Contents)

Mwisho nikasema hili jambo ni geni kwenu, so matusi Yanatarajiwa....

Nilichokiobserve kwenye hii thread, wasomi kama ndio hawa wakiambiwa kitu, hawafanyi utafiti wa hicho kitu... badala yake wanabisha kutokana na Vitu walivyokaririshwa wakiwa shule... Mnhhhh this is sad
 
Asante sana,nimejifunza na nimegundua wewe ni mwanamke mstaarabu na mvumilivu ,heko kwako rebeca83...Mungu akujalie.
 
Back
Top Bottom