Nyie wahitimu kwanini msijiajiri

Nyie wahitimu kwanini msijiajiri

Sidhani kama kuna siku ntajutia kukutukana ningejutia kama ningepita tu bila kukutusi...hongera kwa kusaidia licha ya kuwa sifahamu unawasaidia nn zaid ya kuwaenjoy....

haya mkuu poa,kama dhamira yako ni nyeupe,hujutii baso kheri
 
Mbona mnalalamikia Magufuli hamna ajira.

Kwa nini msijikusanye kikundi,cha watu wenye fani tofauti(mlizosomea university)mfano mmoja akawa amesomea law,mwingine Accouning n mwingine labda biashara etc.........mkaanza kutoa TUITION kwa watu wanaosoma sasa hivi (undergraduates na post graduates.....current students,mnawasaidia watu kupambana na masomo yao,study skills..............mnaweza kuwasaidia kujenga confidence,kuandika assignment,course work,essay writing ,dissertation etc

NB msiwaandikie bali mfundishe how to do it....
KUUNDWA JUKWAA LA WAHITIMU WA DEGREE NA DIPLOMA NCHINI.
 
Mbona mnalalamikia Magufuli hamna ajira.
Kwa nini msijikusanye kikundi,cha watu wenye fani tofauti(mlizosomea university)mfano mmoja akawa amesomea law,mwingine Accouning n mwingine labda biashara etc.........mkaanza kutoa TUITION kwa watu wanaosoma sasa hivi (undergraduates na post graduates.....current students,mnawasaidia watu kupambana na masomo yao,study skills..............mnaweza kuwasaidia kujenga confidence,kuandika assignment,course work,essay writing ,dissertation etc
NB msiwaandikie bali mfundishe how to do it....
Kujiajiri sio tatizo, ila atajiajiri kwa bila msaada kwa kweli?! Tuwe na vyombo vya kuwasaidia hawa, kuanzia mafunzo mpaka funding, kuwa nao karibu, kuwapa moyo na ushauri wa kutosha..
 
kwani chuo,hakuna kupass na kufaulu??yaani mtu kwa nini kama hana confidence asitafute tuition taratibu imjenge,kuliko kufeli na kurudia mwaka?
daah kwel wewe hujasoma hata level ya certificate, chuo kikuu kule lecturer ndio anatoa silabasi ya course (course outline) na yeye ndio baraza la mitihani, sasa unaweza ukasoma tuition huko halafu isikusaidie ukienda kwenye lecture ukute vitu tofauti kabisa, sista wala usisumbuke kuanzisha tuition piga ua huwezi pata hata mteja m1.
 
Kwa kiasi kikubwa, elimu ya Tz haimuandai mwanachuo kujiajiri. Humuandaa kukariri ili kufauru mtihani!!!!
 
1. Mfumo wa elimu wa kibongo haumuandai mhitimu kujiajiri. Ni kukariri ama kutumia any possible magumashi ili afaulu mitihani na kupata cheti. Wahitimu wengi wana-lack 'survival skills'.

2.There is some element of positivism kwenye bandiko la mleta Uzi. Japo, pursuant to the 1 above, it is therefore never easy kwa wahitimu hao to act on the same and implement.

N.B: Mleta mada ana hoja nzuri sana, ila tatizo anajadili kwa jazba sana.

-Kaveli-
 
Mbona mnalalamikia Magufuli hamna ajira.

Kwa nini msijikusanye kikundi,cha watu wenye fani tofauti(mlizosomea university)mfano mmoja akawa amesomea law,mwingine Accouning n mwingine labda biashara etc.........mkaanza kutoa TUITION kwa watu wanaosoma sasa hivi (undergraduates na post graduates.....current students,mnawasaidia watu kupambana na masomo yao,study skills..............mnaweza kuwasaidia kujenga confidence,kuandika assignment,course work,essay writing ,dissertation etc

NB msiwaandikie bali mfundishe how to do it....

Swali lako na hoja yako ni nzuri na njama sana.

Tatizo ni mfumo wa elimu na maisha waliyokuwa nayo, vichwa vyao vimeshajazwa ujinga wa kuwa wao ni wa kuajiriwa tu. Mawazo ya kitumwa.
 
Kumbe na ww huwa unaongea upuuzi Cwez amini.
 
Ukiuona ni upuuzi fata ushauri huu:

Qur'an 28:
55. Na wanaposikia upuuzi hujitenga nao na husema: Sisi tuna vitendo vyetu, na nyinyi mna vitendo vyenu. Salamun Alaikum, Amani juu yenu! Sisi hatutaki kujibizana na wajing
 
1. Mfumo wa elimu wa kibongo haumuandai mhitimu kujiajiri. Ni kukariri ama kutumia any possible magumashi ili afaulu mitihani na kupata cheti. Wahitimu wengi wana-lack 'survival skills'.

2.There is some element of positivism kwenye bandiko la mleta Uzi. Japo, pursuant to the 1 above, it is therefore never easy kwa wahitimu hao to act on the same and implement.

N.B: Mleta mada ana hoja nzuri sana, ila tatizo anajadili kwa jazba sana.

-Kaveli-
Asante Kaveli

This is opportunity to seize it.

Hapo juu, naona wengi hawajui kama kuna hiki kitu, kina exists,so ukikamata fursa, itakuwa biashara nzuri tu,lool

Kwa nini mtu adisco, wakati angeomba private tuition aka consolidate kila anachosomea, aka gain confidence, na kufanya vizuri darasani?

Nyie wengine nawasamehe, hamjui muandikalo hahaaa
 
Upo too low! Haishangazi kwamba elimu yako ni ya kushikishwa ukuta...
Acha matusi wewe, elimu yako kama kubwa, inanisaidia nini mimi?

By the way sijui mnalolipinga ni lipi??jiongezeni, Tafuteni kny search engine za computer zenu private tuition MJIONGEZE!!!! Nimewasamehe kwa sababu najua hamkupata exposure, mfyuuu
 
Ukiuona ni upuuzi fata ushauri huu:

Qur'an 28:
55. Na wanaposikia upuuzi hujitenga nao na husema: Sisi tuna vitendo vyetu, na nyinyi mna vitendo vyenu. Salamun Alaikum, Amani juu yenu! Sisi hatutaki kujibizana na wajing
Sio watu wote wazima wana hekima.
 
Elimu yangu itakusaidia nini wewe?au wewe elimu yako, inanisaidia nini mimi?nyie bwabwajeni, wenzenu wamekamata fursa,by the way, kama hujawahi kuona, haimaanishi havipo eboh
Hujajibu swali we mwanamke!!
 
Back
Top Bottom