Nyie wahitimu kwanini msijiajiri

Nyie wahitimu kwanini msijiajiri

Naona umepata like moja nadhani umeelewa tayari kwamba mada yako haina mashiko na umeongea utoto
Usidhani watu wote hawapendi kujiajiri
Yaani wewe unaangaliaga likes?mnh ili iweje? Angalia profile langu likes ziko kibao!by the way siangalii km majority wameshindwa kuona positive side, mie naangalia yule mmoja ambae nimeweka impact Katika maisha yake, period!
 
kwani waliokosa mkopo wanaenda uni mkuu,mie nimesema current students,meaning walio chuo tayari,km hiwezekani potezea mkuu
hili wazo lako babu kubwa,sasa mtu wa sumbawang,katavi, kigoma, ngara anawapa tuition wanachuo wapi maana hakuna vyuo huko
 
Ina maana hakuna graduates wanaotokea sehemu hizo?mmmnh haya bwana...
 
Mbona mnalalamikia Magufuli hamna ajira.

Kwa nini msijikusanye kikundi,cha watu wenye fani tofauti(mlizosomea university)mfano mmoja akawa amesomea law,mwingine Accouning n mwingine labda biashara etc.........mkaanza kutoa TUITION kwa watu wanaosoma sasa hivi (undergraduates na post graduates.....current students,mnawasaidia watu kupambana na masomo yao,study skills..............mnaweza kuwasaidia kujenga confidence,kuandika assignment,course work,essay writing ,dissertation etc

NB msiwaandikie bali mfundishe how to do it....
Weee umejiajiri au unapga porojo tu humu?
 
Siku nyingine uulize kwanza sio unaleta vitu havieleweki humu.

bichwa lako ndio linashindwa kuelewa,aliye elewa kaanza mbele na fursa,sasa wewe bakia na maneno yako ya kejeli,by the way kubwabwaja hata mie naweza.
 
Sio kila fikira ya kujenga inasimamisha jengo, afu kumbuka kuhesabu hatua kwa fikira ni rahisi kuliko vitendo
 
Mbona mnalalamikia Magufuli hamna ajira.

Kwa nini msijikusanye kikundi,cha watu wenye fani tofauti(mlizosomea university)mfano mmoja akawa amesomea law,mwingine Accouning n mwingine labda biashara etc.........mkaanza kutoa TUITION kwa watu wanaosoma sasa hivi (undergraduates na post graduates.....current students,mnawasaidia watu kupambana na masomo yao,study skills..............mnaweza kuwasaidia kujenga confidence,kuandika assignment,course work,essay writing ,dissertation etc

NB msiwaandikie bali mfundishe how to do it....
Siyo rahisi kama unavyo dhani au kama unavyoaminishwa! By the way kujiajiri ndio njia pekee iliyobakia...
 
Mbona mnalalamikia Magufuli hamna ajira.

Kwa nini msijikusanye kikundi,cha watu wenye fani tofauti(mlizosomea university)mfano mmoja akawa amesomea law,mwingine Accouning n mwingine labda biashara etc.........mkaanza kutoa TUITION kwa watu wanaosoma sasa hivi (undergraduates na post graduates.....current students,mnawasaidia watu kupambana na masomo yao,study skills..............mnaweza kuwasaidia kujenga confidence,kuandika assignment,course work,essay writing ,dissertation etc

NB msiwaandikie bali mfundishe how to do it....
Naomba kukuuliza, je wewe ni mhitimu wa chuo?
Kama ndio umehitimu ngazi gani na fani gani?
Vipi je wewe umejiajiri au umeajiriwa, kama umejiajiri eleza njia ulizopitia, na kama umeajiriwa kipi kilikufanya ukaajiriwa badala ya kujiajiri?
 
irrelevant!

huo ni ushauri,kama hujapenda potezea mkuu.simple.
 
Kama muandshi kamaliza hata form 6 natoka humu JF
 
duuuh tuition chuo kikuu? Mleta uzi hembu anza kwanza ww kufundisha hiyo tuition halafu sisi tutafata.
 
Back
Top Bottom