Nyie wahitimu kwanini msijiajiri

Nyie wahitimu kwanini msijiajiri

duh! we chuo ulichosoma ulikua unasoma na tution pia? hata kama umeishia darasa la saba usitake jf wote tujue
 
mwacheni tu...anataka nae aonekane kaanzisha uzi jf..

uliza kwanza dada kabla hujaongea..uliona wapi chuo kuna tuition wewe..au ili mradi tu...

saa zingine kukaa kimya ni bora zaidi kuliko kuongea"
Kama hujaona, ni wewe hujaona,sio kama havipo hivyo vituo..kwanza watu washa seize opportunity, Sasa wewe kaa hapo na bakuli lako,kama linakuongezea chochote!!
 
Unamaanisha wanachuo wasome tuition?
Yap, si wanasoma, kama wanafunzi wengine???Yaani mnaruhusu tuition ya OLEVEL NA ALEVEL, afu mnakataa kusiwe na tuition chuo?? kwani chuo watu hawafeli?
 
Tuition zenyewe zipo kweli......

Si zilifutwa .......?

Yaani mwalimu atafute kazi ya tuion
Dactari atafute tuition ya kutibu....
Nesi pia atafute tuition ya uuguzi ?

Hapo ndipo nauliza budget ya kuajiri inaenda wapi?
Wee nae, baadhi ya wanafunzi bado wanahitaji study skills za chuo, na ni tofauti kabisaaa na jinsi ulivyokua secondary, kuna essay writing, report writing, course work na dissertation, Nilichokua nataka kusema ni technique jinsi ya kutackle masomo,
 
Kama hujaona, ni wewe hujaona,sio kama havipo hivyo vituo..kwanza watu washa seize opportunity, Sasa wewe kaa hapo na bakuli lako,kama linakuongezea chochote!!
Kama hujaona, ni wewe hujaona,sio kama havipo hivyo vituo..kwanza watu washa seize opportunity, Sasa wewe kaa hapo na bakuli lako,kama linakuongezea chochote!!

ngojea nikae kimya ili kuonekane tofauti kati ya akili ndogo na akili kubwa..
 
Rebeca 83 said:
Km huna kitu constructive pita.
Usiwe unaleta utumbo.

Unaleta vitu havieleweki sijui umetolea wapi au ulikuwa umekula maharage yaliyochacha....!!;
 
Mbona mnalalamikia Magufuli hamna ajira.

Kwa nini msijikusanye kikundi,cha watu wenye fani tofauti(mlizosomea university)mfano mmoja akawa amesomea law,mwingine Accouning n mwingine labda biashara etc.........mkaanza kutoa TUITION kwa watu wanaosoma sasa hivi (undergraduates na post graduates.....current students,mnawasaidia watu kupambana na masomo yao,study skills..............mnaweza kuwasaidia kujenga confidence,kuandika assignment,course work,essay writing ,dissertation etc

NB msiwaandikie bali mfundishe how to do it....
Mleta mada umesoma mpaka level gani?? Ushawahi kusoma chuo kikuu?? Na kama ushawahi chuoni kuna tuition?? Nnachoona ni kwamba hata diploma huna maana ungekua umefika walau diploma usingeeza andika huu ujinga!!

NB: wewe umejiajiri???
 
Naona umepata like moja nadhani umeelewa tayari kwamba mada yako haina mashiko na umeongea utoto
Usidhani watu wote hawapendi kujiajiri
 
Usiwe unaleta utumbo.

Unaleta vitu havieleweki sijui umetolea wapi au ulikuwa umekula maharage yaliyochacha....!!;
Acha matusi ya reja reja,kila mtu anajua kutukana,eboh!
 
Mleta mada umesoma mpaka level gani?? Ushawahi kusoma chuo kikuu?? Na kama ushawahi chuoni kuna tuition?? Nnachoona ni kwamba hata diploma huna maana ungekua umefika walau diploma usingeeza andika huu ujinga!!

NB: wewe umejiajiri???
Elimu yangu itakusaidia nini wewe?au wewe elimu yako, inanisaidia nini mimi?nyie bwabwajeni, wenzenu wamekamata fursa,by the way, kama hujawahi kuona, haimaanishi havipo eboh
 
Back
Top Bottom