Ndio kashasema harudi nchi ya majambazi yanayoteka innocent people.
Bongo Rudi 2025 mwana icj na interpo watakuwa washaliokoa taifa.Harudi mtu Bongoa nimeteseka sana aisee
View attachment 1304380View attachment 1304381View attachment 1304382View attachment 1304383
IccBongo Rudi 2025 mwana icj na interpo watakuwa washaliokoa taifa.
WEWE JAMAA MUONGO SANA HUONI AIBU??? HIZO PICHA NI ZA HELSINKI FINLAND. HIYO TRENI NI HELSINKI HATA NEMBO YA HELSINKI TRANSPORT IKO HAPO HSL. PRISMA NI S HEKILANTO CHAIN INAPATIKANA FINLAND NA WAMEFUNGUA PIA ESTONIA. NASOMAGA NYUZI ZAKO ZIMEJA KUSADADIKIKA NA UWONGO. UNAPATA FAIDA GANI?Harudi mtu Bongoa nimeteseka sana aisee
View attachment 1304380View attachment 1304381View attachment 1304382View attachment 1304383
Halafu huyo kwenye picha ni kama namfahamu hivi. Wee posti picha za watu tu bila ridhaa zaoHarudi mtu Bongoa nimeteseka sana aisee
View attachment 1304380View attachment 1304381View attachment 1304382View attachment 1304383
Usithubutu kushawishiwa na demu wako wa Mbagala kurudi , huku utekaji ndio maendeleoHarudi mtu Bongoa nimeteseka sana aisee
View attachment 1304380View attachment 1304381View attachment 1304382View attachment 1304383
KWANINI WALIMDAKA? Inawezekana kuna watu wanatafutwa kimya kimya? mi nilidhani mtu akitafutwa huwa kuna taarifa hata mtafutwaji anakuwa nazo kwamba anatfutwa ili ama aende mwaenyewe polisi au akamatwe ikiwa atakataa?Hata likizo Turks and Caicos.
Juzi mtu karudi Bongo kadakwa airport, wamemuweka mpaka picha na namba ya passport JF.
Nika i report thread.
Wakaifuta.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wala haitishi. Nikutii tu mamlaka halali iliyopo hakuna wa kukufuata. Ukijifanya kimbelembele na kiherehere utashukiwa kama mwewe. Mustakabari wa nchi lazima ulindwe kwa njia zozote zile.KWANINI WALIMDAKA? Inawezekana kuna watu wanatafutwa kimya kimya? mi nilidhani mtu akitafutwa huwa kuna taarifa hata mtafutwaji anakuwa nazo kwamba anatfutwa ili ama aende mwaenyewe polisi au akamatwe ikiwa atakataa?
Au nchi yetu hii huwa ni kuviziana tu?! Hujui hili wala lile unadakwa, ikiwa hivyo inatisha mbona.
Kuna haki za kikatiba zinavunjwa, mamlaka inayovunja katiba inajiondolea uhalali.Wala haitishi. Nikutii tu mamlaka halali iliyopo hakuna wa kukufuata. Ukijifanya kimbelembele na kiherehere utashukiwa kama mwewe. Mustakabari wa nchi lazima ulindwe kwa njia zozote zile.
Aisee na mimi nilitaka ku comment kitu kama hiki khs namna alivyosimama,si mchezo kwa kweli.mhh picha no3 jamaa ilo pose naona una lipenda sana lakini si salama kwa Man upande wa pili ndo hua wana penda kufanya ivo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe,Wala haitishi. Nikutii tu mamlaka halali iliyopo hakuna wa kukufuata. Ukijifanya kimbelembele na kiherehere utashukiwa kama mwewe. Mustakabari wa nchi lazima ulindwe kwa njia zozote zile.
We unaumwa kabisa yaan hata picha yangu nayo unaibishia? Watoka kigoma nini?WEWE JAMAA MUONGO SANA HUONI AIBU??? HIZO PICHA NI ZA HELSINKI FINLAND. HIYO TRENI NI HELSINKI HATA NEMBO YA HELSINKI TRANSPORT IKO HAPO HSL. PRISMA NI S HEKILANTO CHAIN INAPATIKANA FINLAND NA WAMEFUNGUA PIA ESTONIA. NASOMAGA NYUZI ZAKO ZIMEJA KUSADADIKIKA NA UWONGO. UNAPATA FAIDA GANI?
NIMEISHI NORWAY WEE JAMAA UNAKERA. UNACHUKUA PIACHA ZA WATU NA KUPOST HUMU. SHAME BE UPON YOU