Nyie Tekaneni hapa Molde Norway XMass yangu Imeisha hivo

kyaibumba

JF-Expert Member
Sep 8, 2017
715
989
Harudi mtu Bongo nimeteseka sana aisee

FB_IMG_1577360822843.jpg
FB_IMG_1577360761739.jpg
 
WEWE JAMAA MUONGO SANA HUONI AIBU??? HIZO PICHA NI ZA HELSINKI FINLAND. HIYO TRENI NI HELSINKI HATA NEMBO YA HELSINKI TRANSPORT IKO HAPO HSL. PRISMA NI S HEKILANTO CHAIN INAPATIKANA FINLAND NA WAMEFUNGUA PIA ESTONIA. NASOMAGA NYUZI ZAKO ZIMEJA KUSADADIKIKA NA UWONGO. UNAPATA FAIDA GANI?

NIMEISHI NORWAY WEE JAMAA UNAKERA. UNACHUKUA PIACHA ZA WATU NA KUPOST HUMU. SHAME BE UPON YOU
 
Hata likizo Turks and Caicos.

Juzi mtu karudi Bongo kadakwa airport, wamemuweka mpaka picha na namba ya passport JF.

Nika i report thread.

Wakaifuta.

Sent using Jamii Forums mobile app
KWANINI WALIMDAKA? Inawezekana kuna watu wanatafutwa kimya kimya? mi nilidhani mtu akitafutwa huwa kuna taarifa hata mtafutwaji anakuwa nazo kwamba anatfutwa ili ama aende mwaenyewe polisi au akamatwe ikiwa atakataa?
Au nchi yetu hii huwa ni kuviziana tu?! Hujui hili wala lile unadakwa, ikiwa hivyo inatisha mbona.
 
Wala haitishi. Nikutii tu mamlaka halali iliyopo hakuna wa kukufuata. Ukijifanya kimbelembele na kiherehere utashukiwa kama mwewe. Mustakabari wa nchi lazima ulindwe kwa njia zozote zile.
 
Avatar ya mleta mada ni kama inafanana na yule jamaa aliyekamatiwa Pakistani, mtanzania aliyeshirikiana na wenzake wa kundi la al-Qaeda kulipua ubalozi wa Tanzania na Kenya, august 7,1998. Sijui kama ndiye au wanafanana.
 
WEWE JAMAA MUONGO SANA HUONI AIBU??? HIZO PICHA NI ZA HELSINKI FINLAND. HIYO TRENI NI HELSINKI HATA NEMBO YA HELSINKI TRANSPORT IKO HAPO HSL. PRISMA NI S HEKILANTO CHAIN INAPATIKANA FINLAND NA WAMEFUNGUA PIA ESTONIA. NASOMAGA NYUZI ZAKO ZIMEJA KUSADADIKIKA NA UWONGO. UNAPATA FAIDA GANI?

NIMEISHI NORWAY WEE JAMAA UNAKERA. UNACHUKUA PIACHA ZA WATU NA KUPOST HUMU. SHAME BE UPON YOU
We unaumwa kabisa yaan hata picha yangu nayo unaibishia? Watoka kigoma nini?
 
Back
Top Bottom