Nyie Clouds -mada ya masturbation mnayorusha sasa hivi hamuoni mnahamasisha?

kibaravumba

JF-Expert Member
Dec 21, 2012
6,635
7,005
Nimesikitika sana kuwepo kipindi hewani tena live kinachozungumzia pornograph.
Jinsi huyu mzungumzaji anavyosema bila hata tafsida na kurudia rudia maneno kama masturbation,nimeshangaa na nimeona aibu kubwa mbele ya watoto tukinywa chai.
Mimi nikiwa nimeachana na mke wangu na nimeamua kuishi peke yangu,jamaa anasema watu wa jinsi yangu tuko possessed na mapepo ya masturbation!! Naamini watoto walianza kujiuliza kweli baba naye anafanya hivi!Kwani nina jilinda sana watoto wasijue mahusiano yangu ya nje.
Vipindi kama hivi muwe mnaviweka usiku sana,si haki kuwajengea watoto udadisi wa masuala haya wazi wazi hivi..
 
Kufichaficha haya mambo ndiko kumeifikisha hii jamii ilipo.
Si kweli.Kuna njia nyingi za ku address masuala kama haya bila kuharibu utulivu wa hisia za watu.
Aidha kuweka wazi namna hiyo bila kuja na suluhisho la kweli ni kama kumwaga petroli katika moto uwakao.
 
Si kweli.Kuna njia nyingi za ku address masuala kama haya bila kuharibu utulivu wa hisia za watu.
Aidha kuweka wazi namna hiyo bila kuja na suluhisho la kweli ni kama kumwaga petroli katika moto uwakao.
Mkuu kama nimemsikia vizuri alieleza kwamba kipindi kijacho atakuja na suluhisho.
 
TV au redio? Mimi nasikiliza Easy Sunday ni muziki juu ya muziki hata mtangazaji haongei.
 
Umeshauri vipindi kama hivi viwe vinawekwa usiku sana
Hao watoto wa miaka hii hawalali ndg yangu
Watoto gani mkuu wasiolala?Mtoto anaamka saa 11 asb kujiandaa kwenda shule anaanzaje kuchelewa kulala?
Ni bora wangemuachia Diva mambo hayo kuliko mtu kuvaa joho la utumishi wa Mungu na kuhamasisha masturbation
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom