Nyeti za siri zinapochafukwa

Daahh Mshana Jr Mimi niliipenda fasihi lakini kwa watu wa Mara Kiswahili kinatuona vibaya .

Lakini naomba Mungu apishe mbali . Pamoja na kuwa kichwa kigumu tulimzoea [emoji120][emoji40]
 
Wewe jamaa wewe, nimekuvulia kofia
 
Nyakati za mwisho mkuu. Ni ajabu watu kufurahia mwingine kupata matatizo as if wao hayawapati au Ndio watoaji wa hayo matatizo
Usikute wao walipopatwa na jambo, naye alifurahia... Kila mtu abaki na vya tumboni mwake nyumbani kwake
Ahahahaaaa [emoji16][emoji23][emoji1787][emoji102][emoji40]
 
Hivi Mgibeon unafamu hata mstatili unaweza kuwa na mzingo? Na utupu pia...labda uniambie mshazari

Sent using Jamii Forums mobile app
Aiseeee, nilikuaga napenda sana hesabu ila hizi hazikuwahi kunivutia Mkuu, tuombe Mungu hata majibu yakija tofauti na matarajio huenda ikawa ni Shamba darasa kwake hivyo ile hali yabisi(jiwe) ikawa kimiminika!
 
Mji mzitooo ....expansion joint huanza taratibu na hatimae kuonekana na jamii nzima
Msonobari ni mojawapo ya miti isiyotoa matunda ya kuliwa na binadamu wala wanyama, ni mti mgumu, mti wa dhiki sawa sawa tu na mkafiri... Sipendi sana miti isiyotoa matunda ambayo ni edible..... Wanyama mwitu, wadudu hata ndege wana tabia ya kuchoronga miti kwa nia ya kupata kivuli na makazi.... Msonobari ni mti katili, hovyo kabisa hautaki kolabo wala mazoea na wengine ni mbinafsi sana...

Ukikuta mdudu ama mnyama kachoronga msonobari mwangalie kwa jicho la tahadhari... Na maranyingi kaliba hiyo ya viumbe hai ni hatari sana kwa uhai wa wengine.... Wao huchoronga na kujichimbia humo ndani kimya kabisa... Ukijipendekeza ukaingia anga zao hizo my friend umekwisha.....!

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…