Barabara zote, tena zilikuwa zinapitika bila lami, kiangazi au masika. Zilikuwepo kabla ya Nyerere.
Nyerere hakuleta barabara mpya wakati wake zaidi ya vichochoro vya Sinza, Manzese na Buguruni. Na hata hivyo vilikuiwa havipitiki kabla ya yeye kuondoka.
So u agree kwamba tatizo la viwanda under mwalimu was management, sio idea ya kuvimiliki kwa njia ya umma, right?
Kuhusu kwamba mashirika niliyoyataja ya umma ni katika nchi za mafuta na natural resources, zinategemea subsidy 100% kutoka serikalini, unaweza kulifafanua na kulijadili in relation na suala la shirika letu la ATC kwa mfano ambalo sio natural resources related? halafu ujadili suala la Mwadui Diamond ambalo lilikuwa owned na government, kwani hili ni la natural resource base, can you discuss this also in the context of hoja yako ya yale mashirika ya hizo nchi?
Barabara zote, tena zilikuwa zinapitika bila lami, kiangazi au masika. Zilikuwepo kabla ya Nyerere.
Nyerere hakuleta barabara mpya wakati wake zaidi ya vichochoro vya Sinza, Manzese na Buguruni. Na hata hivyo vilikuiwa havipitiki kabla ya yeye kuondoka.
Huelewi na wala hutaelewa...pole sana!Hiyo knowledge ni Textbook, Mkandara.
Naona kwenye hiyo kahawa umeshapata jibu kwamba ilikuwa hamna demand. Hiyo bei kuuzwa kidogo ni sababu za kutokuwa na higher demand.
@Mchambuzi, thats why I keep saying, the issue is not what the late Mwl. Nyerere did not do, but what has the current administration achieved for Tanzanians! Trying to smear Mwalimu does not resolve a single problem which face this nation. Every administration will be held to account for their own successes and failures. Transferring current failures to a Man who has passed away more than a decade ago won't wash.​*Source ya hizi data ni world bank website kwenye section ya databank, lakini i can email you the Excel file iwapo utahitaji;
- According to the worldbank data, by 1985, total kilometres za paved roads yani zinazopitika msimu mzima (lami na sio za lami) was 88,000 kilometres; as of 2008, total kilometres za paved roads (lami na sio za lami) ni 87,524 kilometres;
- Reli, 1985 total network was 4,444 kilometres, today, 2,600 kilometres;
Cha kustaajabisha ni kwamba hata physical infrastructure inapungua sambamba na idadi ya wanyama wale wanaobebwa KIA na midege ya middle east, sijui hizi ndege zinazobeba twiga na ngiri wetu, pia zinabeba mataruma ya reli kama chuma chakavu, na kokoto zilizomwagwa kwenye barabara zetu, na kuzipelekea zisipitike tena?
Unajua hamna duniani nchi yenye pure 100% capitalism. Hata Marekani yenyewe kuna kampuni bado zinamilikiwa na serikali. Lakini ukichunguza, utagundua hizi kampuni zinazomilikiwa na serikali hazina ufanisi zaidi ya kampuni binafsi.
Sasa ukienda ktk utendaji. Nyerere alikuwa na agenda ya kuprovide free education, vyakula, matokeo yake, where is the revenue gonna come from? Sasa hivi viwanda vilishindwa kuwa na ideology ya kumaximize profit zaidi ya kusustain na kudepend na government subsidize. Issue, ktk uchumi lazima uwe na growth. Nyerere alishindwa kuprovide free social services kwa sababu alishindwa kuwa na growth ktk hivyo viwanda. Matokeo yake, hivyo viwanda vilifeli kujiendesha.
Unajua issue ya nchi yetu kushindwa kuwa na successful ktk natural resources zetu, hiyo ni issue ya utendaji zaidi.
Barabara zote, tena zilikuwa zinapitika bila lami, kiangazi au masika. Zilikuwepo kabla ya Nyerere.
Nyerere hakuleta barabara mpya wakati wake zaidi ya vichochoro vya Sinza, Manzese na Buguruni. Na hata hivyo vilikuiwa havipitiki kabla ya yeye kuondoka.
FaizaFoxy;3005373]1) Nyerere kajenga barabara ipi zaidi ya Dar-Tunduma?
Kinachosikitisha zaidi ni kuwa kama malengo ya awali ya kusaidia landlock countries hayapo, kwanini Tanzania istumie kipande cha Dar hadi Mbeya kwa usafiri wa abiria na mizigo.Nguruvi3,Kuhusu reli, mwalimu aliondoka Tanzania ikiwa na a total of 4,444 kilometres of railway network; leo hii ni 2,600 kilometres; sasa sielewi kama hata mataruma ya reli nayo yanabebwa kama wale wanyama wa KIA?
Kuna mkuu mmoja kutoka nchi za magharibi huku, ninafahamiana naye, alishangazwa kuona serikali bado inajenga two lanes in 2011, alisema hatuko serious!!Kinachosikitisha zaidi ni kuwa kama malengo ya awali ya kusaidia landlock countries hayapo, kwanini Tanzania istumie kipande cha Dar hadi Mbeya kwa usafiri wa abiria na mizigo.
Treni ndio usafiri unaochukua bidhaa nyingi kwa wakati mmoja na kwa bei rahisi sana. Inasikitisha mahindi yanaoza Sumbawanga halafu kuna mtu anakufa njaa Monduli. Yaani reli ipo hata maarifa ya kuweka injini na mabehewa hayapo.
Nakumbuka Tazara ilivyokuwa ukombozi kwetu kule Mang'ula, Mlimba, Ifakara, Kisaki n.k. Sisi wa Mtimbira na Kidogobasi tukikumbuka tunabubujikwa na machozi.
Uwepo wa reli ungesaidia kuongeza muda wa maisha ya bara bara za lami.
Nchi zote zilizoendelea, marekani, Uingereza, Canada, Japan watu wanatumia reli. Margareth Thatcher alipoanza kuiongelea reli kuhusu ubinafsishaji waingereza wakamwambia ampishe mwingine number 10 Down street.
Huyo Nyerere anayeitwa kila majina ya uovu, akiondoka ikulu reli zilikuwa na mabehewa na injini. Nakumbuka wakati huo ukisikia Injini ya Mcanada (Bombardier) basi uelewe behewa 40 zimefunga, Mwanza, Tabora, Kigoma n.k zinahamia Dar.
Waliofuata wakawaalika matapeli wakang'oa reli kama vyuma chakavu. Hawa ndio tunaaminishwa wamejenga reli na kuweka lami. Hii imani kama si upuuzi ni nini. Ni hawa ndio tunaambiwa wameleta Internet huku nchi ikirudi miaka 20 nyuma. Kuna wenzetu wanaamini Pipi na Big za Pakistan ni maendeleo! poor friends.
Huelewi na wala hutaelewa...pole sana!
Mkandara
Acha kuchanganya mambo. Mwanzo ulikuwa unaliza sababu zinasozababisha kupanda na kushuka bei nikakujibu nikakwambia ni Supply na Demand.
Sasa nini point yako? Uliza jambo bila ya kuchanganya mambo.
Stocks = supply.
Price is inversely proportional to supply.....Ceteris peribus (other things constant).![]()
Ulikuwa unajaribu kunijibu au umeweka kama show. Hiyo graph ni relationship kati ya Coffee Stock na Coffee Price. Ukiwa kama investor, inabidi ununue coffee stock wakati price yao ikiwa low. Hapo unaona hiyo graph inavyoenyesha, demand inapozidi price ya stock price inapanda. Matokeo yake, kama ni good investor huwezi kununua stock inapokuwa ktk highr price. Ndiyo maana unaona decline ktk demand in coffee stock kuanzia 04-10. Is all about Supply and Demand.
Anyway- Naona upo OFF topic.
Demand ina decline? Au inaongezeka kutokana na supply ndogo?
Anyways..... soma hapo chini.
The International Coffee Organization (ICO) estimates that global coffee consumption rose 2.4 percent to a record 134 million 60kg bags last year and it sees the upward trend continuing despite the rise in prices.
"There's no impact [from high prices] in terms of a reduction in demand. Demand is still very dynamic," ICO chief economist Denis Seudieu said.
"We base our estimates on what's happened in the last 10 years and the average growth rate is 2.5 percent per annum. We think that trend will continue," he added.
Sipo off topic, umeleta ubishi wa demand ya kahawa kwa hiyo usiyeyushe.... kuhusu Nyerere kuwa baba wa Taifa, hilo ni wewe na wenzio ndiyo mnabisha, wengi wetu tunamkubali na huwezi kuniambia lolote nikakuelewa...Ile graph uliyokuwa uliyoipost ni relationship kati ya Coffee Stock na Coffee Price. Yes, demand inadecline. Na ktk ile graph demand ya Coffee stock ilikuwa inadecline kutokana na kuongezeka kwa Coffee Price.
By the way, mbona upo OFF topic.
Sipo off topic, umeleta ubishi wa demand ya kahawa kwa hiyo usiyeyushe.... kuhusu Nyerere kuwa baba wa Taifa, hilo ni wewe na wenzio ndiyo mnabisha, wengi wetu tunamkubali na huwezi kuniambia lolote nikakuelewa...
Sasa turudi kwenye kahawa....
Coffeee stocks ni magunia ya kahawa yaliyopo maghalani..... ukiona machache ujue demand ni kubwa ndiyo maana yamebaki machache... na bei hupanda.
Emerging economies kama vile China, zimkuwa zikitumia gahawa kama hawana akili nzuri... ubovu wake tumeshindwa ku capitaslize on it.... hata kahawa yetu siku hizi ina quality mbovu...kwa hiyo usisingizie demand kushuka.. demand imekuwa ikiongezeka kama wataalam wanavyokwambia, usitake kuleta utaalam wako hapa!!!
2.5% PER ANNUM INCREASE FOR THE LAST 10 YEARS!!!!
naona kwenye hiyo kahawa umeshapata jibu kwamba ilikuwa hamna demand. hiyo bei kuuzwa kidogo ni sababu za kutokuwa na higher demand.
hapo kwenye red ulikuwa unamaanisha nini???
Mkandara alikuwa anacompare uzalishaji wa kahawa from 1972-1982, ukilinganisha na sasa hivi.....Ndiyo maana nimekuambia kwamba upo OFF topic. Mkandara alikuwa anazungumzia issue ya mwaka 1980 na wewe unaleta takwimu za mwaka 2011!!
Nimempa sababu zinazosababisha price ni Supply na Demand, yeye akawa ananiambia mambo ya wanunuzi kwamba walitaka kununua kwa bei ndogo. Sasa mnunuzi atataka kununua bei ndogo bila kuona Supply kubwa?
Ukiwa na bidhaa ikizidi excess of supply basi ujue mnunuzi lazima atataka kukupangia bei. Kwa sababu anajua atapata sehemu nyengine. Ndiyo maana nikamjibu changing in price ni kati ya Supply na Demand.