Nyerere: Salaam zenu mnaomkejeli!

Nyerere: Salaam zenu mnaomkejeli!

Mkandara

Usichanganye mambo. Ile Great Depression ni part of the flactuation ktk uchumi. In order, kwa free market to sustain lazima iwepo recession au zaidi ya recession. Ndiyo maana hata 2007-9 tumeona another recession lakini haikuwa kubwa kama ile ya 1930s.

Ujamaa system ilikuwa ni maisha ya kila siku haikuwa short term kama recession ktk free market. Tunabishana bure, wakati Nyerere alitoa hotuba mwenyewe na alikiri kushindwa kwa Ujamaa TZ.

Are you trying to tell us then recession ni kit kizuri kwa uchumi? nataka kusikia hoja yako juu ya hili;

Kuhusu nyerere kukiri kushindwa na ujamaa, mbona haujajibu maswali yangu ya awali kwamba nani baada ya yeye amekiri na kuomba msamaha kwamba, free market imeleta mfumuko wa informal sector usio na mwelekeo plus massive unemployment ya vijana ambayo sasa waansema ni timing bomb, free mkt imetuletea migodi inayozalisha dhahabu isiyo na manufaa kwa watanzania zaidi ya kemikali zinazomwagwa kwenye mito kumaliza uhai wao; free mkt ambayo ndugu zetu wa ziwa victoria wanaachiwa mapanki tu ya samakil; free market inayoshuhudia wageni wakija na madege yao na kubeba wanyama kwa bei ya bure; wananchi kupigwa marungu kudai haki ambazo walihaidiwa wakati wa kupigania uhuru; mbona hatusikii msamaha kwa haya? hakika haya ni maafa makubwa zaidi ya Ujamaa;
 
Unazungumza vitu gani mkuu wangu. Unataka kusema great depression ni sawa na recession? hivi kweli umesoma na kuelemika au unazungumza tu vitu ili mradi kufurahisha baraza? na how do you measure depression by the way?...

Pili, miaka ya 70 unaweza nambia ni sababu zipi zilisababisha mazao yetu kushuka bei? na kama ilikuwa recession how long ilichukua mazao hayo hayo kupanda bei tena hata kufikia nusu ya miaka ya nyuma.. Kama Kahawa yetu aina ya Arabica ilishuka bei kwa asilimia 80 wakati uzalishaji wetu uliongezeka double of what we produce before 1967 wewe unatumia hesabu gani kuonyesha kwamba tulishindwa! Umewahi kusikia kitu kinaitwa The dutch disease!
 
Hata TV, mafridge yalikuwepo duniani wakati Nyerere yupo madarakani; lakini WTZ hawakuruhusiwa kuwa navyo. Wanajeshi WTZ walipoivamia Uganda walishangaa kuona Waganda wana TV, fridge, lakini bongo kulikuwa hakuna kitu.

Bado tunaendelea kukumbuka ule unga "Yanga" kwa sababu ya Ujamaa.

Bado tunaendelea kukumbuka ile foleni mafuta.

Ebu, acha ubishi wa Simba na Yanga.
Unazidi kuji-expose,ndio maana nakusihi utulie utajua tu hata kwa kusoma mambo ya wengine.

Zanzibar walikuwa na TV tena ya rangi ya kwanza Africa. Je, imewasiadiaje kuondoa lindi la umasikini. Je, imeinua vipi elimu ya watu wake. Hivi ICU katika hospitali ya Znz inapokosa kiyoyozi tu, zile TV zinasaidiaje wagonjwa.
Hivi ni kipi bora kuwekeza katika chuo kikuu kama alivyofanya Nyerere, kuwekeza katika mabwawa ya umeme, kuwekeza katika miuondo mbinu kama Bara bara na reli au kununua TV!

Huko Uganda kulikokuwa na TV wakati wa vita wamepiga hatua gani ili Tanzania ijilaumu kuhusu TV.
Samahani sana kuingia katika anga zako, mimi naongelea uchumi, huduma za jamii na siasa kwa mantiki zake.
Sitarudia kujibu hoja za internet na TV.
 
YAH: HOJA YA FOLENI WAKATI WA UJAMAA NA MWALIMU KUOMBA MSAMAHA
ATTENTION: MR.RIGHT, FAIZA FOXY NA WENZENU KATIKA HOJA

Kwanza na awali ya yote, Mr. Right, naomba tuelewane kwamba hapa hatubishani, or at least on my part, tunachofanya ni kujadiliana kwa hoja. kwahiyo hoja kwamba huu ni ubishi baina yangu na wewe naomba uiondoe akili mwako.

Ø Tulijadili hili la Nyerere Versus Free Market – Kwa hoja, sio Malumbano.

Pia hili linamhusu Dada yangu Mpendwa, FAIZA, maana hata kwake, suala la foleni wakati wa Mwalimu limekuwa wimbo wa taifa sasa.

Mr Right, Kwanza, nilishaeleza kwa kirefu jinsi gani umaskini Tanzania, Kenya, Nigeria, etc, haujalishi nchi zetu zinafuata Ujamaa au Soko Huru (SOKO HOLELA). Nikauliza, je, Kwa wale wanaosema Ujamaa ulitupotezea muda, kwanini nchi zilizoendelea na soko huru moja kwa moja baada ya uhuru wao, leo wote wapo na sisi kwenye lowest level ya Maendeleo kwa vipimo vya UNDP – HDI? According to the UNDP, kuna levels nne za development: (1) Very High; (2) High; (3) Middle; and (4) Low Level. Katika Africa, only one country is in High level (Libya), Middle level zipo nchi kama 7, the rest of the countries in Africa i.e 85% of the continent zipo kwenye LOW LEVEL pamoja na sisi Tanzania. Isitoshe, hata Nigeria, Taifa lililojikita kwenye soko huru tangia uhuru, na la saba duniani kwa uzalishaji wa mafuta, limepitwa na Tanzania in terms of vigezo hivyo vya HDI vinavyoangalia impact of uchumi kupaa (kama wanavyotuimbia wanasiasa wetu) i.e. GDP Growth katika kuboresha maisha ya wananchi – literacy levels, educational outcomes, life expectancy, and improved standard of living (quality of life);

Nikauliza, je, haitoshi kutuamsha watanzania wanaomdhihaki Nyerere kwamba mdudu anayetutafuna wote ni mmoja bila ya kujali mfumo wetu ni upi kiuchumi?

Mwalimu aliwahi kusema, uhuru wa kisiasa tumeupata, kazi kubwa iliyopo mbele yenu nayowaachia ni ya kujikomboa kiuchumi. Pia alitamka haya alipoenda USA kwa mwaliko maalum by JFK, White House 1963 (video clip ipo Youtube), aliposema huu ni uhuru wa kisiasa tu, mapambani ndio kwanza yameanza. Ndugu zangu, kinachotumaliza baada ya miaka 50 baada ya uhuru wa Kisiasa,sio kingine bali the unfair integration of our societies into the global capitalist system. Suala la uongozi na sera zetu za nyumbani ni suala secondary. The global current capitalist system – ni mfumo ambao unatupokonya uhuru wa kufanya maamuzi yetu ya kiuchumi from the MACRO PERSPECTIVE – decisions on where and how to invest, what to produce, how to mobilize savings, exchange rates, employment/unemployment levels, trade movements, inflationary targets etc; jukumu hili wamelipokonya wakubwa – World Bank, IMF na WTO ambao wapo kwa ajili ya maslahi ya Nchi Tajiri (G8). Uhuru tulionao kiuchumi sisi ni ule wa MICRO LEVEL – households zetu, kwamba leo tule chai na nyanya, ugali na kachumbari, etc. Muundo wa uchumi unaowapa wananchi control ya household decisions (MICRO), huku MACRO ikiwa sio tu nje yao, bali hata serikali yao, ni uchumi Uchwara. Kwa mfumo huo, Maendeleo ya mwananchi yatatokea wapi? Watapenya penya wachache tu kama wewe Mr Right, Faiza na wengineo. Wengi wanaopenya wanapata uwezo wa maisha ambao ni very artificial, sio kutokana na mishahara yao.

Sijui kwanini wengi wetu tunaendeshwa na ushabiki, huku wakubwa wa nje wakitucheka kwani nia yao ni Tanzania na other parts of Africa zibakie kuwa a rural Yard for Europe and North America. Rural Yard kwa maana ya supply of raw materials, minerals…; Wanaofaidi katika mfumo huu ni wachache sana. Kwa kweli hoja kwamba Bora Afrika ije tu kutawaliwa tena na Mkoloni ina mantiki kama watu wa namna yenu ndio walio wengi. Nyerere alijitahidi sana kuzuia huu upuuzi.

Ø Tulitazame suala lako juu ya Nyerere Kukiri kushindwa na Ujamaa
Kama una busara na uelewa wa hali halisi, haitakiwi ubeze Mwalimu kuomba msamaha, bali kumuona shujaa na kuhimiza awe mfano wa kuigwa na viongozi waliomfuatia. Nyerere alikuwa na ujasiri wa ajabu kuthubutu kuwaambia wakubwa wa nje we are a self- determined nation, but ofcourse wakamzidi nguvu; Sasa msamah wa kwamba we wanted to be self determined but we failed ni wa kukejeli jamani? Pia Mwalimu alituacha na warning kuhusu yatakayojiri mbeleni. Ndio haya haya ya GDP growth kuwa na wastani wa 7% kwa miaka zaidi ya kumi sasa, huku Human Development Index inayopima matokeo ya GDP Growth kuboresha maisha ya watanzania kiafya, kielimu etc, ikituweka permanently nafasi ya 150-152 kati ya nchi 187 duniani. Na wanasiasa mnaowashabikia kwamba ndio wamefanya mema chini ya soko huru (SOKO HOLELA) wanapita majukwaani kuisifia hali hiyo, huku nyinyi mkipiga makofi.

Mr Right, ebu tuambie Whats Right:

· JE, unajua ni watanzanai wangapi katika Tanzania ya leo ISIYOKUWA NA FOLENI, wanalala njaa i.e. hawawezi kupata mlo zaidi ya mmoja kwa siku chini ya hilo soko huria, lisilo na foleni?

· JE, ni kiongozi gani chni ya soko huria amewahi kuomba msamaha kwamba sera za soko huria zinawanyima maisha bora wananchi walio wengi pamoja na familia zao?

· JE, ni kiongozi gani wa soko huru amewahi waomba radhi ndugu zetu kule Mwanza na Musoma kwa jinsi gani kemikali za wawekezaji kwenye migodi zinazomwagwa ovyo in the name of soko huria zinawamaliza ndugu zetu?

· JE, ni kiongozi gani wa soko huria amewahi kuomba radhi jinsi gani wananchi wa kanda ya ziwa (Mwanza), ambao walijaliwa na mwenyezi mungu Ziwa Victoria ili liwapatie vitoeo vya samaki, leo hii wanaambulia mapanki?

· JE, nani ambae amewaomba radhi wananchi kwamba, walipigania uhuru kwa ajili ya kurudisha hali ya haki na usawa, only kupigwa virungu na polisi wakidai haki zile walizoahidiwa?

Mr. Right, mambo ya kuombewa radhi ni mengi, lakini hakika, hakuna aliyeombea radhi kwa lolote chini ya soko huruhilo, na sidhani kama yupo atakayethubutu kwani, aliyewajali kwa dhati hatunae tena.

Mr. Right, let us see what is right and what is wrong hapa. Ebu tutazame takwimu zifuatazo ambazo kwa maoni yangu, nazo zinahitaji viongozi waliokuja baada ya Mwalimu, kuwaomba wananchi wa vijijini kwa kuachia soko huru (HOLELA) limalize kabisa matumani yao.

Mmezungumza suala la foleni wakati wa Mwalimu, Mr.Right, Faiza, Je, Tanzania ya Leo ipo nafuu gani bila ya foleni?
· 68% of Tanzanians (milioni kama 30 kati ya jumla ya watu milioni 45) wanaishi chini ya $1.25 a day, hii ni sawa na just about T.sh 2,000 kwa siku. Mr. Right, Fauza, given the current exchange rate (compared na enzi za Mwalimu), unajua mlo mmoja kwa MAMA NTILIE ni shilling ngapi, hata kama mama ntilie wamejaa mitaani na hivyo kutohitaji mtu upange foleni?

· Wangapi wanaweza afford kila ya nyama, unga, sukari kwenye maduka ya kumwaga, ambayo hayahitaji tena foleni?

· Je, mnajua nauli ya basi ya siku nzima ni shillingi ngapi, pamoja na utitiri wa mabasi ambayo hayahitaji watu kupanga tena foleni? Wakati wa Mwalimu kulikuwa na foleni, tena katika kipindi fulani tu, lakini ilitokana na juhudi za Mwalimu kupunguza tatizo la inequity; soko huria limesaidia kina nani sasa compared to Mwalimu?

· Je, mnajua gharama ya umme ni shilling ngapi, umeme ambao hauhitaji foleni kwani unaweza lipia hata kwa M-PESA, TIGO PESA au AIRTEL MONEY?

Ujamaa ulizaa mambo kadhaa ambayo mmeyaweka bayana. Fine, Je, soko huria mbali na kuondoa hizo foleni kama tulivyokwisha ona hapo juu, limezaa nini?

Leo hii, ni mengi ikiwa ni pamoja na yafuatayo:
· Income share held by the highest 10% of the population is 30%;
· Income share held by the highest 20% of the population is 45%;
· Hapa ina maana, 30% of the population wanahodhi 75% of wealth in Tanzania.

· Income share held by the lowest 10% is 7%;
· Income held by the lowest 20% is 3%;
· Hapa ina maana, 30% of the population (wale maskini wa kutupwa), kwa umoja wao wanahodhi only 10% of wealth in Tanzania.

This means the remaining bit, 15% ndio middle Class in Tanzania;
Now, 75% hapo juu PLUS 15% hapo juu, leaves us with 15% to make it 100%; Hii 15% remaining ndio middle class ya Tanzania.

Je, Mr. Right, Dada Faiza, katika Tanzania ya leo isiyokuwa na foleni, mpo kwenye kundi lipi?

Ndugu zangu, with intense concentration of power, wealth and knowledge in the few hands hapa Tanzania, hata mtoto mdogo wa shule might be able to tell kwamba katika mazingira haya hakuna kitu kinatwa free market (let alone demokrasia); kumbukeni: Free Market assumes and requires more or less equal actors in the game, not a few GIANTS living among many DWARFS or MIDGETS. Ndugu zangu, Free Market doesn’t count heads, it counts dollars. It favors the rich and powerful, not the miserable many because of their numbers (70% of wanavijiji). Sasa hawa ndio watakuja weka mambo sawa. Nyerere alishawaonyesha njia, lakini safari yao iliyojaa matumaini, ik
akatishwa ghafla.

Nyerere kivipi katuonyesha njia? wakati option aliyomuachia Mwinyi ilikuwa ni kubinafsisha viwanda vyote ili kufuata masharti ya IMF. Kama Nyerere katuonyesha njia, kivipi Mwinyi alisema alikuta nchi haina kitu!! na wakati anasema maneno hayo Nyerere alikuwa hai na afya njema.

Kama Nyerere "alituonyesha njia," kwa nini alikiri Ujamaa "njia aliyotuonyesha" umeshindwa.

Nyerere alikuwa mzungumzaji mzuri, lakini ktk utendaji alikuwa ZERO.
 
Umeandika kwa urefu sana article kuhusu Ujamaa na Nyerere ideology za self determination. Lakini, kitu kimoja lazima uelewe kuhusu, Nyerere. Nyerere alifanya vile ili kuwa against na West na siyo kwa maslahi ya nchi.

Nyerere alikuwa anapenda sifa. Alijua fikra zake za Ujamaa zitakuwa bora iwapo hatakuwa na urafiki wa kibiashara na West. Wakati hiyo idea ilifeli hata kwa Warusi, na Wachina pia.

Unajaribu kucompare nchi zilizokuwa ktk Ujamaa na Market economy? Mbona siku nyingi hiyo comparison imeshapata jibu. Ujamaa umeshindwa vibaya duniani, na nchi zote duniani zimeamua kuwa na market economy; ikiwemo TZ.

Hoja yako juu ya Nyerere kufuata sera za ujamaa na kujitegemea ili kuwa against the west na sio kwa maslahi ya nchi haina mashiko; ningependa ufafanue zaidi ili tulijadili vizuri; vinginevyo, YES, he was against the unfair global capitalist system, na hata mwaka 1987, Two yrs after kustaafu, nchi za kusini zikiongozwa na Malaysia zikamwomba awaomgoze katika vita hiyo, na mafanikio ya south commission ni mengi, just google;

Kuhusu hoja ya Nyerere juu ya Ujamaa ilikuwa ni kutafuta sifa ni mjadala wa kitoto ambao nisingependelea to participate;

Kuhusu urafiki na west - nyerere hakuwa na uadui wowote na west, kwani all along, Sweden, Denmark, WorldBank, walikuwa nae bega kwa bega kumsaidia afanikiwe na Ujamaa; alichokuwa anataka Mwalimu was fair participation, instead of imposing on us system whereby WE PRODUCE WHAT WE DON'T CONSUME AND CONSUME WHAT WE DONT PRODUCE;

Kuhusu kufeli kwa Urusi fanya utafiti ujue nini kilichoiangusha Soviet, na Tanzania an Soviet hatukuwa tunafanana hata kidogo; sisi hatukuwa nchi ya kikomunisti, ndio maana hata siasa zetu zilikuwa ZA KUTOFUNGAMANA NA UPANDE WOWOTE; Ujamaa wa African Socialism, iliyolenga kuleta mafanikio kama ya Socialist Policies Za Sweden, kwa kuchukua pia elements za China kidogo; Ndio maana China and Sweden walikuwa ndio kipenzi wa Ujamaa kuliko yeyote mwingine; Na kusema China walifeli is WRONG - China wamefanya kile mwalimu alichotaka - kuwa self determined and to allow CAPITALISM ON THEIR OWN TERMS; kasome juu ya hilo;

Hakuna mtu anayefanya a comparative analysis juu ya Communism na Market economy, Mjadala hapa ni Ujamaa i.e. African Socialism, na ulilenga nini kwa Mtanzania, na usiwe unachanganya ukomunisti na ujamaa, vinginevyo tungekuwa wakomunisti tusingekuwa na misaada ya nchi za west wakati wa Mwalimu; idea ya mwalimu ya ujamaa was so noble, even to thinkers in the west; waliacha to support us dakika ya mwisho tu after the economic crisis ile ya late 1970s; i can give u details on what led to collapse of Ujamaa (internal and external factors) ili ikupe mwanga kidogo juu ya umuhimu wa kutofautisha Ujamaa na Ukomunist;
 
Ni barabara chache sana, tena sana ambazo ni mpya baada ya 1985, kilichotokea, tena sana sana wakati wa Mkapa ni kuzipiga lami zile zilizokongoroka, au zile ambazo mwalimu alizichonga; tumia busara kufikiria kama umewahi sikia wakati wa utu uzima wako kama kuna mradi mpya wa bara bara ambao ume involve watu kukata miti na mapori tanzania hii ili kutokea upande mwingine wa nchi; hadi leo, mradi wa makaa ya mawe ya mchuchumua liganga inabakia ndoto kwasababu hata wawekezaji wanapelekwa na Helikopta, kwani hata barabara ya kuchonga haipo; barabara mpya, iwapo zitatokea, ni zile zinazohusu Mtwara corridor;
Mchambuzi, hapa kuna tatizo la kujua (construction) na (Renovation) kama nitakuwa sahihi(engineers and architects watatusaidia).

Construction: ni pamoja na feasibility studies, environmental and ecological assessment, architectural and erecting main structure kwa ufupi. Renovation ni improvement of the already existing structure.

Pili, Kama Nyerere alijenga Dar-Tunduma, je ,Mwinyi/Mkapa/Kikwete katika miaka 25 wamejenga bara bara ipi kwa pamoja yenye urefu huo.

Watatu hao wamejenga reli ipi inayolingana na ile ya Mnyuzi-Ruvu au basi Tazara katika miaka 25 kwa pamoja.

Tuombe mungu asijekuturudisha mtu katika 'benchmark ya pipi, tv na internet'. Eh mola jalia asitokee awaye
 
Are you trying to tell us then recession ni kit kizuri kwa uchumi? nataka kusikia hoja yako juu ya hili;

Kuhusu nyerere kukiri kushindwa na ujamaa, mbona haujajibu maswali yangu ya awali kwamba nani baada ya yeye amekiri na kuomba msamaha kwamba, free market imeleta mfumuko wa informal sector usio na mwelekeo plus massive unemployment ya vijana ambayo sasa waansema ni timing bomb, free mkt imetuletea migodi inayozalisha dhahabu isiyo na manufaa kwa watanzania zaidi ya kemikali zinazomwagwa kwenye mito kumaliza uhai wao; free mkt ambayo ndugu zetu wa ziwa victoria wanaachiwa mapanki tu ya samakil; free market inayoshuhudia wageni wakija na madege yao na kubeba wanyama kwa bei ya bure; wananchi kupigwa marungu kudai haki ambazo walihaidiwa wakati wa kupigania uhuru; mbona hatusikii msamaha kwa haya? hakika haya ni maafa makubwa zaidi ya Ujamaa;

Recession siyo kitu kizuri; lakini in order kwa market economy to sustain lazima iwepo recession au zaidi. Unapokuwa na growth ktk economy lazima kutakuwa na factors ambazo zitasababisha kuwa na negative slope. Hizo factors, ni kama vile excess of production. Unapokuwa na excess ya production lazima utakuwa na higher supply than demand, matokeo yake inabidi ustop in order kuwa na equilibrium. Sasa unapostop kuwa n Equilibrium inabidi uanze kuachisha wafanyakazi ambayo itacreate unemployment. Which is low revenue for the gov. kwa sababu hutoweza kucollect tax. Hiyo ni moja ya hizo factors, ambazo zinatokea ktk growth in market economy lakini zipo nyingi tu ambazo zinatokea ktk market economy.

Kuhusu hili la pili, unajuwa nchi yetu bado changa ktk market economy. Tunahitaji tuwe na investment capital, kitu kinachosababisha kuleta wawekazaji ambao hawajali maslahi ya WTZ. Matatizo kama haya yanatokea hata nchi za Wakubwa, lakini kidogo wenzetu wanajitahidi ktk mambo kama kwa sababu wameanza siku nyingi halafu wanasheria ambazo zinaprotect maslahi ya wananchi wao.
 
Unazungumza vitu gani mkuu wangu. Unataka kusema great depression ni sawa na recession? hivi kweli umesoma na kuelemika au unazungumza tu vitu ili mradi kufurahisha baraza? na how do you measure depression by the way?...

Pili, miaka ya 70 unaweza nambia ni sababu zipi zilisababisha mazao yetu kushuka bei? na kama ilikuwa recession how long ilichukua mazao hayo hayo kupanda bei tena hata kufikia nusu ya miaka ya nyuma.. Kama Kahawa yetu aina ya Arabica ilishuka bei kwa asilimia 80 wakati uzalishaji wetu uliongezeka double of what we produce before 1967 wewe unatumia hesabu gani kuonyesha kwamba tulishindwa! Umewahi kusikia kitu kinaitwa The dutch disease!

Did I said is the same?

Jibu la pili- vitu vinavyosababisha kupanda na kushuka kwa bei ni Supply na Demand. Hizo ndizo factors zinazobabisha changing in price.
 
Umeandika hivi:-
Usichanganye mambo. Ile Great Depression ni part of the flactuation ktk uchumi. In order, kwa free market to sustain lazima iwepo recession au zaidi ya recession. Ndiyo maana hata 2007-9 tumeona another recession lakini haikuwa kubwa kama ile ya 1930s.

Sasa unaweza nambia nilipoweka maandishi mekundu ulikuwa na maana gani?
 
Unazidi kuji-expose,ndio maana nakusihi utulie utajua tu hata kwa kusoma mambo ya wengine.

Zanzibar walikuwa na TV tena ya rangi ya kwanza Africa. Je, imewasiadiaje kuondoa lindi la umasikini. Je, imeinua vipi elimu ya watu wake. Hivi ICU katika hospitali ya Znz inapokosa kiyoyozi tu, zile TV zinasaidiaje wagonjwa.
Hivi ni kipi bora kuwekeza katika chuo kikuu kama alivyofanya Nyerere, kuwekeza katika mabwawa ya umeme, kuwekeza katika miuondo mbinu kama Bara bara na reli au kununua TV!

Huko Uganda kulikokuwa na TV wakati wa vita wamepiga hatua gani ili Tanzania ijilaumu kuhusu TV.
Samahani sana kuingia katika anga zako,mimi naongelea uchumi, huduma za jamii na siasa kwa mantiki zake.
Sitarudia kujibu hoja za internet na TV.

Nguruvi3,

Acha kupindisha maneno. Uchumi upi? wa Nyerere? Ujamaa?
Unajua maneno ya Mwinyi, aliposema na Nyerere alikuwa HAI. "Nchi ilikuwa haina kitu." Na Nyerere mwenyewe alisema Ujamaa umeshindwa na nimefeli ktk Uchumi wa TZ. Kwa nini Nyerere alikubali kwamba alishindwa?

Acha Ubishi wa Simba na Yanga
 
Umeandika hivi:-

Sasa unaweza nambia nilipoweka maandishi mekundu ulikuwa na maana gani?

Sikusema kwamba ni the same. Ila hii ni jibu lako kuhusu hiyo point

Recession siyo kitu kizuri; lakini in order kwa market economy to sustain lazima iwepo recession au zaidi. Unapokuwa na growth ktk economy lazima kutakuwa na factors ambazo zitasababisha kuwa na negative slope. Hizo factors, ni kama vile excess of production. Unapokuwa na excess ya production lazima utakuwa na higher supply than demand, matokeo yake inabidi ustop in order kuwa na equilibrium. Sasa unapostop kuwa n Equilibrium inabidi uanze kuachisha wafanyakazi ambayo itacreate unemployment. Which is low revenue for the gov. kwa sababu hutoweza kucollect tax. Hiyo ni moja ya hizo factors, ambazo zinatokea ktk growth in market economy lakini zipo nyingi tu ambazo zinatokea ktk market economy.
 
Nyerere kivipi katuonyesha njia? wakati option aliyomuachia Mwinyi ilikuwa ni kubinafsisha viwanda vyote ili kufuata masharti ya IMF. Kama Nyerere katuonyesha njia, kivipi Mwinyi alisema alikuta nchi haina kitu!! na wakati anasema maneno hayo Nyerere alikuwa hai na afya njema.

Kama Nyerere "alituonyesha njia," kwa nini alikiri Ujamaa "njia aliyotuonyesha" umeshindwa.

Nyerere alikuwa mzungumzaji mzuri, lakini ktk utendaji alikuwa ZERO.

Kuhusu nyerere kukiri kushindwa na ujamaa, nilishatoa majibu awali na pia kuwaulizeni nyinyi maswali ambayo mmeyakwepa;

Kuhusu nyerere kuwa mzungumzaji sana, utendaji zero, that's subjective;

Vinginevyo unazidi kutupatia orodha ndefu zaidi ya mambo ambayo hata viongozi wa mbele ya nyerere ilibidi waombe radhi - unapotaja UBINAIFISHAJI WA VIWANDA, na pia sasahivi wawekezaji kuendelea kujichukulia tu rasilimali zetu chini ya soko (huru(soko holela); haya ni mambo ambayo viongozi wanahitaji kuwaomba msamaha watanzania kwani wananchi walivuja jasho kuvijenga viwanda hivi, na pia walikubaliana na mwalimu kuacha madini yale, na kuamua kusota kama wakulima na wafanyakazi mpaka nchi iwe tayari kuendesha migodi kwa fedha zake na kwa wataalam wake, only kuja kuporwa baada ya mwalimu kuondoka.

Ni muhimu pia ufanye utafiti juu ya nini ilipelekea viwanda vyetu kufa halafu urudi kwenye huu mjadala ukiwa na nyezo zaidi; vinginevyo, State Owned Companies Per Se sio mbaya, ilimradi zinaendeshwa kwa ufanisi; na tumeonea jinsi gani Nchi zilizoendelea zinavyo deal na hili swala kwani huwa ni a necessary evil at times; kama utasema managament under ya makampuni ya Umma under mwalimu ilikuja kuwa na matatizo, we can discuss that, but sio kwamba wazo la State owned Companies was a bad idea;

Katika List ya TOP 200 COMPANIES in the world BY REVENUE ($$$$$), mashirika ya umma yapo juu sana leo hii. Ntakupa mfano;
  1. Saudi Aramco, Saudi Arabia ni kampuni ya 14 kwa revenue duniani, imezipiku Volkswagen, Samsung, General Electric, HP, AT&T etc.
  2. Pemex (Mexico), ni ya 53rd duniani, mbele ya IBM, Sony, etc;
  3. Venezuela Petroleos, 57th, ni kubwa kulika hata Sony;
  4. National Iranian Oil, 89th, ni kubwa kuliko hata Toshiba, Fiat;
  5. Petronas Malaysia, 94th, ni kubwa kuliko Microsoft, Vodafone;
  6. Tamasek, Malaysia, 121st, ni kubwa kuliko Barclays Bank, Boeing;
Sisi hata TPDC, pamoja na bunge la Bajeti mwaka huu kuiruhusu kuingia katika biashara ya mafuta, tena kwa kulazimisha serikali kweli kweli, hadi leo hii haijapewa fedha hata senti tano kwa ajili hiyo;
 
Mchambuzi, hapa kuna tatizo la kujua (construction) na (Renovation) kama nitakuwa sahihi(engineers and architects watatusaidia).

Construction: ni pamoja na feasibility studies, environmental and ecological assessment, architectural and erecting main structure kwa ufupi. Renovation ni improvement of the already existing structure.

Pili, Kama Nyerere alijenga Dar-Tunduma, je ,Mwinyi/Mkapa/Kikwete katika miaka 25 wamejenga bara bara ipi kwa pamoja yenye urefu huo.

Watatu hao wamejenga reli ipi inayolingana na ile ya Mnyuzi-Ruvu au basi Tazara katika miaka 25 kwa pamoja.

Tuombe mungu asijekuturudisha mtu katika 'benchmark ya pipi, tv na internet'. Eh mola jalia asitokee awaye

Nguruvi3,

Kuhusu reli, mwalimu aliondoka Tanzania ikiwa na a total of 4,444 kilometres of railway network; leo hii ni 2,600 kilometres; sasa sielewi kama hata mataruma ya reli nayo yanabebwa kama wale wanyama wa KIA?
 
Kuhusu nyerere kukiri kushindwa na ujamaa, nilishatoa majibu awali na pia kuwaulizeni nyinyi maswali ambayo mmeyakwepa;

Kuhusu nyerere kuwa mzungumzaji sana, utendaji zero, that's subjective;

Vinginevyo unazidi kutupatia orodha ndefu zaidi ya mambo ambayo hata viongozi wa mbele ya nyerere ilibidi waombe radhi - unapotaja UBINAIFISHAJI WA VIWANDA, na pia sasahivi wawekezaji kuendelea kujichukulia tu rasilimali zetu chini ya soko (huru(soko holela); haya ni mambo ambayo viongozi wanahitaji kuwaomba msamaha watanzania kwani wananchi walivuja jasho kuvijenga viwanda hivi, na pia walikubaliana na mwalimu kuacha madini yale, na kuamua kusota kama wakulima na wafanyakazi mpaka nchi iwe tayari kuendesha migodi kwa fedha zake na kwa wataalam wake, only kuja kuporwa baada ya mwalimu kuondoka.

Ni muhimu pia ufanye utafiti juu ya nini ilipelekea viwanda vyetu kufa halafu urudi kwenye huu mjadala ukiwa na nyezo zaidi; vinginevyo, State Owned Companies Per Se sio mbaya, ilimradi zinaendeshwa kwa ufanisi; na tumeonea jinsi gani Nchi zilizoendelea zinavyo deal na hili swala kwani huwa ni a necessary evil at times; kama utasema managament under ya makampuni ya Umma under mwalimu ilikuja kuwa na matatizo, we can discuss that, but sio kwamba wazo la State owned Companies was a bad idea;

Katika List ya TOP 200 COMPANIES in the world BY REVENUE ($$$$$), mashirika ya umma yapo juu sana leo hii. Ntakupa mfano;
  1. Saudi Aramco, Saudi Arabia ni kampuni ya 14 kwa revenue duniani, imezipiku Volkswagen, Samsung, General Electric, HP, AT&T etc.
  2. Pemex (Mexico), ni ya 53rd duniani, mbele ya IBM, Sony, etc;
  3. Venezuela Petroleos, 57th, ni kubwa kulika hata Sony;
  4. National Iranian Oil, 89th, ni kubwa kuliko hata Toshiba, Fiat;
  5. Petronas Malaysia, 94th, ni kubwa kuliko Microsoft, Vodafone;
  6. Tamasek, Malaysia, 121st, ni kubwa kuliko Barclays Bank, Boeing;
Sisi hata TPDC, pamoja na bunge la Bajeti mwaka huu kuiruhusu kuingia katika biashara ya mafuta, tena kwa kulazimisha serikali kweli kweli, hadi leo hii haijapewa fedha hata senti tano kwa ajili hiyo;

Viwanda vyetu vilikufa kwasababu ya Utendaji mbovu. Ndiyo maana niliandika mwanzo- Nyerere msemaji mzuri sana, lakini utendaji wake ni ZERO.

Hayo ni mashirika ya umma ktk nchi za mafuta na natural resources. Zinategemea subsidize 100% kutoka serikalini.
 
Sikusema kwamba ni the same. Ila hii ni jibu lako kuhusu hiyo point
Kwa hiyo aloyaandika hayo hapa ni mwingine sio wewe.. watu wengine jamani unaruka maandishi yako mwenyewe kwa kuleta habari nyingine.

Halafu kilichotokea kwetu maiak ya 80s sio recession mkuu wangu hata kidogo, hii ni kutojua uzito wa maswala haya ya uchumi na ndio maana nasema umesoma lakini hukuelimika. Hakuna kitu ktk uchumi kinachokubaliana na dhana yako ati ili ku sustain market economy lazima iwepo recession au zaidi - hii habari imeipata wapi? - na toka lini excess ya produnction ikawa sababu ya recession ati supply ni kubwa kuliko demand sijui hivi kweli wewe unazungumzia vitu gani lakini?..upo na sisi ama unataka kusimulia tu vitu ambavyo havihusiani na hoja!

Mkuu tunachozungumza hapa ni kwamba miaka ya 1980s uchumi wetu ulokuwa ukitegemea kilimo uliagushwa na kushuka kwa bei ya bidhaa hizo ktk soko la dunia..na kitu kikishuka ktk wallstreet the main effected ni producer wa vitu hivyo acha mbali investors..Ni sawa na muuza vitumbua vikimchachia haina maana hajui kupika wala hakupika vinavyotakiwa kulingana na demand bali wanunuzi walitaka kwa bei ndogo ambayo ni chini ya gharama zilizompata. Matokeo yake vitumbua hivyo havina mlaji ama uza kwa bei walioitaka na ule hasara...hizo hasara ndio nyie mnahesabu failure... of what?
Kwa hiyo Nyerere wala Kenyatta wote tulikuwa ktk kundi la waliotegemea kilimo na hatukufanikiwa kuuza mali zetu kwa bei tuloitegemea tukala hasara kwa miaka kibao wenzetu kidogo walikuwa mbele ktk viwanda vilivyojengwa na mkoloni wakaweza kuuza kwetu laa sivyo nao walikuwa chali. na hii haikuchukua miezi wala mwaka bali iliendelea kwa miaka zaidi ya 10..

Sasa wewe ulitegemea Nyerere angefanya nini? Uwe bepari au Mjamaa mali yako haitakiwi...Halafu unazungumzia Mwinyi alosema alikuta nchi haina kitu yeye alikuwa nani kabla ya kuwa rais?...Na unaweza kunambia siku Mwinyi anaingia madarakani ni kiasi gani cha foreign reserve kilikuwepo hata kama zero nipe data kamili na sio maneno ya Mwinyi. Yeye huyo Mwinyi aliweza kuongeza uzalishaji kiasi gani, aliweza kuongeza FR kiasi gani na aliacha madeni kiasi gani..
 
Recession siyo kitu kizuri; lakini in order kwa market economy to sustain lazima iwepo recession au zaidi. Unapokuwa na growth ktk economy lazima kutakuwa na factors ambazo zitasababisha kuwa na negative slope. Hizo factors, ni kama vile excess of production. Unapokuwa na excess ya production lazima utakuwa na higher supply than demand, matokeo yake inabidi ustop in order kuwa na equilibrium. Sasa unapostop kuwa n Equilibrium inabidi uanze kuachisha wafanyakazi ambayo itacreate unemployment. Which is low revenue for the gov. kwa sababu hutoweza kucollect tax. Hiyo ni moja ya hizo factors, ambazo zinatokea ktk growth in market economy lakini zipo nyingi tu ambazo zinatokea ktk market economy.

Kuhusu hili la pili, unajuwa nchi yetu bado changa ktk market economy. Tunahitaji tuwe na investment capital, kitu kinachosababisha kuleta wawekazaji ambao hawajali maslahi ya WTZ. Matatizo kama haya yanatokea hata nchi za Wakubwa, lakini kidogo wenzetu wanajitahidi ktk mambo kama kwa sababu wameanza siku nyingi halafu wanasheria ambazo zinaprotect maslahi ya wananchi wao.

Jamani, tusiwe mashabiki kwa kudhania Ubepari is the best and most desirable system. Maelezo yako yote hapo juu proves capitalism ni muundo uliovumbuliwa na majuha kwani taratibu za kuudhibiti zilikuja baadae. Kuna kitabu by - Khor, M (1997), 'SEA Currency turmoil renews concern of financial speculation', Third World Resurgence, No. 86 (October 1997), ambapo George Soros (Page 3), moja wa mabepari wakubwa na wenye mafanikio katika dunia ya leo, anasema hivi:

"Although I have made a fortune in the financial markets, I now fear that the untrammeled intensification of laissez – faire capitalism and the spread of market values into all areas of life is endangering our open and democratic society. The main enemy of the open society, I believe, is no longer the communist but the capitalist threat."

Mr Right, How RIGHT Can you be more than George Soros????????
 
Viwanda vyetu vilikufa kwasababu ya Utendaji mbovu. Ndiyo maana niliandika mwanzo- Nyerere msemaji mzuri sana, lakini utendaji wake ni ZERO.

Hayo ni mashirika ya umma ktk nchi za mafuta na natural resources. Zinategemea subsidize 100% kutoka serikalini.

Mara nyingi nimesikia watetezi wa Kikwete wakisema ni Kiongozi mzuri lakini watendaji wake ndiyo wanamwangusha....lakini naona kwa Nyerere hali inakuwa tofauti kabisa...!!
 
Viwanda vyetu vilikufa kwasababu ya Utendaji mbovu. Ndiyo maana niliandika mwanzo- Nyerere msemaji mzuri sana, lakini utendaji wake ni ZERO.

Hayo ni mashirika ya umma ktk nchi za mafuta na natural resources. Zinategemea subsidize 100% kutoka serikalini.

So u agree kwamba tatizo la viwanda under mwalimu was management, sio idea ya kuvimiliki kwa njia ya umma, right?

Kuhusu kwamba mashirika niliyoyataja ya umma ni katika nchi za mafuta na natural resources, zinategemea subsidy 100% kutoka serikalini, unaweza kulifafanua na kulijadili in relation na suala la shirika letu la ATC kwa mfano ambalo sio natural resources related? halafu ujadili suala la Mwadui Diamond ambalo lilikuwa owned na government, kwani hili ni la natural resource base, can you discuss this also in the context of hoja yako ya yale mashirika ya hizo nchi?
 
Kwa hiyo aloyaandika hayo hapa ni mwingine sio wewe.. watu wengine jamani unaruka maandishi yako mwenyewe kwa kuleta habari nyingine.

Halafu kilichotokea kwetu maiak ya 80s sio recession mkuu wangu hata kidogo, hii ni kutojua uzito wa maswala haya ya uchumi na ndio maana nasema umesoma lakini hukuelimika. Hakuna kitu ktk uchumi kinachokubaliana na dhana yako ati ili ku sustain market economy lazima iwepo recession au zaidi - hii habari imeipata wapi? - na toka lini excess ya produnction ikawa sababu ya recession ati supply ni kubwa kuliko demand sijui hivi kweli wewe unazungumzia vitu gani lakini?..upo na sisi ama unataka kusimulia tu vitu ambavyo havihusiani na hoja!

Mkuu tunachozungumza hapa ni kwamba miaka ya 1980s uchumi wetu ulokuwa ukitegemea kilimo uliagushwa na kushuka kwa bei ya bidhaa hizo ktk soko la dunia..na kitu kikishuka ktk wallstreet the main effected ni producer wa vitu hivyo acha mbali investors..Ni sawa na muuza vitumbua vikimchachia haina maana hajui kupika wala hakupika vinavyotakiwa kulingana na demand bali wanunuzi walitaka kwa bei ndogo ambayo ni chini ya gharama zilizompata. Matokeo yake vitumbua hivyo havina mlaji ama uza kwa bei walioitaka na ule hasara...hizo hasara ndio nyie mnahesabu failure... of what?
Kwa hiyo Nyerere wala Kenyatta wote tulikuwa ktk kundi la waliotegemea kilimo na hatukufanikiwa kuuza mali zetu kwa bei tuloitegemea tukala hasara kwa miaka kibao wenzetu kidogo walikuwa mbele ktk viwanda vilivyojengwa na mkoloni wakaweza kuuza kwetu laa sivyo nao walikuwa chali. na hii haikuchukua miezi wala mwaka bali iliendelea kwa miaka zaidi ya 10..

Sasa wewe ulitegemea Nyerere angefanya nini? Uwe bepari au Mjamaa mali yako haitakiwi...Halafu unazungumzia Mwinyi alosema alikuta nchi haina kitu yeye alikuwa nani kabla ya kuwa rais?...Na unaweza kunambia siku Mwinyi anaingia madarakani ni kiasi gani cha foreign reserve kilikuwepo hata kama zero nipe data kamili na sio maneno ya Mwinyi. Yeye huyo Mwinyi aliweza kuongeza uzalishaji kiasi gani, aliweza kuongeza FR kiasi gani na aliacha madeni kiasi gani..

Hiyo knowledge ni Textbook, Mkandara.

Recession siyo kitu kizuri; lakini in order kwa market economy to sustain lazima iwepo recession au zaidi. Unapokuwa na growth ktk economy lazima kutakuwa na factors ambazo zitasababisha kuwa na negative slope. Hizo factors, ni kama vile excess of production. Unapokuwa na excess ya production lazima utakuwa na higher supply than demand, matokeo yake inabidi ustop in order kuwa na equilibrium. Sasa unapostop kuwa n Equilibrium inabidi uanze kuachisha wafanyakazi ambayo itacreate unemployment. Which is low revenue for the gov. kwa sababu hutoweza kucollect tax. Hiyo ni moja ya hizo factors, ambazo zinatokea ktk growth in market economy lakini zipo nyingi tu ambazo zinatokea ktk market economy.

Naona kwenye hiyo kahawa umeshapata jibu kwamba ilikuwa hamna demand. Hiyo bei kuuzwa kidogo ni sababu za kutokuwa na higher demand.
 
Jamani, tusiwe mashabiki kwa kudhania Ubepari is the best and most desirable system. Maelezo yako yote hapo juu proves capitalism ni muundo uliovumbuliwa na majuha kwani taratibu za kuudhibiti zilikuja baadae. Kuna kitabu by - Khor, M (1997), 'SEA Currency turmoil renews concern of financial speculation', Third World Resurgence, No. 86 (October 1997), ambapo George Soros (Page 3), moja wa mabepari wakubwa na wenye mafanikio katika dunia ya leo, anasema hivi:

"Although I have made a fortune in the financial markets, I now fear that the untrammeled intensification of laissez – faire capitalism and the spread of market values into all areas of life is endangering our open and democratic society. The main enemy of the open society, I believe, is no longer the communist but the capitalist threat."

Mr Right, How RIGHT Can you be more than George Soros????????

You know- George Soros ni mmoja wa socialist person in the world.
 
Back
Top Bottom