Nadhani tuanze na kichwa chako kilichojaa kokoto, manaake wewe unajiita Boko haram na wakati huo huo unajieleza kwa kizungu (Still Muslim Untili the Day I Die), halafu bado unatumia teknolojia ya mtandao. Hujui maana ya Boko haram? Acha kujikanganya. Boko haram ina maana elimu ya kimagharibi ni haram. Kwa hiyo ninakushauri kwanza acha kutumia kizungu kwenye avatar yako. Na tangu leo acha kutumia JF kwa sababu ni chombo kinachotumia teknolojia ya kimagharibi!Watu wengine vichwa vyao sijui vinamchanga ndani...
Mwl. J.K. Nyerere is the founder and architect of this Nation. Everyone knows this. Why are people recently finding it hard to acknowledge this fact?
There is a section of people in our society which is so disunited and would like to be united.
They failed to unite by virtue of love and common goals.
They are now trying to unite by virtue of having a common enemy.
They are trying to unite by having common hatred towards one man.
They are trying to make every one hate Nyerere.
By hating Nyerere, they presumably stick together.
And that is the problem.
Fortunately for us peace lovers, unity founded on hatred has never been long lasting.
Mchambuzi!
Naunga mkono hoja ila next time jaribu kufupisha hii ni ndeefu sana!
They are busy selling our country to the lowest bidders of this earth. They are busy getting rich, they and their children wanaoishi kimjinimjini while the country gets poorer. They are busy looking for handouts while our minerals are being stolen in broad daylight.Thanks Nanren for your thoughtful comments. I would love to know what contribution, if any, people who soil Mwl. Nyerere's reputation have done for this Country!
Mag3. Kuna haja gani kuwauliza kina FF, kuhusu nyie, na kumbe wenyewe mpo? Mosi. Tueleze ww ni nani hapa JF na humu chini? Pili. Unapoamua kumwaga mboga, basi mwaga na ugali tujue moja. Tufafanulie aina ya watu waliovamia JF mwaka jana mwezi wa saba. Tatu. Tujulishe nani aliyekudanganya kuwa nchi ulizo orodhesha hapo ni za Kiislam?
U know nothing about Christianity..Just keep on talking about Islam. Biblia hatafsiriwi kama ilivoandikwa my friend, u need more than a normal human spirit to understand it.
Vp kuhusu bata na pweza..biblia inasemaje? Kwa nn nguruwe tu ndo tatizo kwenu?
Mag3 na wenzako hamuwezi kufananisha mambo wanayoandika na kutumia nchi zingine ndio utufanye tukinahi kuwa hiyo ndio "norm".
Mimi nnasema hivi, Waislaam hawana vyeo vya u "baba", baba ni aliyekuzaa tu, hivyo vyeo vipo kanisani, hata wale wasiruhusiwa kuzaa na kanisa wanaitwa ma "baba", baba mtakatifu, baba askofu, baba mchungaji na sasa "baba" wa Taifa, na hao uliowataja kuna uwezekano ni washirika wa kuyaendeleza wasiyoyajuwa. Waislaam wengi hatukubaliani na hiki cheo cha u baba ambacho asili yake ni kanisani. Kwanini mlazimishe? sisi tunasema Nyerere ni Rais wa kwanza wa JMT. hakuna cha zaidi.
Vyeo vyenu vya kanisani viishie hukohuko kanisani, msitujaze ujinga wa kuwa na baba ambao hata kuzaa hawaruhusiwi, hayo ni yenu nyinyi na mnaelewa kwanini mnawaita ma baba hao ambao si baba zenu.
Sasa mbona na wewe mchango wako umekaa kiuzabizabina?Nilikuwa na mwanangu anasoma darasa la 4 tunaangalia tv, walipotaja Nyerere baba wa taifa mwanangu akaniuliza:"eti mama wa taifa ni nani?".
Mi nadhani wanaotaka aitwe baba wa taifa waachwe waendelee na wasiotaka waachwe kusiwepo kulazimishana.Angekuwa kweli ni baba wa taifa kwa dhati basi taifa hili lisingekuwa na hali mbaya kiuchumi kama lilivyo hivi sasa.
Kinacho nishangaza ni unafiqi wa baadhi ya wtz wanaomuona Nyerere kama malaika lakini eti chama alichokiasisi amabcho ndicho kimetufikisha ha ni shetani? huu ni unaitwa uzabzabina.
Nilikuwa na mwanangu anasoma darasa la 4 tunaangalia tv, walipotaja Nyerere baba wa taifa mwanangu akaniuliza:"eti mama wa taifa ni nani?".
Mi nadhani wanaotaka aitwe baba wa taifa waachwe waendelee na wasiotaka waachwe kusiwepo kulazimishana.Angekuwa kweli ni baba wa taifa kwa dhati basi taifa hili lisingekuwa na hali mbaya kiuchumi kama lilivyo hivi sasa.
Kinacho nishangaza ni unafiqi wa baadhi ya wtz wanaomuona Nyerere kama malaika lakini eti chama alichokiasisi amabcho ndicho kimetufikisha ha ni shetani? huu ni unaitwa uzabzabina.
Mkuu, JF sio sehemu ya porojo ebu tuwekee ili bandika linalosema uislam unakataza Nicname...
Omar-Ibn-Khattab huyu nickname yake ni "Abu Lulu"
Abu Bakr huyu nickname yake ni "Abu Quhafa"
Hawa ni maswaaba wa Mtume Mohammad walikuwa wanatumia hizi nickname zao..
Tunasubiri jibu mkuu
Kumezuka tabia ya baadhi ya Watanzania kukebehi heshima aliyopewa Mwalimu Nyerere, kama Baba wa Taifa la Tanzania.
Mungu amrehemu Baba Wetu wa Taifa, Mwalimu Julius Kambaraga Nyerere.
Mungu Ibariki Tanzania.