Kwanza sikulaumu, umejiunga na JF mwaka jana mwezi wa saba, huo ulikuwa ni wakati mbaya sana kwa JF kwani ni katika kipindi hicho JF ilivamiwa na watu aina yako, pole sana.
Pili, historia ya Marekani unadai kuifahamu huku humfahamu hata wanayemwita Father of the Nation, pole tena sana.
Tatu, nchi za Kiislaam zenye Baba wa Taifa ni hizi;
[TABLE="class: MsoTableGrid"]
[TR]
[TD] Ahmad Shah Durrani[/TD]
[TD] Afghanistan[/TD]
[TD="width: 213"] Ahmad Shah Baba/
Father of Nation[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: TableGrid1"]
[TR]
[TD] A. K. Fazlul Haq[/TD]
[TD] Bangladesh[/TD]
[TD="width: 213"] Banglar Baagh/
Father of the People[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: MsoTableGrid"]
[TR]
[TD] Sukarno[/TD]
[TD] Indonesia[/TD]
[TD="width: 213"] Bapak Bangsa/Pemimpin Besar Revolusi Indonesia/Proklamator Father of Nation/Great Leader of Indonesian Revolution[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 213"] Tunku Abdul Rahman[/TD]
[TD="width: 213"] Malaysia[/TD]
[TD="width: 213"] Bapa Kemerdekaan Father of Independence[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 213"] Mohammad Ali Jinnah[/TD]
[TD="width: 213"] Pakistan[/TD]
[TD="width: 213"] Quaid-e-Azam/ Baba-e-Qaum[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 213"] El-Ouali Mustapha Sayed[/TD]
[TD="width: 213"] Sahrawi Arab Democratic Republic[/TD]
[TD="width: 213"] Father of the Nation[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 213"] Ibn Saud of Saudi Arabia[/TD]
[TD="width: 213"] Saudi Arabia[/TD]
[TD="width: 213"] مة (Waalid Al Ummah)/
Father of the Nation[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 213"] Mustafa Kemal Atatürk[/TD]
[TD="width: 213"] Turkey[/TD]
[TD="width: 213"] Atatürk /[Great] Father of the Turks[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 213"] Sheikh Zayed bin Sultan Al Nahyan[/TD]
[TD="width: 213"] United Arab Emirates[/TD]
[TD="width: 213"] الأمة (Waalid Al Ummah) /
Father of the Nation[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Waulize akina FaizaFoxy, watakueleza Mag3 ni nani kwani naona kama vile unadandia train kwa mbele, pole tena pole sana.
Jibu la swali la tatu
WTZ na Elimu za Kucopy. Hivi mtu unataka kujenga hoja, kwa nini unatumia mifano ambayo haina hata misingi na foundation za critical thinking.
Chukulia, mfano- Hoja inayojengwa hapa na wale wanaojiita supporter of Mwalimu Nyerere. Wanashindwa kuelewa hizo nchi nyingi zenye kutumia hilo neno la "Father" limetokana na mizizi ya utawala wa kikoloni uliopita. Wanazugumzia, Pakistan, wanashndwa kuelewa hii nchi iligawanywa kutoka India baada ya Kutawaliwa na British "Wakristo" Na zipo nchi nyingi tu ambazo zinatumia hili neno kwa sababu ya colinization system iliyopita.
Kama walivyosema wachangiaji wakubwa hapa- mambo ya dini ya Kiislamu hamyajui, na msichanganye mambo ya traditional yaliyopo ktk dunia na religion. Bora mkae kimya msome ili muelimika kuliko kujenga hoja ambazo hamjui hata kuzijibu Kielimu.
Jibu la swali la pili- Marekani kuna "Fathers" as plural na siyo singular "Father" huyo Gorge Washington unaemzunguzia siyo official "Father of the Nation" ni opinion. Naraduia tena, Marekani ina official "Founding Fathers"
Kabla ya kujenga hoja please, soma kwanza kwenye textbook na siyo kusoma kwenye Wikipedia.