Nyerere na Wachina waliwezaje kujenga reli ya TAZARA kwa miaka minne tu KM zaidi ya 2000?

Je, kunahujuma za muda wa kukamilika mradi unaofanywa na makandarasi?

Wachina kupitia Exim Benki walihaidi kutoa mkopo wa tilion 16 kumaliza mradi wote. Kwanini wasiutoe tu kwa pamoja huo mkopo ili wakandarasi wagawiwe vipande uishe kwa muda mfupi uanze kuingiza pesa turejeshe Deni lao kwa wakati.

Maufuli alisema Wachina wanatupiga kwa Trilioni 16 akawakataa. Kasi ya SGR kwa sasa ni ya mwendo wa konokono. Amini nakuambia, SGR itakapokwisha itatumia mara mbili zaidi ya hizo Trlioni 16 alizotaa Magufuli. Watch the SGR space.
 
Watu wanaimba mapambio lakini mwelekeo wa mradi hauonyeshi kama utakamilika kwa wakati na kwa bajeti. Tatizo naona mradi unaendeshwa kisiasa badala ya kitaalam.

Kipande cha Dar-Moro kingekamilika Novemba 2019 lakini mpaka sasa hakuna kinachoeleweka

Tatizo ni fund. Nyerere hakujenga TAZARA kwa pesa zetu. Mchina aligharamia mradi wote.

Sasa tunajenga SGR kwa pesa zetu. Tunadunduliza kidogo kidogo mpaka mradi ukamilike!

Kwani sasa hivi tunajenga kwa fedha zetu za ndani au mkopo? Maana mpaka sasa tumeshakopa 3.1t. Pitia vyanzo vyako vya habari tena.
 
Na Rais Magufuli atajenga ndani ya muda mfupi. Rais Magufuli mwenye huruma na upendo tunamwamini
Sina chama lakini Meko anatukana tu wale wenye tume yao maana wamepigwa chenga ya mwili na walimuhakikishia mwamba atanasa kwenye mtego. Sa sijui itakuwaje! Patamu hapo!
 
Watu wanaimba mapambio lakini mwelekeo wa mradi hauonyeshi kama utakamilika kwa wakati na kwa bajeti. Tatizo naona mradi unaendeshwa kisiasa badala ya kitaalam.

Kipande cha Dar-Moro kingekamilika Novemba 2019 lakini mpaka sasa hakuna kinachoeleweka
Hivi si walisema kufikia September 2020 tungekuwa tunapanda treni ya SGR kwenda Morogoro?
 
Tatizo ni fund. Nyerere hakujenga TAZARA kwa pesa zetu. Mchina aligharamia mradi wote.

Sasa tunajenga SGR kwa pesa zetu. Tunadunduliza kidogo kidogo mpaka mradi ukamilike!

Duh Kama ndio hivyo basi tuandike maumivu, hautakaa uishe, kwa uchumi upi sasa?!
 
Bia yetu naona mmeongeza mwanachama mwingine hapo Lumumba
huyu kama na "Rais Magufuli mwenye huruma na upendo tunamwamini"

Hawa viumbe ndiyo maana wanaitwa misukule. Yaani kila uzi anaandika kitu kile kile. Akishapewa tu jukumu lake pale Lumumba, basi anahakikisha analitekeleza kwa utaratibu ule ule! Hakuna hata kujiongeza.

Huyu ni Bia Yetu aliyekuja kwa ID mpya.
 
Hili nalo ndio limsukule jingine
 
ninini na sgr ninini

Reli ambazo ziko Afrika Mashariki.

1. Metre Gauge Railway -- 1000 mm

Mfano hapa ni reli ya kati ya Tz, pamoja na reli iliyojengwa na muingereza nchini Kenya, na Uganda.

2. Cape Gauge Railway -- 1067 mm

Reli ya kutoka Dsm Tanzania na kuishia Kapiri Mposhi Zambia. Pia reli za nchi kadhaa za jumuiya ya SADC zinatumia standard hii.

3.Standard Gauge Railway -- 1435 mm

Reli mpya inayojenga toka Dsm kwenda Mwanza. Pia reli mpya ya Kenya toka Mombasa kwenda Nairobi. Hii ndiyo standard ya reli iliyoamuliwa kutumiwa na wanachama wa East African Community.

NB:

..kuna gauge nyingine nyingi zinatumika ktk mataifa mbalimbali.

..kwa mfano, kuna Bosnian Gauge Railway 760 mm ambazo zimejengwa ktk nchi mbalimbali za Ulaya Mashariki.
 
Je, kuna hujuma za muda wa kukamilika mradi unaofanywa na makandarasi?

Reli ya TAZARA ilipitia njia ngumu Sana yenye milima na mabonde mengi. Lakini mradi ulichukua muda mchache Sana.
Ilijengwa kwa miaka tokea '70 mpaka '75 tu. Yenye taaluma za zege Kama hii ya kisasa.

Kilomita zaidi ya 1800
Kwa Kasi ya mradi wa Sasa inaweza kuchukua miaka 25 Hadi 30 reli kufika kigoma.

Ni vyema Miradi ya serikali iwe na time limit sio mradi unaanza hujulikani utakamilika lini.

Wachina kupitia Exim Benki walihaidi kutoa mkopo wa tilion 16 kumaliza mradi wote. Kwanini wasiutoe tu kwa pamoja huo mkopo ili wakandarasi wagawiwe vipande uishe kwa muda mfupi uanze kuingiza pesa turejeshe Deni lao kwa wakati.
Swali fikirishi Sana hili
 
Achana na watu wenye yale macho!
Diet yao iliruhusu wao kula mazagazaga yote ya porini, n'ge, panzi, nyoka, kobe sijui nguchiro n.k :D
Mturuki siyo mporipori, nafikiri ishu ni kuishi porini, hawa wanazurula sana mitaani wakitafuta vipochi manyoya.

Everyday is Saturday................................ :cool:
 
Back
Top Bottom