Edwin Chapa
Member
- Jun 3, 2011
- 54
- 12
Nyerere Kaunda Banda Azikiwe Kikwete
Banda lipi sasa! Watch out your words.
vipi, bado una hang over??
Chapa pombe
MODs nao kwa mipupa yao wameshairekebisha title na kuharibu utamu
MODs nao kwa mipupa yao wameshairekebisha title na kuharibu utamu
Hiyo sentensi ina maana gani sasa!
Wapo hapa.......
Hebu tukumbushane hapa, mimi nawakumbuka wafuatao: Mstari wa mbele toka kushoto ni Mabutu Sese seko,(Zaire) (simjui alievaa kimayenu), Kenyatta (Kenya), Haile Selasie (Ethiopia) Hao wawili mwisho siwajui. Mstari wa nyuma nawajua watatu tu wa kaikati; Obote (Uganda), Nyerere (Tanzania) na Kaunda(Zambia)
Aliyesimama kulia kwa Haille Selasie ni dicteta Bokassa wa Centre Africa bila shaka,ila sijamjua huyu aliyevaa kipapa katikati ya Kenyatta na Mobutu....????Kulia nyuma: Marcien Nguabi, Sir Seretse Khama......anayecheka na Mwalimu ni William Tubman
Aliyesimama kulia kwa Haille Selasie ni dicteta Bokassa wa Centre Africa bila shaka,ila sijamjua huyu aliyevaa kipapa katikati ya Kenyatta na Mobutu....????
Huyu atakuwa wa Sudan...El Ferik Ibrahim Abboud
Sawa mkuu,kati ya hao mkuu wetu nafikiri aliye hai ni Kennedy Kaunda sio...!