Nyerere, Kaunda, Banda, Azikiwe & Kikwete

Hamujamuelewa.................yaani Nyerere ameunda banda ili azikiwe Kikwete akifa
 
If you cant read between the lines,you will never understand what this dude is meaning!. To simplfy: 'Nyerere kaunda banda azikiwe kikwete' . Take it as a sentence and think outside of a box!.
 
Wapo hapa.......

e4f0001931dadf1cd860701895073207_1M.png
 
Hongera mkuu kwa kuunda sentensi kwa kutumia majina ya marais wa Africa. Wewe ni great thinker.
 
Wapo hapa.......

e4f0001931dadf1cd860701895073207_1M.png



Hebu tukumbushane hapa, mimi nawakumbuka wafuatao: Mstari wa mbele toka kushoto ni Mabutu Sese seko,(Zaire) (simjui alievaa kimayenu), Kenyatta (Kenya), Haile Selasie (Ethiopia) Hao wawili mwisho siwajui. Mstari wa nyuma nawajua watatu tu wa kaikati; Obote (Uganda), Nyerere (Tanzania) na Kaunda(Zambia)
 
Kulia nyuma: Marcien Nguabi, Sir Seretse Khama......anayecheka na Mwalimu ni William Tubman

e4f0001931dadf1cd860701895073207_1M.png
 
Kulia nyuma: Marcien Nguabi, Sir Seretse Khama......anayecheka na Mwalimu ni William Tubman

e4f0001931dadf1cd860701895073207_1M.png
Aliyesimama kulia kwa Haille Selasie ni dicteta Bokassa wa Centre Africa bila shaka,ila sijamjua huyu aliyevaa kipapa katikati ya Kenyatta na Mobutu....????
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom