Nyerere, Kaunda, Banda, Azikiwe & Kikwete

CAMARADERIE

JF-Expert Member
Mar 3, 2011
4,423
1,903
Hamujamuelewa.................yaani Nyerere ameunda banda ili azikiwe Kikwete akifa
 

Mutambukamalogo

JF-Expert Member
Jan 25, 2011
397
85
If you cant read between the lines,you will never understand what this dude is meaning!. To simplfy: 'Nyerere kaunda banda azikiwe kikwete' . Take it as a sentence and think outside of a box!.
 

CAMARADERIE

JF-Expert Member
Mar 3, 2011
4,423
1,903
Wapo hapa.......

e4f0001931dadf1cd860701895073207_1M.png
 

rfjt

Senior Member
Jun 29, 2011
186
62
Hongera mkuu kwa kuunda sentensi kwa kutumia majina ya marais wa Africa. Wewe ni great thinker.
 

Bwana bonny

Member
May 12, 2011
26
6
Wapo hapa.......

e4f0001931dadf1cd860701895073207_1M.pngHebu tukumbushane hapa, mimi nawakumbuka wafuatao: Mstari wa mbele toka kushoto ni Mabutu Sese seko,(Zaire) (simjui alievaa kimayenu), Kenyatta (Kenya), Haile Selasie (Ethiopia) Hao wawili mwisho siwajui. Mstari wa nyuma nawajua watatu tu wa kaikati; Obote (Uganda), Nyerere (Tanzania) na Kaunda(Zambia)
 

CAMARADERIE

JF-Expert Member
Mar 3, 2011
4,423
1,903
Kulia nyuma: Marcien Nguabi, Sir Seretse Khama......anayecheka na Mwalimu ni William Tubman

e4f0001931dadf1cd860701895073207_1M.png
 

Panga La Shaba

JF-Expert Member
Dec 24, 2009
209
67
Kulia nyuma: Marcien Nguabi, Sir Seretse Khama......anayecheka na Mwalimu ni William Tubman

e4f0001931dadf1cd860701895073207_1M.png
Aliyesimama kulia kwa Haille Selasie ni dicteta Bokassa wa Centre Africa bila shaka,ila sijamjua huyu aliyevaa kipapa katikati ya Kenyatta na Mobutu....????
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

4 Reactions
Reply
Top Bottom