Nyerere fit to be a saint - Museveni

Nyerere fit to be a saint - Museveni

Ain't you a Christian? if your answer is Yes. Tell us what makes a person a sinner?

Many things...does this help you out of your unchristian ways.Mostly monotheistic paganism of the modern times?
 
Nimesikiliza, nimesoma, nimefuatilia hotuba ya kamanda Tundu Lissu kuhusu Nyerere na mambo yake ya muungano hakika nimestaajabu sana.

Majizi ya CCM yamekurupuka huko yalikokuwa na kuanza kumshambulia Lissu binafsi badala ya hoja zake.

Natambua kuwa Kanisa Katoliki linaendelea na mchakato wa kumfanya Nyerere kuwa Mtakatifu na sasa yupo kwenye 'ngazi' ya mwenye heri.

Je! Baada ya 'nondo' za Tundu Antipas Mughwai Lissu na ushahidi mwingine wa UFEDHULI wa Nyerere ikiwemo ile dhana kuwa Nyerere aliua Wazanzibari kwa nini Wakatoliki wasisitishe mchakato wa kumtakatifusha Nyerere na kuingia kwenye utafiti wa kina dhidi ya ushuhuda binafsi wa nyerere?

Hamwoni kuwa kumwacha Nyerere afanywe mtakatifu wakati ana kashfa hadi za kuua ni kulitumbukiza kanisa kwenye kashfa?

Nashauri, Mchakato wa kumpa nyerre utakatifu usititishwe.
 
Last edited by a moderator:

Mkuu na Mtei na yeye ni CCM?
 
Hata wewe waweza kuwa mtakatifu...ni matendo na imani yako tu ..google mtakatifu paulo itakupa mfano mojawapo..
kila la kheri
 
Nimesikiliza, nimesoma, nimefuatilia hotuba ya kamanda Tundu Lissu kuhusu Nyerere na mambo yake ya muungano hakika nimestaajabu sana.

Majizi ya CCM yamekurupuka huko yalikokuwa na kuanza kumshambulia Lissu binafsi badala ya hoja zake.

Natambua kuwa Kanisa Katoliki linaendelea na mchakato wa kumfanya Nyerere kuwa Mtakatifu na sasa yupo kwenye 'ngazi' ya mwenye heri.

Je! Baada ya 'nondo' za Tundu Antipas Mughwai Lissu na ushahidi mwingine wa UFEDHULI wa Nyerere ikiwemo ile dhana kuwa Nyerere aliua Wazanzibari kwa nini Wakatoliki wasisitishe mchakato wa kumtakatifusha Nyerere na kuingia kwenye utafiti wa kina dhidi ya ushuhuda binafsi wa nyerere?

Hamwoni kuwa kumwacha Nyerere afanywe mtakatifu wakati ana kashfa hadi za kuua ni kulitumbukiza kanisa kwenye kashfa?

Nashauri, Mchakato wa kumpa nyerre utakatifu usititishwe.

Nyerere kama binadamu alikuwa na mapungufu yake, na mambo ya sisasa yashughulikiwe kisiasa , suala la kuleta hoja za kisiasa kuzuia michkato ya kidini sidhani kama ni mahali pake nadhani kanisa llinautaratibu wake kidunia mambo ya watz na katiba na upumbavu wetu tubaki navyo kama vitushinda tugawane mbao za nchi
 
Mimi ni mkatoliki Nyerere akitangazwa eti ni mtakatifu nitahamia dhehebu la Lutheran. am not joking niko serious, ujinga wote huu unaotuletea matatizo sasa hivi ni kazi ya Nyerere.
 
Nimesikiliza, nimesoma, nimefuatilia hotuba ya kamanda Tundu Lissu kuhusu Nyerere na mambo yake ya muungano hakika nimestaajabu sana.

Majizi ya CCM yamekurupuka huko yalikokuwa na kuanza kumshambulia Lissu binafsi badala ya hoja zake.

Natambua kuwa Kanisa Katoliki linaendelea na mchakato wa kumfanya Nyerere kuwa Mtakatifu na sasa yupo kwenye 'ngazi' ya mwenye heri.

Je! Baada ya 'nondo' za Tundu Antipas Mughwai Lissu na ushahidi mwingine wa UFEDHULI wa Nyerere ikiwemo ile dhana kuwa Nyerere aliua Wazanzibari kwa nini Wakatoliki wasisitishe mchakato wa kumtakatifusha Nyerere na kuingia kwenye utafiti wa kina dhidi ya ushuhuda binafsi wa nyerere?

Hamwoni kuwa kumwacha Nyerere afanywe mtakatifu wakati ana kashfa hadi za kuua ni kulitumbukiza kanisa kwenye kashfa?

Nashauri, Mchakato wa kumpa nyerre utakatifu usititishwe.

Mimi ni mkatoliki Nyerere akitangazwa eti ni mtakatifu nitahamia dhehebu la Lutheran. am not joking niko serious, ujinga wote huu unaotuletea matatizo sasa hivi ni kazi ya Nyerere.

We mwana wa kufikia wa kahtaan Matola utahama madhehebu
mpaka kutakucha lkn choo ni kile kile!

Na we muhaya uliewasalaiti wazee wako na kuamua kujiunga na Chama cha watu wa kaskazini huwezi kuwazuia wakatoliki wenzako kumpa yule muuwaji Utakatifu!

Bila huyo muuwaji nyerere leo hii kanisa katoliki lisingefika hapo lilipo!
Na yule pengo analifahamu hilo.

Ndio maana kila akitoa hotuba anamsifu nyerere kuliko mkewe!

Mpaka siku mtakapo fahamu kuwa hio imani yenu ni ya kutengeneza wenyewe!

Mtawatukuza mpaka wauwaji mpaka siku ikifika mkatupwe motoni wote!
 
Mkuu, kuna threads zingine hutakiwi kuchangia. Zinakuzidi uwezo. Ona huu ugoro uliouandika
 
Huu ni UKWELI mchungu!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu, kuna threads zingine hutakiwi kuchangia. Zinakuzidi uwezo. Ona huu ugoro uliouandika

We lzm useme hivyo!
Wafuasi vipofu wa Nyerere mnapoona uchafu wake unatoka nje roho zinauma sana!
Lkn hio ndio sifa ya ukweli! Lzm uumie.
Kwa hio we kaza moyo dawa iingie!
 
Many things...does this help you out of your unchristian ways.Mostly monotheistic paganism of the modern times?

Teh teh teh!

When a drunken man starting to perform peristaltic pyrotechnics, you will see his word's straight away!

I suggest you stick with the bantu before something goes really wrong!
 
Attachments

  • 1397709300778.jpg
    1397709300778.jpg
    38 KB · Views: 117
Mimi ni mkatoliki Nyerere akitangazwa eti ni mtakatifu nitahamia dhehebu la Lutheran. am not joking niko serious, ujinga wote huu unaotuletea matatizo sasa hivi ni kazi ya Nyerere.

matola hujachelewa amka kimbia huko...Mungu ni Mungu wa walio hai si wa wafu, tena Mungu hupendezwa na watakatifu waishio duniani na sio wafu...huyo ni Nyrr hao watakatifu wengine unajua habari zao?...ibada za wafu ni machukizo, wenzetu mmejitungia Biblia yenu?
 
Dikteta aliyekubuhu Museveni angesema nini wakati ni mnufaika wa matumizi ya majeshi na raslimali za Tanzania to fight a dumb war against Amin and imposing another dangerous Dictator Milton Obote?
 
Mwalimu is respected by the entire world and I appreciate the wonders he did for National Unity and his international struggles. He is really a saint no one can compare him with leaders of his times who ended at accumulating personal wealth. He was never grid. You will always live in hearts mwalimu.
 
Dikteta aliyekubuhu Museveni angesema nini wakati ni mnufaika wa matumizi ya majeshi na raslimali za Tanzania to fight a dumb war against Amin and imposing another dangerous Dictator Milton Obote?
lakini uamzi wa kumpa utakatifu nyerere sio wa mseveni.

Ni wa kanisa la Roman catolic.
 
Nimesikiliza, nimesoma, nimefuatilia hotuba ya kamanda Tundu Lissu kuhusu Nyerere na mambo yake ya muungano hakika nimestaajabu sana.

Majizi ya CCM yamekurupuka huko yalikokuwa na kuanza kumshambulia Lissu binafsi badala ya hoja zake.

Natambua kuwa Kanisa Katoliki linaendelea na mchakato wa kumfanya Nyerere kuwa Mtakatifu na sasa yupo kwenye 'ngazi' ya mwenye heri.

Je! Baada ya 'nondo' za Tundu Antipas Mughwai Lissu na ushahidi mwingine wa UFEDHULI wa Nyerere ikiwemo ile dhana kuwa Nyerere aliua Wazanzibari kwa nini Wakatoliki wasisitishe mchakato wa kumtakatifusha Nyerere na kuingia kwenye utafiti wa kina dhidi ya ushuhuda binafsi wa nyerere?

Hamwoni kuwa kumwacha Nyerere afanywe mtakatifu wakati ana kashfa hadi za kuua ni kulitumbukiza kanisa kwenye kashfa?

Nashauri, Mchakato wa kumpa nyerre utakatifu usititishwe.

acha uongo.kama huelewi omba msaada.hajafikia hatua ya mwenye heri, bali " Mtumishi wa Mungu".ni hilo tu mkuu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom