frakitosho
JF-Expert Member
- Dec 13, 2012
- 802
- 255
Mtakatifu Nyerere! Mmesahau small houses zake wajameni? Mtakatifu hawezi kupendekezwa na mwanadamu tena dikteta museven
Hawa watu (Wakatoliki) anza kuwashanga pale wanapo ijengea kibanda sanamu ya Bikira Maria pamoja na ile sala yao;
..Maria mama wa mungu, umebarikiwa kuliko wanawake wote !
Kanisa katoliki kumtangaza mtu mtakatifu haina umuhimu wowote mbele za Mungu ni upuuzi tu kama watu kuandaa sherehe na kunywa bia ni mambo ya dunia. Wapi utakatifu ukajadiliwa na binadamu ambao nao ni wazambi kisha wampe binadamu mwenzao utakatifu hizo ni bangi za mchana na uhuni
Sasa kama huelewi taratibu na hatua za Canonization basi nadhani sina cha kukusaidia zaidi.maana umekaa kiubishi tuNa Slaa yuko level gani !??
Hatuna sababu yakukashifiana kwenye mambo ya imani kwani mwisho wa siku tunaishia kwenye kukufuru,
Zaidi yakuamini unachokiamini nafikiri huna sababu yakujiona wewe ni bora sana kuliko mwingine,
Imani ni ki2 kigumu mno kwani kinachotufanya tuamini ni ki2 ambacho hatukukiona ila kwa mapokeo tunaamini,hivyo chamsingi wewe imani lako la mwenzako muachie mwenyewe,Ni ajabu kujivunia dini ambayo wewe uko huko kwasababu wazazi wako walikuzaa wakiwa na imani hio.
Watanzania waliowengi tumajua ukristo na uisilamu pamoja na madhehebu yalio ndani ya hizi dini mbili tu ila hapa dunia kuna mataifa yaamini vi2 ambavyo ni ajabu sana,hivyo huna sababu yakuto kashfa kwani kiasiri Mtanzania Sio Muislam wala Mkristo.
Lugha uliyotumia wewe ndio majanga zaidi.Dang dude!....hivi kwani usingetumia simple english?..yooh ungeeleweka vizuri tuu....garlie!....hebu na wewe acha ku-spend muda wako wote ku-kremisha oxford dictionary .....maneno mengine hata haya-make sense sasa wooooow!...."as Flava flav would have said"....
Dada,
Heshima mbele, hapa kuna watu wanapenda artful, metaphor-laden, precise, articulate, simile rich expression.
Tatizo letu ni nini? Tuna tatizo la kiingereza as a nation, kiasi kwamba mtu akiandika kiingereza cha kawaida tu - ambacho kipo standard na people the world over will see nothing remarkable about it- sisi tunamuona mtu kama anataka sifa, katumia kiingereza kigumu etc. Mimi mwenyewe najifunza kiingereza, nitaandikaje kiingereza kigumu?
Trust me, hakuna hata chembe ya kiingereza kigumu hapo, kinachotokea ni kwamba standards zetu ziko chini sana, kiasi kwamba mtu akiandika kiingereza standard kama hapo juu -I did not even get into the Churchillian mode, let alone the Dickensian diction bombasts- tunamuona tofautiiii.
Wanasema, if you think I am speaking too fast, you are probably listening too slow.
Kama unafikiri hiki kiingereza ni kigumu, probably unahitaji ku build up vocab na kujifunza zaidi, which is one point of this bulletin board by the way, and you would do well to take advantage of this instead of shying away with MAimuna like "Anasema kiingereza kigumu, nimesema Maimuna!"
Rather than dumb down our standards by asking me to dumb down my pretty ordinary English, I am asking you to elevate our collective standards by aspiring to master this crucial language much better.
After all, aren't we supposed to be the home of great minds, why settle for any standards but the best?
tedo !....haswa, ukizingatia mungu alimtoa mwanawe wa pekee, afe kwa ajili yenu, na mpaka sasa mungu hajapatapo mtoto !:loco:Hakika umesema vyema sisi sote ni Watakatifu watarajiwa.....
Ghafla Yoweri Kaguta Museveni anaonesha mahaba makubwa sana kwa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere Rais wa kwanza wa Tanganyika na baadaye Tanzania. najiuliza haya mahaba yameanza lini? haya ya kudai nyerere ni mkuu kuliko Mandela( sina comment katika hilo ) haya ya kudai kila June 1 ni siku ya kumkumbuka Nyerere? je Nyerere angekuwepo hai mpaka leo hii angesema nini juu ya Utawala wa Museven na namna anavyoikandamiza demokrasia kama inavyosemekana? je huu ni mkakati gani wa Museveni kwa east Afrika au Tanzania kisiasa? mimi napata maswali nikihusisha na wale ndugu zangu wengine wanaotaka kumtangaza nyerere ni mtakatifu nawaza mambo mengi sana na maswali lukuki pasipo majibu. Huyu Museveni kweli ana ujasiri wa kumchukulia nyerere kama anavyotaka tumwone? au ni sawa na wale wanasiasa wanaomnukuu nyerere pale anapokuwa anaongelea maslah yao na kumtumia kama hirizi ilhali pale anapokuwa kinyume na maslah yao anakuwa hafai? ni wakati wa wananchi kuwa makini na hawa viongozi wanaotumia karata ya nyerere kama ni ya Game of chance au last card. kama kuna mazuri ya nyerere hatuwei kuyaenzi kwa maneno na pia si kwa kuchagua yale yanayotu fit kwa wakt husika halaf tukaacha yale ambayo ni ya faida kwa wananchi.Museven ana mazuri na mabaya yake pia sisemi ni mtu mbaya ila nachopinga ni matumizi yasiyo na tija ya jina la mwalimu nyerere kwa wanasiasa wetu.