Nyerere fit to be a saint - Museveni

Nyerere fit to be a saint - Museveni

Nimesikiliza, nimesoma, nimefuatilia hotuba ya kamanda Tundu Lissu kuhusu Nyerere na mambo yake ya muungano hakika nimestaajabu sana.

Majizi ya CCM yamekurupuka huko yalikokuwa na kuanza kumshambulia Lissu binafsi badala ya hoja zake.

Natambua kuwa Kanisa Katoliki linaendelea na mchakato wa kumfanya Nyerere kuwa Mtakatifu na sasa yupo kwenye 'ngazi' ya mwenye heri.

Je! Baada ya 'nondo' za Tundu Antipas Mughwai Lissu na ushahidi mwingine wa UFEDHULI wa Nyerere ikiwemo ile dhana kuwa Nyerere aliua Wazanzibari kwa nini Wakatoliki wasisitishe mchakato wa kumtakatifusha Nyerere na kuingia kwenye utafiti wa kina dhidi ya ushuhuda binafsi wa nyerere?

Hamwoni kuwa kumwacha Nyerere afanywe mtakatifu wakati ana kashfa hadi za kuua ni kulitumbukiza kanisa kwenye kashfa?

Nashauri, Mchakato wa kumpa nyerre utakatifu usititishwe.

Kanisa katoliki kumtangaza mtu mtakatifu haina umuhimu wowote mbele za Mungu ni upuuzi tu kama watu kuandaa sherehe na kunywa bia ni mambo ya dunia. Wapi utakatifu ukajadiliwa na binadamu ambao nao ni wazambi kisha wampe binadamu mwenzao utakatifu hizo ni bangi za mchana na uhuni
 
Last edited by a moderator:
Hakuna binadamu anayemwamlia mwingine kuwa mtakatifu. nyerere ni binadamu kama wewe na mimi na aliishi kma mwingine yeyote.
 
Can he perform the required miracle for him be canonized the blessed leave alone the sant
 
Mkuu

Mimi ninaona kama nyerere angekuwa hai ingebdi tumpeleke the hague kwa kuwaonea watanganyika, kuwaibia nchi yao, kuwanyima elimu, kuwanyika uhuru wa kuwa wa kiuchumi bora, kuwapa nguvu wakatoliki na kuwanyanyasa wenye dini nyenginezo, kuwapeleka watu geza ulole walikokuwa wakiliwa na chuwi na kuwafukuza vilema dar pia kwa kujifanya sahaba
 
Kanisa katoliki kumtangaza mtu mtakatifu haina umuhimu wowote mbele za Mungu ni upuuzi tu kama watu kuandaa sherehe na kunywa bia ni mambo ya dunia. Wapi utakatifu ukajadiliwa na binadamu ambao nao ni wazambi kisha wampe binadamu mwenzao utakatifu hizo ni bangi za mchana na uhuni

Hawa watu (Wakatoliki) anza kuwashanga pale wanapo ijengea kibanda sanamu ya Bikira Maria pamoja na ile sala yao;
..Maria mama wa mungu, umebarikiwa kuliko wanawake wote !
 
Hebu peleka wenda wazimu wewe mjalaana....Nashindwa kukupa vidonge vyako maana nashindwa kuelewa kama wewe ni kijukuu cha Mwamedi au wale wachumia tumbo kwajina la Yesu.

tedo Yesu alibeba dhambi zoote pale msalabani, kwahiyo nynyi wote ni watakatifu watarajiwa !
 
Last edited by a moderator:
1243882645zulu.jpg

Mkapa, Lwanga, Baharagate and Magige after the prayers. Behind them are President Museveni and First Lady Janet
By Raymond Baguma

PRESIDENT Yoweri Museveni has supported the ongoing campaign in the Catholic Church to have former Tanzanian President Julius Nyerere recognised as a saint.

The campaign to bestow sainthood on Nyerere began on January 26, 2006 when the Vatican accepted a request from the Bishop of Musoma in northern Tanzania to canonise the late leader. The Vatican then granted him the title of ‘Servant of God.’

Museveni yesterday praised Nyerere for uniting the different religious groups in Tanzania and advancing Swahili as a common language to unite the ethnically diverse country. Today, Tanzania is the most peaceful country in Africa with no civil wars, Museveni observed.

He was speaking during special prayers, held at Catholic Martyrs’ shrine in Namugongo, for the beatification of the late Mwalimu.

Mass was celebrated by the Archbishop of Kampala, Cyprian Kizito Lwanga, and Bishop Emeritus Edward Baharagate. Former Tanzanian president Benjamin Mkapa was among the dignitaries present. The Nyerere family was led by the widow, Maria Gabriel Magige.

The family and many Tanzanians donned scarves with Kiswahili messages calling for Nyerere’s canonisation. They also wore uniform wrappers. The choir from Marian Faith Healing Centre in Dar-es-Salaam sang Kiswahili hymns.

After mass, Museveni narrated his first meeting with the former leader when he was still a student at Dar-es-Salaam University in 1968. “He was blessed with extraordinary wisdom and compassion for the oppressed. He loved freedom and unity for all people, and he was a fearless freedom fighter.”

He said during the 1970s, Nyerere supported freedom movements in Vietnam, Mozambique, Zimbabwe, South Africa, Angola, Namibia as well as Uganda. Museveni also pointed out that Nyerere’s role was instrumental in the restoration of peace in Burundi.

“He was like the Ugandan martyrs who stood for truth against sin; even at the expense of their lives. I join those who are praying for the canonisation of Mwalimu as a saint. He was not only a freedom fighter, he was also a man of God.”

Mkapa, who was Tanzania’s third President, praised the fact that Nyerere always remained humble. “I stayed with him from 1966 until his passing away. He was a leader of the independence struggle. He abhorred being worshiped. He knew he was human and lived like any other being.”

Prayers for Nyerere’s canonisation, organised by the widow, have been conducted at the Namugongo shrine since 2007.

Hundreds of Tanzanian, Kenyan and Rwandan pilgrims are currently in the country to commemorate Uganda Martyrs’ Day, celebrated annually on June 3.

Mtajitahidi sana kukusanya point za kumsafisha nyerere lakini swala lipo pale pale nyerere ana mazuri yake na mabaya yake na mabaya lazima yasemwe tuu!
 
mimi ni mkatoliki nyerere akitangazwa eti ni mtakatifu nitahamia dhehebu la lutheran. Am not joking niko serious, ujinga wote huu unaotuletea matatizo sasa hivi ni kazi ya nyerere.

your very right bro!,nami ntatoka na kwenda kwingineko
 
your very right bro!,nami ntatoka na kwenda kwingineko

Hata akitangazwa ni mambo ya dunia tu kwa Mungu utakatifu unaangaliwa rohoni kwa mtu sivyo mtu anavyoonekana mbele za watu maana unaweza kuwa mnafiki kwa binadamu ukajipa muonekano usio halisi ila kwa Mungu hakuna kucheat
 
I stayed with him from 1966 until his passing away. He was a leader of the independence struggle. He abhorred being worshiped. He knew he was human and lived like any other being.” HAYA NI MANENO A MTU AMBAYE NYERERE ALIMPIGIA KAMPENI NA PENGINE KUFANYA MENGINE YA AIBU ZAIDI ILI APATE URAIS KWA JINA LA MR CLEAN,NA HUYU KAKA ALIFUNGUA KAMPUNI ANNA-BEN AKIWA PALEPALE IKULU AMBAPO NYERERE ALISEMA NI PATAKATIFU!AMA KWELI UKIISHI KWA UWONGO HUWEZI KABISA KUSEMA KWELI!
 
Hakika umesema vyema sisi sote ni Watakatifu watarajiwa.....

We unahabari kuwa babu, na bibi na shangazi na ndugu woote wa mungu wako hawakuwahi kuwa watakatifu!?

Sasa ina maana nyerere ni bora kuliko babu yake na mungu wako!
 
Nyerere alikuwa na nia njema kwa Taifa letu na dunia na katika uongozi wake amefanya mazuri mengi lakini pia kuna makosa, kama ukiukwaji wa haki za binadamu na majeshi yetu huko Uganda. Walipora na hata kubaka kutokana na simulizi za wapiganaji hao. Saint no step too far, he won't if like this.
 
Back
Top Bottom