Nimesikiliza, nimesoma, nimefuatilia hotuba ya kamanda Tundu Lissu kuhusu Nyerere na mambo yake ya muungano hakika nimestaajabu sana.
Majizi ya CCM yamekurupuka huko yalikokuwa na kuanza kumshambulia Lissu binafsi badala ya hoja zake.
Natambua kuwa Kanisa Katoliki linaendelea na mchakato wa kumfanya Nyerere kuwa Mtakatifu na sasa yupo kwenye 'ngazi' ya mwenye heri.
Je! Baada ya 'nondo' za Tundu Antipas Mughwai Lissu na ushahidi mwingine wa UFEDHULI wa Nyerere ikiwemo ile dhana kuwa Nyerere aliua Wazanzibari kwa nini Wakatoliki wasisitishe mchakato wa kumtakatifusha Nyerere na kuingia kwenye utafiti wa kina dhidi ya ushuhuda binafsi wa nyerere?
Hamwoni kuwa kumwacha Nyerere afanywe mtakatifu wakati ana kashfa hadi za kuua ni kulitumbukiza kanisa kwenye kashfa?
Nashauri, Mchakato wa kumpa nyerre utakatifu usititishwe.
matola hujachelewa amka kimbia huko...Mungu ni Mungu wa walio hai si wa wafu, tena Mungu hupendezwa na watakatifu waishio duniani na sio wafu...huyo ni Nyrr hao watakatifu wengine unajua habari zao?...ibada za wafu ni machukizo, wenzetu mmejitungia Biblia yenu?
Mimi ni mkatoliki Nyerere akitangazwa eti ni mtakatifu nitahamia dhehebu la Lutheran. am not joking niko serious, ujinga wote huu unaotuletea matatizo sasa hivi ni kazi ya Nyerere.
We mwana wa kufikia wa kahtaan Matola utahama madhehebu
mpaka kutakucha lkn choo ni kile kile!
Na we muhaya uliewasalaiti wazee wako na kuamua kujiunga na Chama cha watu wa kaskazini huwezi kuwazuia wakatoliki wenzako kumpa yule muuwaji Utakatifu!
Bila huyo muuwaji nyerere leo hii kanisa katoliki lisingefika hapo lilipo!
Na yule pengo analifahamu hilo.
Ndio maana kila akitoa hotuba anamsifu nyerere kuliko mkewe!
Mpaka siku mtakapo fahamu kuwa hio imani yenu ni ya kutengeneza wenyewe!
Mtawatukuza mpaka wauwaji mpaka siku ikifika mkatupwe motoni wote!
Wewe jamaa sijui uongo uwa unakusaidia nini kuna siku ulisema wewe ni Lutheran na ulisali kanisa la Zanzibar leo tena unajifanya Katoliki.Mimi ni mkatoliki Nyerere akitangazwa eti ni mtakatifu nitahamia dhehebu la Lutheran. am not joking niko serious, ujinga wote huu unaotuletea matatizo sasa hivi ni kazi ya Nyerere.
kwa uislam mtakatifu anajulikana na mungu tu, kwani binadamu tuna mambo mengi tunafanyia gizani,
Wewe jamaa sijui uongo uwa unakusaidia nini kuna siku ulisema wewe ni Lutheran na ulisali kanisa la Zanzibar leo tena unajifanya Katoliki.
Mwisho wa siku naona mnakubaliana na sisi kuwa Nyerere alikuwa mdanganyifu na muongo.
Dah huyo jamaa noma mara mlutheran mara mkatoliki.. mara lofa (raswiser) mara tajiri (billionaire pitgan) mara kaajiriwa mara ana kampuni.... huyu jamaa ni zaidi ya chizi
Naomba nikuulize swali ndugu.
Mungu ni nani?
Mungu ni Yule Muumbaji wa mbingu na Ulimwengu.
Aliyekuumba wewe na mimi.
Na akamuumba Yesu na mama yake.
Na akaumba Viumbe vyote hapa ulimwenguni.
Hakuzaa wala hakuzaliwa. Wala hana anae fanana nae ktk Uungu wake.
Na ni MUNGU MMOJA TU.
dhibitisha kisayansi nikuelewe acha kukariri vitabu. kama hujaja na maelezo ya iman hapa.
Unajuwa mimi nimeamuwa kukupuuza lakini sijui unatafuta nini kwangu?Wewe jamaa sijui uongo uwa unakusaidia nini kuna siku ulisema wewe ni Lutheran na ulisali kanisa la Zanzibar leo tena unajifanya Katoliki.
Mwisho wa siku naona mnakubaliana na sisi kuwa Nyerere alikuwa mdanganyifu na muongo.
Mungu ni Yule Muumbaji wa mbingu na Ulimwengu.
Aliyekuumba wewe na mimi.
Na akamuumba Yesu na mama yake.
Na akaumba Viumbe vyote hapa ulimwenguni.
Hakuzaa wala hakuzaliwa. Wala hana anae fanana nae ktk Uungu wake.
Na ni MUNGU MMOJA TU.
nimekujbu hapo chn kaka unaweza kusoma tujadiliane
Unajuwa mimi nimeamuwa kukupuuza lakini sijui unatafuta nini kwangu?
Mimi nilisari kanisa la Anglican church pale mkunazini na sababu nilikuwa na waingereza ambao ni waanglicana na pale kanisani kuna slave caves ni historical sites ya Zanzibar na source kubwa ya mapato ya kanisa.
by the way mkristo hakatazwi kusali kanisa lolote anapojisikia.
Hivi wewe unanitafuta nini?