Mtu anaweza kutumia vocab akaandika pumba, mwingine anaweza kuandika simple akaandika gems.
Mwingine anaweza kutumia vocab akaandika gems, na mwingine anaweza kuandika simple akaandika garbage.
All I am saying, judge my posts based on their content -that is if you can comprehend them- not whether my language is simple or vocabulary laden.
I am mostly not concerned na watu wasioelewa kwa sababu ya lugha, kwa sababu I would like to think wengi sana wanaelewa, na hata nikiandika Kiswahili kwa ulimbwende wangu wa kutumia misamiati tanashati bado nitaonekana niko kule kule.
Kwa hiyo kama unaona naandika visivyo usisome, sio lazima.Lakini iache niandike ninavyotaka.Wewe utajisikiaje nikikulazimisha uandike kwa vocab wakati wewe ni plain writer?