Kama nilivyosema mwanzo, sina beef na watu wengine kuamini wanavyoamini.Nimesema wanaweza kumfanya hata mungu-mtu.Principles hizo hizo zinazowapa wao uhuru wa kuamini wanachotaka na kunizuia mimi kuwazuia wao kuamini wanachotaka zinanipa uhuru mimi kueleza nisivyoamini wanachoamini. As long as sivunji sheria.
Kitu pekee unachoweza kuthibitisha ni kuwa huwezi kuthibitisha.
Tangu lini umekuwa moderator wa kuamua nini kikae wapi hapa bodini? Hii thread inahusiana na utakatifu wa Nyerere na dini topics ambazo by default zinamgusa mungu, sasa utasemaje hii point yangu si mahala pake?
Wewe utakachoona dharau wengine wataona unflinching dedication to truth, even at the risk of appearing brusque.
Na timidity huua ukweli.
Mipaka ya uhuru inaanzia wapi na inaishia wapi? Vipi kama mimi "dini" yangu haiamini katika mungu na mtu yeyote anayeniletea issue ya mungu inakuwa offensive kwangu? kwa sababu ni kama ku insult intelligence yangu? Ni kwa nini waamini wawe protected na sheria hizi za ustaarabu lakini sisi tusioamini tusiwe protected? Kama unataka kweli watu waheshimu imani za wengine basi tusiongelee kitu chochote kuhusu dini, even in the slightest way, kwa sababu one way or another ukishaongea kuhusu dini tu una m alienate mtu.Ukiongea kuhusu mungu wasioamini mungu wataona unawafanya kama watoto, ukiongea kwamba mungu ni fraud wanaoamini mungu wataona umewakosea heshima.Mimi nipo tayari ku refrain kuongea kuhusu dini, lakini na waamini nao inabidi waache kuongea kuhusu dini, kwa sababu wakiongea tu tayari wataniguisa na mimi itabidi ni express views zangu.
Kwa nini tunakuwa na double standards?
Hakuna mada iliyoanzishwa juu ya mada nyingine, nimeeleza vizuri relation ya canonization ya Nyerere na sarakasi za dini/siasa mpaka fraud ya the god idea, kama una one track mind and cannot chew gum while walking, that is your problem, not mine.