Binti Maringo
JF-Expert Member
- Jul 4, 2007
- 2,804
- 98
At least then nikisema "this is some bullshyt shylocking with exorbitant rates" katika post hawatashangaa shangaa.
Nashangaa mtu anashangaa neno "charade" kwamba ni kiingereza kigumu.Mimi napenda haya maneno kwa sababu yanaleta shorcuts katika kuandika, trust me kama ikibidi kutumia plain language posts zitakuwa hazisomeki kwa urefu.
Tatizo umeshaambiwa unaongea vocabulary doesnt mean you can speak!....hahahaah! kuandika is easy kuongea ni really hard....usipandwe na bichwa sana na kuona kuwa unaambiw akuwa unaandika vocabulary basi ukadhani watu wako so dumb!....ni vitu vidogo sana hivi Bluray you know...ila be simple na utaeleweka maneno makubwa ya nini?unataka ku-prove kitu gani?
Just for the record!....saa nyingine huwa hueleweke hata unaongea ninina hizo vocabulary zako maana una-add vocabulary kwenye sehemu ambazo hata hazihitajiki sijui hata kama saa nyingine huwa unaelewa unaandika nini au unakuwa umeingia kwenye dictionary unaona vocabualry na wewe ukaamua tuu ku-apply kwenye sentensi ingawaje hai-make sense!....
Hebu acha kushabikia vivuli...mimi naongea na Bluray kama umekosa mada then kaa kimya na uendelee kusoma.....
Ndiyo Bluray nasoma magazeti!.....na your point is?.....
Nataka kujua unasoma gazeti gani linalokufanya uone maneno kama "charade" kuwa msamiati.
Mbona umekazana sana na hili neno charade?...Ni umeliona leo nini?....Charade ni title of a movie....na ni neno linalitumia kufanya watu/mtu wa-guess words...sasa wewe unataka kucheza mchezo wa guessing?......
Nasoma magazeti ya aina nyingi sana Kijana Bluray!....wee wala usikonde sana......Au unataka kunipa darasa la 101?.....
Kuna mtu kalisema hapo juu kwamba ni vocabulary ngumu, sasa kama hiyo ni vocabulary ngumu tukitaka kusema kuhusu zeitgeist ya schadenfreude kwa familia ya Makamba bila ya kufikiri tunatumia vocab tutafikiriwaje?
kuhusu magazeti naona una majibu kama ya Sarah Palin, no wonder!
Museveni kasahau kusema kuw our saint to be Nyerere alikuwa mstaari wa mbele kuunga mkoni kuvunjika kwa shrikisho la Nigeria, pale aliposhabikia na kuunga mkono kujitenga kwa jimbo la Biafra katika vita vya wenyewe kwa wenye.
"mwenye heri" wakati huo huo alishabikia umoja wa Afrika na wakati huo huo alishabikia kuvunjika umoja wa taifa la Nigeria.
The campaign to bestow sainthood on Nyerere began on January 26, 2006 when the Vatican accepted a request from the Bishop of Musoma in northern Tanzania to canonise the late leader. The Vatican then granted him the title of Servant of God.
wakiambiwa wanaudinilization wanabisha?
si katika nafasi ambayo unawaongoza watu wenye shida chungu nzima na matumaini fulani ya maisha, udikteta ni dhambi.If you haven't dictated terms in your life time, you are dormant if not dead. Otherwise, we sometimes have to become dictators to have our dreams realised...
Angalia huyu naye anatetea uzembe, yupo katika cocoon la kukumbatia ujinga kwa kutumia kisingizio cha "siyo lugha ya taifa".
Hata hajui kama kiingereza ni lugha rasmi Tanzania masikini! Halafu huyu atakuja kuomba kazi downtown Dare-es-salaam kwenye ofisi cosmopolitan, probably zinazodeal na watu wa kimataifa ambao hawajui Kiswahili, akinyimwa kazi akapewa Mkenya anayejua Kiingereza vizuri sijui tutalalamika?
Ally Hassan Mwinyi, Mwinyi wa pwani, gwiji wa Kiswahili, rais mstaafu na walii kwa watu waliomfuatilia alielewa umuhimu wa Kiingereza licha ya kuwa muumini wa Kiswahili. Alisema "Kiingereza ni Kiswahili cha dunia" akimaanisha kwamba kadiri Kiswahili kilivyo muhimu kwa kuwaunganisha watu wengi kama sio wote wa Tanzania, Kiingereza kina umuhimu huo huo kwa kuwaunganisha watu wengi wa dunia.
Kuna watu wanakuja katika forum hii hawajui Kiswahili, na wanafurahi sana wanapoona kuna Watanzania wanaandika kiingereza standard, hicho mnachokisema kwamba ni kigumu kutokana na kuzoea standards zilizo so low they barely exist!
Sasa wewe unasoma Alasiri utasikia wapi neno kama "charade" linatumika kila siku, nenda soma New York Times na Wshington Post, utaona mineno ya kuisema, siyo "charade"
Kama tunataka kuendelea inabidi tujue kuchukua challenges, tusitake kukaa tu kwenye comfort zone.
Kama hupendi ninavyoandika usisome, kuna watu kibao wana uwezo mzuri tu, wengine kunipita mimi, wanaweza kufurahia metaphors, similes, vocabulary na vionjo vingine vya lugha. Kukataza mimi kutumia vionjo hivi ni sawa na uwe umeenda kwenye sherehe watu wanakula vyakula vya kila aina, vingine viko plain, vingine vina spices, sasa kwa sababu wewe hupendi spices unataka hivi vyenye spices vitolewe vibaki vile plain tu, kwa sababu wewe hupendi.Hatuiendi hivyo, mimi nina haki ya kujieleza ninavyopenda na kama huwezi kunifuatilia achana nami, wengine watafurahia, kama hupendi cahakula chenye spices kuna wenyewe watakula.
Kung'ang'ania watu waandike kama unavyotaka wewe kunaonyesha mgando wa mawazo.For all I care one could wriet in ancient latin in here, as long as it's OK with them and some communication is taking place.
Stop the dumbing down of this supposed "Home of Great Thinkers"
Great thinkers wanaogopa vocab?
1. Wewe nani kakwambia mimi ntakuja kugombania kazi Dar na watu kama wewe...hahaha. Unatoa judgement ya mtu bila kujua chochote juu yake. Wacha kunifurahisha, inaonyesha to use ur terminology 'mgando' wa mawazo yako.
Wewe una qualifications gani za kunipa suggestion mimi? Sina haja na suggestions zako za ku dumb down my style.Kila mtu ana signature style yake hapa, kwa nini unataka kuondoa individual pattern yangu?2. Mimi sijakukataza kutumia kiingereza chako, by all means, please yourself. Mimi nimekupa suggestion ya ku-improve communication skills zako.
Na wewe unaonyesha selective criticism, ingawa ni kweli great thinkers hawahitaji great words, ni kweli pia great words haziondoi status ya great thinkers, katika history ya dunia kuna great thinkers wengi tu walikuwa eloquent and full of inspiring vocab, hilo hulisemi.Unapotumia visababu vyako eti kama "home of great thinkers", inaonyesha ni jinsi gani usivyoelewa maana yake. Great thinkers dont need great words.
What if I only want to communicate to people who can understand my language and shut out the rest? What do you have to say to that?Great thinkers communicate ideas. Katika posts zako nilizohangaika kusoma, sijaona uki-express idea yoyote ambayo inahitaji misamiati unayotumia. You are basically saying the samething the other members have said in simple terms.
Misamiati ni nini? Maneno yote ya lugha ni msamiati wa lugha hiyo, unataka kuni lecture kuhusu msamiati wakati hata definition ya msamiati huijui?3. Misamiati hutumiwa in relation to the discussion. Your random usage shows that you do not comprehend the time nor the place for their application.
4. Kama ningetaka kupata challenge ya kujua kiingereza kigumu, nisingekuja hapa. There is a lot of literature material i can read for that.
Extensive vocabulary to you may not be extensive vocabulary to me and even not communicating is communicating not communicating, sasa kama mimi ninataka ku communicate non communication wewe kinachokuuma ni nini?But anyway, just to iterate my point, Mimi sijali kama unaweza kutumia extensive vocabulary, but the point is 'are you communicating?" Mbona unakuwa mgumu kuelewa hilo?
Inaonekana huelewi the whole idea ya hypothetics, unaonyesha kujifungia katika cocoon ya anti-English, anti-vocabulary na anti-intellectualism, hardly the way to grow in a cosmopolitan environment.
I never intended to dumb down ur style. I just find it funny and its usage frankly quite ridiculous.Wewe una qualifications gani za kunipa suggestion mimi? Sina haja na suggestions zako za ku dumb down my style.Kila mtu ana signature style yake hapa, kwa nini unataka kuondoa individual pattern yangu?
so? Didn't i make my point? Isn't it ringing in ur head now?Na wewe unaonyesha selective criticism, ingawa ni kweli great thinkers hawahitaji great words, ni kweli pia great words haziondoi status ya great thinkers, katika history ya dunia kuna great thinkers wengi tu walikuwa eloquent and full of inspiring vocab, hilo hulisemi.
u have a limited outreach....and lack the skills to widen it!What if I only want to communicate to people who can understand my language and shut out the rest? What do you have to say to that?
hahaha...this is so low, i wont even discuss it....i think u COMPLETELY missed my point and are now using the word misamiati out of context.Misamiati ni nini? Maneno yote ya lugha ni msamiati wa lugha hiyo, unataka kuni lecture kuhusu msamiati wakati hata definition ya msamiati huijui?
duh!another dumb paragraph. hakuna mtu anayezaliwa na lugha. hata katika kiswahili, sio kila mtu anaweza kuji-express kwa lugha kifasaha. It's an art which u learn. Kwa hiyo usidhani waingereza wote wanajua 'extensive' misamiati katika lugha yao.So why do you bother to read my posts, if you don't like my style skip.Kuna tofauti ya kiingereza kama challenge kinachoandikwa na mtanzania na kile kinachoandikwa na wenyewe, hao wenyewe hatuwezi hata kujilinganisha nao kwa sababu wamezaliwa nacho, hapa tunakutana watanzania wote tumejifunza, therefore hakuna mtu atakayekuja na excuse kwamba wengine wana kiingereza kigumu kwa advantage ya kuzaliwa nacho, wote tumejifunza.Kwa hiyo kama unatafuta level field, your point becomes invalid.
I think u shld re-look at the highlighted red sentence, ohh excuse me, 'phrase'.Maybe ukipunguza hasira utaweza ku-communicate ur thoughts better.Extensive vocabulary to you may not be extensive vocabulary to me and even not communicating is communicating not communicating, sasa kama mimi ninataka ku communicate non communication wewe kinachokuuma ni nini?
Let me worry about whether I am communicating or not, you are not my father.If you don't like my style skip it.I don't like the way a lot of people write, and I skip.
hii kali kwa lipi...hawakawii kusema alitumwa na roho mtakatifu..mhhhh au yumo nae kwenye utrinity..angalieni msije mkawa kama mabaniani kila kitu mungu...duh
misa ya mchakato wa kumtangaza nyerere kuwa mtakatifu yafanyika uganda
rais yoweri museveni, rais mstaafu benjamin mkapa na janet museveni wakati wa misa ya kumuombea baba wa taifa mwalimu julius kambarage nyerere kuwa mtakatifu jana katika kanisa la kikatoliki namugongo, uganda.
watanzania waliohudhuria misa ya mchakato wa kumtangaza baba wa taifa mwalimu julius kambarage nyerere kuwa mtakatifu katika kanisa la kikatoliki namugongo, uganda.
rais museveni akisalimiana na father nkwera baada ya misa ya mchakato wa kumtangaza baba wa taifa mwalimu julius kambarage nyerere kuwa mtakatifu katika kanisa la kikatoliki namugongo, uganda.
kabla ya yote tuangalie historia ya hawa jamaaa wanaotaka kupachikana utakatifu na kujipa vyeo ambavyo binadamu hawezi kujitabiri kuwa yeye ni mtakatifu ...wanamazambi kibao.
Mungu ndio anajua nani ni mtakatifu ...hii dini inamaajabu ...na hawa katoliki ndio wanadai yesu huwa anawafuata na kuwapa upaulo na kutunga bibilia mpya.....uliza katoliki wanatumia bible gani...? Lol