Nyau wa wapi huyu?

Nyau wa wapi huyu?

Nyau wa Dar, au Hotelini
breafast
1. mayai
2. chai ya maziwa
3. supu ya kongoro
4. mabaki ya firigisi namaini ya kuroast
5. maziwa fresh
6. mabaki ya mchemsho wa kuku ama samaki

lunch
1. wali
2. chips zenye mayonise au ivory tomato sauce
3. kuku wa kukaanga
4 samakiu wa kukaanga
5. maziwa mtingi safi
6. tropical Juice
Sasa unamuwekea samaki RAW hawezi kula maana hata flavour hakuna.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji106] [emoji3] [emoji31] [emoji30] [emoji31] [emoji30] [emoji31] [emoji31] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
 
I had my Nyau like that, ukiweka kitu bila kuweka kwenye kisahani chake hagusi, hata ukiweka samaki na dagaa kwenye chombo hali na anafukuza hadi kuku wanaozengea.. Alikuja kufa tu ghafla nikakuta mzoga wake kwenye karavati nje ya nyumba yangu, nilimlilia paka wangu jamani, nilihisi kama nimepata msiba wa binadamu. Huwa namkumbuka sana paka wangu. Apumzike huko aliko...
May be has been reincarnated into other realms
 
I had my Nyau like that, ukiweka kitu bila kuweka kwenye kisahani chake hagusi, hata ukiweka samaki na dagaa kwenye chombo hali na anafukuza hadi kuku wanaozengea.. Alikuja kufa tu ghafla nikakuta mzoga wake kwenye karavati nje ya nyumba yangu, nilimlilia paka wangu jamani, nilihisi kama nimepata msiba wa binadamu. Huwa namkumbuka sana paka wangu. Apumzike huko aliko...
Paka wako aliitwaje... me ninae wangu anaitwa Carlos!
 
Huyo atakuwa paka mtu huku kwakina ngosha anakula mpaka panya. Sasa akute hao samak ndan dk tu unakuta wameshaliwa wote
 
Samaki hawapo kwenye bakuli lake! Hivyo hawazi wala
 
cf1b2ca52b49b3d22a4c7f8a74eea495.jpg
Kafunga huyo mwez mtukufu huu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom