Nyaronyo Kicheere 'ahamia CCM'

Hamia baba hamia,siku akibadili sura,2015 itakuwa imefika.Sura za kazi zitakuwa ulingoni.Sijui watatokea wapi!
 
Duh hapo na mimi nitahamia ccm,ila mpaka nipige dili la maana
 
Nilichugundua ni kuwa wengi humu wametoka patupu kisha wakaamini kweli amehamia.
 
mwambie akamchukulie mke ndiyo atajua ni mtu wa kusamehe au la.

Kwi kwi kwi

Kwani inahusu pia jamaa aloimba "Salma uko wapi eeeeeh...." kapewa life ban na appeal zote anapigwa chini.
 
Haaaaaaaa lione lilivofurahi.haaaaa asiejua maaana usimwambie maana

kamanda watu wamekimbilia kichwa cha habari bila kusoma content.Ndo hawa wananunua gazeti kwa kuangalia kichwa cha habari.Namshukuru mtoa mada kwa kufanya wenye akili hafifu kutoelewa.Think Big
 
Heshimiwa Nyaronyo nafikiri umeandika vizuri, ila nahisi kwamba huhamii huko ulikosema.
 
Naam, ngoma inogile, tutampokea tundu lissu na pro.safari na baregu sio mda mrefu

Tatizo la kuchangia kupitia heading na kutokusoma mahudhui ya kilichoandikwa ndio yanapelekea kuyaandika uliyoyaandika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…