Nyaraka muhimu kwa Maombi ya Kazi; Barua, CV /Resume na Rejea

hivi uki itwa ktk interview si ina maana...Mwajiri aliridhika na CV..kilicho baki ni kukuona wewe appearance na confidence?
Je...ikitokea ume sailiwa dakika nyingi say saa1 na wengine dkk chache...ina maana gani? BUSARA ZENU WAKUU
 
Wadau, hivi barua ya maombi (application letter) inatakiwa kuandikwa kwa mkono (hand-writen) au kuchapwa(printed), msaada wenu wadau
 
mm naona tafuta mtu anayeweza kukufundisha kuliko kupoteza mda na ukatuni kama una mada nyingine lete kiukwel imeshindikana maanawote tunatoa ushauri tafakari ....................
 
Kwa level ya elimu uliyo mayo na course unayosoma kutokujua kandika CV ni tatzo ,ni mhimu tukatrace aina ya shule ulizopitia,lakn unatakiwa kutafuta MTU akusaidie kuliko kupost hum
 
waheshimiwa habari zenu?
eti mfano tangazo la kazi wanataka uambatanishe na referee letter,afu huyo referee wako mwenyewe labda yuko dar na wewe uko mwanza,ivi inawezekana hiyo barua ukaindika mwenyewe tu kwa niaba ya referee wako na ukapachika details zake then ukaituma?
kuuliza sio ujinga jamani so naomba nisionekane kilaza.
 
Hairuhusiwi, labda umwambie aandike ai-scan akutumie kwenye email yako alafu ww ui-print then unaendelea mbele, au unawasiliana naye kwanza, yeye ndiye akuruhusu uandike kwa niaba yake ikiwezekana akupe na maneno machache ya kuweka kwenye hiyo barua weka sahihi yako, weka na mawasiliano yake pale chini. Waajiri weng wanapiga kwa referee kuuliza km yeye ndio kaandika
 
swali ni kwamba referee wangu akiniruhusu kuandika wao watajuaje?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom