UANDISHI WA CV pamoja na BARUA

sosi maiko

Member
Sep 19, 2023
37
27
Habari, ninatoa Mafunzo bure kabisa Kuhusu uandishi wa Barua pamoja na CV. Hii ni kwa sababu wengi wetu tuna changamoto katika swala zima la uandishi hivyo, nimekusogezea Katika Group langu namna sahihi ya Kuandika Barua pamoja na CV

Lakini pia ninatoa Huduma ya Kuwaandikia Barua au CV kwa wale wote ambao wanakuwa wametingwa Na Shughuli za Kimaisha au Hawana Vitendea Kazi.

Garama ni sawa na Bure kwani kwa Pesa ya Kutanzania shilingi elfu 1, ninakuandikiaka Barua nzuri kabisa ya Maombi ya kazi. Kwa shilingi 2 na 500, nakuandikia CV iliyobora kabisa. Na Kwa punguzo la shilingi elfu 3 tu, nakuandikia Barua pamoja na CV.

Karibuni Tujifunze pamoja. Nitatuma Link ya Group kwenye Post ya hapa Chini inatofata au unaweza Kunicheki PM nikakupa.
Asante
 
Back
Top Bottom