Heavy equipment
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 1,446
- 977
habar wapenda naomben kuelekezwa jinsi ya kuandika cv au mfano wa cv nataka kufahamu ni sawa na ninavyofaamu
inategemea unaomba kazi gani , kwani CV zinakuwa tofauti
habar wapenda naomben kuelekezwa jinsi ya kuandika cv au mfano wa cv nataka kufahamu ni sawa na ninavyofaamu
inategemea unaomba kazi gani , kwani CV zinakuwa tofauti
naomba kama secretary
acha uzembe wewe,muda uliotumia kupost hii threat ungeutumia ko-google ukaona template za CV zikoje
acha uzembe wewe,muda uliotumia kupost hii threat ungeutumia ko-google ukaona template za CV zikoje
Ni pm nkuonyeshe
date | institution | awards |
october 2010-march 2012 | SIJUI NINI University | BA in Sanaa |
january 2008-februaly 2010 | matoke secondary school | ACSEE |
Jan 2004 - october 2007 | wavulana secondary school | csee |
Najua unatujaribu uzalendo wetu...
1. Personal DetailsJina
Sex
D.O.B and P.O.B
Contacts zote simu, box, email, etc
Unaweza ongeza kama Martial Status, Nationality etc
2. Education Background:Andika ulikosomea, ukianza na elimu yako ya mwisho kabisa. Mfano umemaliza chuo sasa hivi (2013), Basi anza na hiko chuo, kisha shule kabla hujaingia iko chuo etc hadi shule ya msingi inakua chini kabisa.
pia kila uliposoma ni vema ukiandika mwaka na mwezi ulivyoanza hadi ulivyo maliza (kama utakumbuka na tarehe vema zaidi). Pia andika ulichopata (awards).
Cheki mfano huu:
date institution awards october 2010-march 2012 SIJUI NINI University BA in Sanaa january 2008-februaly 2010 matoke secondary school ACSEE Jan 2004 - october 2007 wavulana secondary school csee
Wengi wanapendea kuweka katika table ila ata vingine sawa tu.
4. Work Experience.
Tupia sehemu ulizo wahi kufanya kazi, muda ulio fanya kazi na cheo chako bila kusahau majukumu yako ya kazi. anza na kazi ya hivi karibuni ukirudi nyuma. kama hapo juu kwenye education. hapa sio muhimu/usiweke table.
NB: Ni muhimu sana kuandika duties and responsibilities zako ulipokua unafanya kila kazi.
5. Publications/projects
kama umeshawahi kuandika project na kuirelease mtandaoni au kabidhi some where, andika hapa jina la hiyo project (title), ulipo submit, tarehe, etc
6. Other Skills and Activities.
Andika vitu unavyo jivunia wewe binafsi ambavyo unaweza usiwe na vyeti vyake au unavyo. mfano: udereva, kompyuta, problem solving skills, comunication skills, leadership, kama unajua lugha kibaaaao andika, etc
7. Referees
Andika majina ya watu wa3 ambao itakua rahisi muajiri wako kuwasiliana nao ili kupata taarifa zako. wanaweza kua maboss wako, mwalimu wako, wafanyakazi wenzako etc. pendelea kuandika wale watu ambao mnaingiliana katika mambo ya kazi, sio unaandika mke wako, shemeji yako, baba yako etc ata kama ana hela sana ila usimweke.
Weka hivi:
Jina lake
Cheo
Anuani yake (posta, namba za simu na email)
Kumbuka CV ina badirika badirika kutokana na matakwa ya kazi iliotangazwa, so uwe unai update kila unavyoomba kazi mpya.
Pia kuna format kibao za kuandika CV so wadau wanaweza kuongeza zingine hapa.
mwisho, pendelea kutumia GOOGLE, haijawahi shindwa kitu.
Email yangu ni ommylee@yahoo.co.ukweka email, nikutumie sample nzuri ya email
Samahani wanajf najua hii mada imezungumzwa sana hapa lkn nimejaribu kuitafuta ila sijaipata, naombeni mwenye ujuzi anitajie vitu muhimu vya kuzingatia wakati wa kuandika CV, naombeni msaanda wenu nimekwama jamani.