Nyaraka muhimu kwa Maombi ya Kazi; Barua, CV /Resume na Rejea

Anza na anuani kamili juu, toa maelezo ya elimu yako ukianzia na maunzo yako ya mwisho kabisa, andika seminars ulizopitia, andika machapisho kama unayo, andika uzoefu wa kazi. Uzoefu unaanzia kazi ulizozifanya shule. Toa kwa ufasaha shughuli hasa ulizokuwa unazifanya.andika ujuzi wako, andika mambo mengine uliyonayo. Unaongea lugha ngapi, andika vitu ambazo unadhani wengine hawana, weka watu wa kukudhamini walau wawili na anuani zao. unaweza kuni pm
 
Nashangaa sana watanzania mwenzetu kauliza swali na linaeleweka bila ya kumsaidia mnaanza kumshushua ..fungua google andika cv fomart , ila cv inatakiwa kuwa fupi na inayoeleweka. Cv ina-include identification yako, education, hobbies, professional experience & qualifications ..pangilia tu kwenye mpango mzuri
 
Wajameni Msaidieni khaaaa, mnaweza kuona ni simple tu kwa kuwa mna ufahamu zaidi. Kuna watu wanajua internet ni kwa e-mails tu may be na facebook, apart from that, they don't know anything. So msaidieni acheni hizo wosia wa baba..!
 
Nyie wote mliomjibu vibaya mnasikitisha kama hamjui sio lazima ku comment humu.

Cha muhimu CV ukiitengeneza weka na cover letter. CV isizidi 2 pages unless una experience ya miaka mingi ya kikazi sehemu mbali mbali as inaweza hitaji nafasi zaidi. Cover letter isizidi paragraph 4 na isizidi page moja.

Kama bado hujapata njia ya kukusaidia niambie (pm) ili nione kiurahsi ujumbe then nitakueleza. nina haraka sasa siwezi kaa kuandika na labda umesha fanikiwa.
 
Ulimwengu wa sasa wa utandawazi ni vyema kama walivyosema wengi anzia google.com mule kuna kila kitu.
Tusitumie mitandao ku-fb na social network zingine pia kujielemisha different stuff. CV kuelekezana kwa staili hii kwa mimi haijakaa vyema sana. Unless iwe face to face conversation.
 
Wadau naombeni kujuzwa jinsi ya kuandika CV, pamoja na format yake plz

Pole sana dogo. Ebu angalia hii (angalia attachment), iko rahis kidogo lakini ina kila kitu muhimu. Ukivutiwa nayo ichukue. Ziko format nyingine ambazo ni ngumu kidogo, kama vile EU format (European format).

View attachment SIMPLE CV.docView attachment SIMPLE CV.pdf

Au nenda kama hivi:

CURRICULUM VITAE


NAME: Jamii Forums NATIONALITY: Tanzanian

ADDRESS: P. O. Box 2012, DSM DATE OF BIRTH: 26[SUP]th[/SUP] June, 19xx

Tel: +2557xxxxxxxx MARITAL STATUS: Single/Married/Divorced/Widowed

Email:
jamii@yahoo.co.uk SEX: Male/Female

forums@gmail.com



OBJECTIVES:
To work in a position of Senior System Analyst where I can get more knowledge and increase my experience as a System analyst.

EDUCATION BACKGROUND:

(i). INSTITUTE LEVEL: Dar es Salaam Institute of Technology (DIT), DSM, Tanzania. DATE: from 2002 to 2005. COURSE: BSc. INFORMATICS. AWARD: Degree in Informatics Science. DURATION: Three years. GRADUATION DATE: May 2005

(ii). ADVANCED LEVEL: CCM Secondary School, Dar es Salaam, Tanzania.
DATE: 1998-2000. COMBINATION SUBJECTS: Physics, Chemistry and Biology.
AWARD: Advanced Certificate of Secondary Education Examination (ACSEE).
GRADUATION DATE: May 2000.

(iii). ORDINARY LEVEL: CHADEMA Secondary School, Kilimanjaro, Tanzania. DATE: from 1994 to1997. SUBJECTS TAKEN: Science subjects, AWARD: Secondary Education Examination (CSEE).
GRADUATION DATE: November 1997

WORK EXPERIENCE:
From March 2008 up to present.
I was employed by the Jamiiforums as system analyst.
My duties is to maintain and check that our oracle database is running smoothly.
From May 2005 to October 2007
I was employed by Jamii Commercial Bank as Internal System Analyst.
My duties there were to make sure that the banking systems (ATMs, transactions and new member registration) were working.
I also did…………

From 23[SUP]rd [/SUP] June 2003 to 31[SUP]st[/SUP] August 2004
I was temporally employed by an auditing firm known as Forums Inc. I was employed as Senior System Security Officer.
My duties were to check the sequrity system of firm database.

EXTRA CARRICURUM VITAE:

(a). Best worker in the department of ICT in Jamiiforums for the year 2010.

(b). Participant in the ongoing project of Fiber Optic Installation Project, in dare s salaam region
.
(c). Winner of Third position in Overall Academic Performance in the field of INFORMATICS, Third Year in academic year 2004/2005.

REFEREES:

(a). Mr. Chadema, Principal system analyst, CCM IT Consultants, Tanzania. Tel: +255 7vvvvvvvvvv

(b). Mr. CCM, Chief Internal Auditor, Forums Inc, DSM. Tanzania. Tel: +255 7rrrrrrrrrrr

(c). Dr. CCM CHADEMA, Project Coordinator, Fiber Optic Installation Project.Tel: +2557&&&&&&&&&
 
best sikiliza, wote wanaokujibu majibu kama hayo sio kwamba wamefikiri sana bali hata wao hawajui. of course ukigoogle utakuta versions ambazo zimechanganywa sana na itakuwea kazi kufanya selection. tafuta Advanced learner's dictionary 6th ed. utaona mifumo miwili na hapo utakuwa umepata mwanzo mzuri. MUNGU AKUBARIKI
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom