Nyaraka mpya za Kagoda zawalipua Rostam, Manji

Invisible, heshima zote zikufikie kwa kujitoa mhanga kwenye hili, ombi langu usiishie tu huko come in public tuko wengi wenye kuguswa na hili jambo. Wameshindwa kuilea nchi yetu bora tuilee wenye machungu nayo ili vizazi vijavyo viwezetuona tuna akili
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Niseme ukweli mimi si mwana CCM na sintokufa nikiwa CCM, mimi ni CHADEMA tangu mwaka 1999 na nitaendelea kuwa CHADEMA - Msemakweli
Kumbe yuko biased!
Hapo tayari nimeshaona tatizo la huyu jamaa lipo wapi.
 
Huyu Sanze naye mwanasheria gani anasign vitu bila utaratibu? Wanataaluma wa Tanzania wako hoi kwelikweli; si wahasibu, wanasheria, wahandisi, n.k Kama hii ndiyo aina ya wanataaluma tulionao hakika itaichukua Tanzania miaka lukuki kufika tunakoenda.
 
Yusufu Manji mpaka sasa alisharejesha Bil 30 na Rostam kwa kupitia kampuni ya Afritainer (iliwahi kuiba Bil 12 mwaka 2000) alirejesha 3bil. Rostam hakutaka kuonekana kokote kwenye nyaraka
 
Nina picha, video zinazoonyesha wizi wa Kagoda wazi.

Kinara wa wizi huu ni Rostam Aziz aliyekuwa mbunge wa Igunga.

Wa pili ni Yusufu Manji

kazi nzuri mkuu na lazima kieleweke wamezidi hawa.
na je watashtakiwa au ndio itakuwa ya kina chenge fine laki..
 
Kumbe yuko biased!
Hapo tayari nimeshaona tatizo la huyu jamaa lipo wapi.

Kuwa na huruma na kodi zetu mkuu au wewe mwenzetu hulipi kodi unazila tu kodi zetu???? Usitake mtu akutukane bure kwani akiwa Chadema hawezi kufichua maovu yaliyomo ndani ya serikali au lazima unataka awe mwanaCCM mwenzio?
 
Yusufu Manji mpaka sasa alisharejesha Bil 30 na Rostam kwa kupitia kampuni ya Afritainer (iliwahi kuiba Bil 12 mwaka 2000) alirejesha 3bil. Rostam hakutaka kuonekana kokote kwenye nyaraka
Kama hamna jina la Rostam kwenye nyaraka yoyote, utamshtaki kwa vigezo gani? Utatumia ushaidi upi?

Wapinzani tafuteni mbimu nyingine plz..hii ya ufisadi imeshapitwa na wakati.
 
Kwani akiwa chadema akasema wizi mnaoufanya ndio kuwa biased? Kumbe wewe ni bure kabisa kama pua lako!
Hapa umeona jipya lipi?
Slaa alishazungumzia hili swala mpaka tumechoka! Sasa huyu anakuja kwa staili nyingine,
 
Kama hamna jina la Rostam kwenye nyaraka yoyote, utamshtaki kwa vigezo gani? Utatumia ushaidi upi?

Wapinzani tafuteni mbimu nyingine plz..hii ya ufisadi imeshapitwa na wakati.

Walioipindua Serikali ya Ben Ali Tunisia ni wananchi waliochoshwa na ufisadi uliokuwa ukifanywa na Ben Ali na ndugu zake na marafiki zake serikalini, Misri wananchi waliochoshwa na ufisadi uliogubika nchini mwao ukiongozwa na Mubarak na wanawe na nduguze, Libya ni hivyo. Tafakari vizuri kama hoja hiyo imepitwa na wakati au la!!!!
 
Ukweli ni kuwa kina Rostam na Manji wanataka watanzania waamini kuwa pesa zilienda CCM kwenye uchaguzi lakini hii ni janja ya kutaka wasifikishwe kwenye mikono ya sheria.

Rostam na Manji nawamudu, siogopi usalama wangu. Siwaogopi na liwalo na liwe! Sitishiki juu ya usalama wangu.

Msemakweli

wape hao mkuu mi na hasira nao ile mbaya..
 
Kuwa na huruma na kodi zetu mkuu au wewe mwenzetu hulipi kodi unazila tu kodi zetu???? Usitake mtu akutukane bure kwani akiwa Chadema hawezi kufichua maovu yaliyomo ndani ya serikali au lazima unataka awe mwanaCCM mwenzio?
Hamna mwananchi wa Tanzania asiyelipa Kodi labda with an exception of Dr Wilbroad Slaa!

My concern hapa ni hii mada inayotolewa hapa ambayo haina mashiko!
 
Back
Top Bottom